mauzo

  1. G

    JamiiForums Tanzania Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu

    Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN. Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu hadi pale tu nitapouza, nisipouza naweza kuurudisha, mzigo ukiisha naenda kuchukua mwengine, hivyo...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongeza Mauzo Haraka kwenye Kituo cha Mafuta (Petrol Station/Fuel Station/Service Station)

    Kituo cha mafuta ni biashara muhimu inayotoa huduma muhimu kwa jamii. Ili kuongeza mauzo na kufanikiwa katika soko lenye ushindani mkubwa, ni muhimu kuchukua hatua za kimkakati. Hapa, tunajadili jinsi ya kuongeza mauzo haraka kwenye kituo cha mafuta kwa kuzingatia mbinu za ubunifu na ufanisi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya masoko au mauzo

    Hello wanabodi. Elimu yangu ni diploma (Mass cim&IT) Mkazi wa Dar es salaam Natafuta kazi ya marketing au sales au kuwa wakala wa bidhaa au huduma. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 12 kwenye mambo ya masoko na mauzo Kama una biashara pia naweza kukutafutia masoko au wateja nipate kamisheni...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania eBay kulipa Dola Milioni 59 kwa mauzo ya zana za kutengeneza dawa kinyume cha Sheria

    eBay imekubali kulipa $59m (£46.3m) kutokana na madai kuwa iliuza vifaa vinavyoweza kutengeneza dawa za kulevya. Idara ya sheria ya Marekani ilikuwa imedai kuwa maelfu ya mashine za kutengenezea vidonge na mashine za kufungia ziliuzwa kwenye tovuti, ikiwa ni pamoja na kwa watu ambao baadaye...
  5. FedhaBook

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa mauzo Dar es salaam

    Tuma CV yako raphael.temu.platinum@gmail.com Au whatsapp 0677032759 Mwisho wa maombi ni 22/12/2023
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

    D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa. Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya...
  8. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

    Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu. Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufanya kazi za mauzo kwenye mashirika au binafsi tukutane hapa

    Habari wana JF, Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
  10. Mandela5599

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Meneja Mauzo

    Nina uzoefu wa miaka 5 katika mauzo ya Sola kwenye kampuni ya offgrid electric power maarufu kama Zola. Mpaka sasa nafanya kazi katika kampuni hiyo Nilianza kama afisa mauzo wa kawaida na badae sales leader Kitaaluma ni mwalimu kwa ngazi ya degree Kusimamia teams za mauzo na motivations kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Habari za saa hizi wote kwa ujumla. Tumshukuru Mungu kwa uzima . Nakuja kwenu nikiwa nawaletea habari njema wale wenye maduka ,supermarket,pharmacy na kadhalika. Tuna mfumo wa mauzo ambao utakusaidia kuangalia faida,mauzo na manunuzi ya biashara yako ukiwa online sehemu yoyote ile hata kama...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Afisa Mauzo

    MAPADA SOAP is an industry that deals with the production of soap. The industry is located in Ilala District, Dar es Salaam, Tanzania. The industry is situated at the foot of Banana Bus Stop, 6.8 km from Kitunda. Plot.Mzg 19. Phone: +255765180704, +255627753135, Email: mazingirapacha@gmail.com...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wa mauzo - Tiles

    Wanahitajika vijana 2 wa mauzo ya tiles. Watakuwa na majukumu ya kwenda kutafuta order sites mbali mbali zinazojengwa. Eneo la ofisi ni Madale na kuna posho kwa mwezi, nauli na commission kulingana na mzigo ulivyouza. Pia nakaribisha wale wote wenye uhitaji wa tiles kwa bei poaa na offer kibao...
  15. YphNet

    JamiiForums Tanzania Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa kifupi unavyoanza siku mpya ya biashara unagusa button [J] ili kufungua jalada mpya na utaona...
  16. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania "zilipotokea na zinapokwenda" pana utofauti ?

    Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
  17. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vikontena / vifuko vya kuwekea pesa za mauzo havitoshi ama nafasi inbaki, Naweza kupata wapi vimifuko ama container vya kimo nachohitaji

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na...
  18. akroatis

    JamiiForums Tanzania Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore) Lengu kuu la hii application ni kumsaidia mfanya biashara mdogo kuwa na uwezo wa kurekori, na kupata...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia mifumo ya computer kurahisisha kurekodi mauzo, madeni na kuhesabu mzigo

    Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia. Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia huwa nauzia hapo kwa order kubwa kubwa. kuna mtu wa kazi ndie nimemweka hapo awe anafanya stock...
  20. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kufungua Uwezo wa Sekta ya Misitu Tanzania kwa ajili ya Ongezeko la Mauzo ya nje na Mapato

    Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za misitu ambazo zina uwezo wa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi. Sekta ya misitu, ikitumiwa na kusimamiwa ipasavyo, inaweza kutumika kama chanzo muhimu cha mauzo ya nje na kuongeza mapato. Kwa kufuata mazoea endelevu, kukuza...
Back
Top Bottom