Natafuta Afisa Mauzo

Papai Yule

New Member
Jul 6, 2013
3
9
MAPADA SOAP is an industry that deals with the production of soap. The industry is located in Ilala District, Dar es Salaam, Tanzania. The industry is situated at the foot of Banana Bus Stop, 6.8 km from Kitunda. Plot.Mzg 19. Phone: +255765180704, +255627753135, Email: mazingirapacha@gmail.com, P.O.BOX 7810 Dar es salaam.

NAFASI YA KAZI: Afisa mauzo
SIFA ZA MWOMBAJI
I . Mwombaji awe Raia wa Tanzania
II . Awe amehitimu kidato cha IV na kuendelea
III. Uzoefu usiopungua mwaka mmoja.

MAJUKUMU:
Kutafuta wateja wapya na kushughulikia oda za wateja.
-Kushiriki katika shughuli za masoko na kutangaza bidhaa za kampuni

Kama unavigezo tajwa hapo juu tuma maombi kabla ya 28th September 2023.
Tuma CV yako kwenda : mazingirapacha@gmail.com
 
Nina uzoefu huo hapa Dodoma,njoo tutafute masoko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom