mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Utata sakata la ndugu wa Boniface Jacob: Kupotea mpaka kukutwa mochwari ya polisi, Amana wapigilia msumari!

    Wewe mwana JF mwenzangu utakuwa jaji kwenye hili, je, nani anadanganya? "Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lasema lawatuhumu Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati, Godlisen Malisa kwa kusambaza taarifa za uongo" ==== Kuptea kwa Robert Mushi na Maelezo ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Nchi za Ukanda wa Mashariki mwa Afrika waungana na Rwanda kumbukumbu mauaji ya kimbari

    Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki Wameungana na Polisi wenzao kutoka Nchini Rwanda kuuwakumbuka Wananchi waliopoteza maisha katika mauaji ya kimbari Nchini Rwanda. Akiongea leo Aprili 14,2024 katika Shule ya Polisi Tanzania Mkoani Kilimanjaro Mkurungenzi Mkuu wa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

    Idadi / population ya warwanda Wahutu 85 % Watutsi 14 % Watwa 1%. Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo Rais wa Rwanda mhutu (pia akiwemo rais wa Burundi mhutu), ndipo Wahutu wa Rwanda wakaamua kulipa kisasi...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

    Duniani kote kila Bara kuna mapigano yanayoendelea huku kukiwa na ushawishi sifuri kwenye kusitisha hizo vita. Ninasema mapigano kwa sababu sehemu kubwa ya mapambano hayo yametokana na ushawishi wa makundi yanayolenga kufaidika na vita hizo. Kinachoendelea Ukraine na Urusi ni vita kamili kwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesi ya utekaji na mauaji dhidi ya Makonda yanukia

    Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda...
  7. dubu

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994

    kumbukumbu inayofanyika Jijini Kigali na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Ulaya, Amerika na Asia wakiongozwa na Rais Paul Kagame. Ishara ya kuanza kwa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ni pamoja na kuwashwa kwa mishumaa katika eneo la Gisozi mahala ambapo mabaki ya miili...
  8. Fredrick Nwaka

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda

    Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994. kumbukumbu inayofanyika Jijini Kigali na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Ulaya, Amerika na Asia wakiongozwa na Rais Paul Kagame. Ishara ya kuanza kwa kumbukumbu ya...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia

    Wanaukumbi. Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema leo kwamba Idara ya Mambo ya Nje na Biashara ya nchi hiyo imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia. Franckom ni mmoja wa wafanyakazi wanne wa kimataifa wa Jiko Kuu la Dunia (WCK) waliouawa jana...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wawakamata Waliohusika na Mauaji ya Dereva wa magari ya Watalii Omari Msamo

    Machi 20, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuhusiana na kifo cha Omary Saimon Msamo kilichotokea huko Wilayani Karatu Mkoa wa Arusha Machi 16, 2024. Tulieleza kutokana na mazingira yaliyokuwa yamezunguka tukio hilo ilitubidi kushirikisha wataalam mbalimbali wakiwepo wachunguzi wa matukio ya...
  11. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Magari ya Watalii, Omari Msamo adaiwa kuuawa na askari wa jeshi la Polisi

    Mwananchi mwenzetu na aliyekuwa dereva wa magari ya watalii, Omari Msamo ameuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha. Omari Msamo ameuawa baada ya kusimamishwa na kushushiwa kipigo kizito kilichopelekea kutoa uhai wake na polisi wa usalama barabarani baada kutuhumiwa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaripoti mauaji ya Watu 170 waliochinjwa ndani ya wiki moja, Machafuko ya Kidini yakitajwa

    BURKINA FASO: Takriban Watu 170 kutoka katoka Vijiji vya Komsilga, Nodin, na Soro katika Mji wa Yatenga, wameripotiwa kuuawa na Waasi wanaohusishwa na Vikundi vya al Qaeda na IS. Taarifa iliyotolewa leo na Mwendesha Mashtaka wa Serikali leo Machi 3, 2024 imeeleza kuwa mauaji hayo yaliyoanza...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya AKA: Washukiwa sita wakamatwa kwa mauaji ya rapper wa Afrika Kusini

    Watu sita wanashikiliwa na Vyombo vya Usalama wakituhumiwa kuhusika na vifo vya Kiernan Forbes maarufu kwa jina la AKA pamoja na rafiki yake, Tebello "Tibz" Motshoane waliopoteza maisha kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa Jijini Durban, Februari 10, 2023. Polisi wamesema watuhumiwa walilipwa ili...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mauaji ya George Sanga na wenzake yafutwa, waachiwa huru na kukamatwa tena

    Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse. Baada ya kufutwa kwa kesi hiyo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewakamata tena na kuwafungulia mashtaka yale yale...
  15. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye nguvu anayeruhusu 'Mauaji ya Sumu' ndani ya CCM?

    Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU! Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni...
  16. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

    AMEPOTEA KISIWANI KEY WEST - 1 Umewahi kujua kwamba taa za barabarani huwekwa pia Kamera? Si kwa Tanzania, lakini katika miji mingine mikubwa taa za barabarani huwekwa Kamera ili ziweze kunakiri matukio mbalimbali na kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama. Fuatilia kisa hiki cha mwanaume mmoja...
  17. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya wapigania uhuru wa kujitenga wa Texas

    One Texas Secessionist Who Fled Into Mountains Is Killed A member of the militant secessionist group known as the Republic of Texas was shot and killed today in a gun battle with the Texas authorities in the Davis Mountains here. The man was one of two group members who fled on foot on...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamia waandamana kupinga Mauaji ya Kikatili dhidi ya Wanawake

    KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari 2024. Maandamano yalitawaliwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali za kukemea Ukatili kwa maneno ya "Sisi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

    Kwa wale ambao wana nafasi leo ndiyo siku ya hukumu ya kesi ambayo Afrika ya kusini ilifungua kuishitaki Israel katika mahakama ya kimataifa kuwa inafanya Genocide huko Gaza. kwa wale walio katika mitandao, muda wa hukumu unakaribia , siyo vibaya kuifuatilia hukumu hii LIVE ili kujua argument...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji Paul Mackenzie ashtakiwa kwa Mauaji ya Kutokusudia

    KENYA: Siku chache baada ya kushtakiwa kwa Makosa ya Ugaidi, Mchungaji Paul Nthenge Mackenzie, mke wake pamoja na Wasaidizi wake 94 wameshtakiwa kwa mauaji ya kutokusudia ya Watu zaidi ya 400 anaodaiwa kuwataka Wafunge kula hadi wafe ili wakutane na Yesu. Hatua hizo zinafuatia Uchunguzi...
Back
Top Bottom