mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Robert Boaz na DPP Biswalo Mganga, wamewasili kwenye Kisiwa cha Ukara, Ukerewe, kwa lengo la kufanya uchunguzi ili kuwabaini wanaotenda uhalifu uliopelekea mauaji ya watu wawili kisiwani hapo na kufanya wananchi kuishi kwa hofu. Hatua hiyo imekuja...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari: Rwanda yatoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa kwa Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi la Rwanda

    Aloys Ntiwiragabo, Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 anatafutwa ili kujibu mashitaka yanayomkabili, baada ya Rwanda kutoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa dhidi yake Jumanne Agosti 25. Aloys...
  3. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Je, huyu binti alikuwa sawa kupanga mauaji ya mama yake kwa kosa alilomtendea?

    Gypsys Rose Blanchard alikuwa akiishi na mama yake aliyejulikana kama Dee Dee Blanchard, ambaye alikuwa akidai ya kwamba Gypsy alikuwa na matatizo ya kiafya ambayo yameathiri ukuaji wake. Watu wote kuanzia madaktari, familia na jamii kwa ujumla walikuwa wanaamini madai haya, ila ukweli ni kwamba...
  4. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

    Wakuu wa jukwaa, Leo ningeomba tukumbushane, ni nini hasa kilisababisha vurugu za mwembechai mwaka 1998? Wakina nani walikuwa nyuma ya tukio lile? Wangapi walipoteza maisha? Je kuna askari ambao walichukuliwa hatua yoyote kutokana na vurugu zile? Ahsanteni. MAONI YA WADAU Pia Soma...
  5. Dam55

    JamiiForums Tanzania Riwaya; Mauaji ya kasisi

    RIWAYA: MAUAJI YA KASISI MTUNZI: richard MWAMBE Simu: +255 766 974865 UTANGULIZI MAUAJI YA KASISI © Richard Richard Mwambe Ni kizaazaa katika jiji la Nairobi, Kasisi wa kanisa katoliki anauawa katika lango kuu la kuingilia kanisani hapo mapema alfajiri. Sajini Maria na wasaidizi wake...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga yafanya mauaji - Yatuma ujumbe wa kutisha kwa Simba

    Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1 Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na wenye kuonesha soka la kitabuni soka la kuvutia...mchezaji wa yanga mahiri kwa jina la ykpe leo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, Dotto Biteko tunasubiri tamko la Serikali kuhusu mauaji ya wachimbaji wadogo wadogo

    Kufuatia mauaji ya wachenjuaji wapatao wanne waliokatwa mapanga huko ntambalale kahama niwakati sasa wachimbaji wapewe hadhi yao katika kazi zao kwa kupewa ulinzi ktk maeneo yao yakazi. Haiwezekani kila siku media zinawasifu wachimbaji wadogo kwa kuongeza mapato ya serikali lakini usalama wao...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa sugu wa mauaji mbaroni

    Mtuhumiwa sugu wa mauaji na uvunjaji nyumba aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu na Jeshi la Polisi mkoani Tabora, amekamatwa kutokana na msako mkali uliofanywa maeneo mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa alisema...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya lakamata watuhumiwa wa tukio la mauaji, akiwemo Polisi

    JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa...
  10. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauaji ya kikabila huko Kenya

    Hawa bado wana mambo ya kizamani sana. Eti ukabila bado unawafanya wanyukane mishale na kuuana. Halafu utawasikia oh mbona na huko Tanzania kuna fujo. Kizungu cha ugoko kingii lakini bado. ======= Ethnic killings in Marsabit County continue to intensify as four more people are killed today...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi sita kushtakiwa kwa mauaji waliyotekeleza wakati wa 'marufuku ya kutembea usiku'

    Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi nchini Kenya katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutembea usiku ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, ripoti huru ya mamlaka inayoangazia makosa ya polisi katika taifa hilo (IPOA) imesema. Polisi sita sasa watashtakiwa kwa makosa ya...
  12. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

    EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe, ======= Joint Statement by the European Union...
  13. J

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi yalaani mauaji ya George Floyd wa Marekani

    Mwenyekiti wa chama kikuu tarajiwa cha upinzani NCCR Mageuzi James Mbatia amelaani vikali mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd akiwa katika mikono salama ya polisi. Mbatia amemtaka Rais Trump kulishughulikia kwa haki swala hili. Chanzo: Clouds TV Maendeleo hayana vyama!
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Taharuki yatanda mitandaoni kutokana na mauaji ya mwanafunzi aliyekuwa akijisomea Kanisani

    - Mwanafunzi huyo alikuwa anajisomea ndani ya kanisa la Redeemed Christian Church of God (RCCG) wakati wa tukio hilo - Familia yake ilipokea simu kutoka mama mmoja wa kanisa hilo - Uwavera alikimbizwa hospitalini baada ya mlinzi kumpata sketi yake ikiwa imechanika na blauzi yake ikiwa imelowa...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mbona Afrika hatuandamani kupinga mauaji ya kikatili na kifedhuli ya mweusi mwenzetu?

    Thousands of people in New Zealand marched in solidarity Monday with those in the United States protesting the death in police custody of African American George Floyd. Protesters in Auckland marched to the U.S. Consulate and chanted slogans familiar at U.S. protests, including “black lives...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Nasubiri tamko la Wanademokrasia CHADEMA kulaani mauaji yaliyofanywa na Polisi wa Marekani

    Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani. CC: Mmawia
  17. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

    Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
  18. Mtini

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure utakaokusaidia: Ukiona watu wanapigana mtaani pita kando, kushangaa shangaa unaweza kubambikiwa kesi ya mauaji

    Nina mifano mitatu ya kweli kabisa: 1. Nimewahi kuingia gerezani kwa usiku mmoja, huko nilikutana na mtu mmoja aliyepewa kesi ya mauaji kwa sababu hii. Alikuwa anapita njia akakuta jamaa kadhaa wanampiga mtu, akabaki hapo kama mshangaaji. Siku kadhaa zikapita aliyepigwa akafariki, polisi...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Felicien Kabuga anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari ya Rwanda (1994) kusikilizwa Arusha, Tanzania

    Kesi ya Felicien Kabuga ambaye anashtakiwa kwa mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 inatarajiwa kusikilizwa hapa nchini Mwendesha Mashtaka Mkuu wa MICT, Serge Brammertz amesema kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa jijini Arusha, mahali ambapo Mtuhumiwa huyo alishtakiwa kwa makosa saba...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyehusika na mauaji ya Rwanda, Felicien Kabuga akamatwa baada ya miaka 25

    Felicien Kabuga (84) ni mmoja wa Rwanda anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya Rwanda. Ameishi Asnieres-sur-Seine, Ufaransa kwa jina feki ili kuficha utambulisho akiwa na watoto wake Kabuga anashutumiwa kwa kufadhili wanamgambo wa Interahamwe, Mwaka 1994, yalipotokea machafuko nchini Rwanda na kuua...
Back
Top Bottom