Nafikiria kuifungulia mashtaka Serikali ya African Kusini kwa mauaji na ubaguzi wa rangi uliokithiri kwa wageni

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Habari wanajamvi.

Kama kichwa Cha habari kinavyotanabaisha. Nikiwa Kama mtanzania mpenda haki na ambaye nachukia ubaguzi wa rangi na mauaji ya watu wengine Tena wasiokuwa na hatia, ninafikiria kufungua kesi mahakama ya kimataifa dhidi ya Serikali ya Afrika Kusini kwa kuwa ama makusudi/ kushindwa kuchukua hatua kudhibiti ubaguzi wa rangi na mauaji ambayo yamekuwa yakifanywa na raia wa nchi hiyo kwa wageni, huku wakisingizia kwamba wageni hao wanachukua fursa zao.

Lengo langu ni kuiomba mahakama itoe adhabu kali dhidi ya Serikali hiyo kwani mauaji haya yamekuwa yakifanyika miaka nena rudu bila hatua stahiki kuchukuliwa kukomsha kabisa janga Hilo la ubaguzi.
 
Utawafungulia ukishtaki raia wao au serikali.. mbona Ni kama kesi yako haina mashiko?
 
Habari wanajamvi.
Kama kichwa Cha habari kinavyotanabaisha. Nikiwa Kama mtanzania mpenda haki na ambaye nachukia ubaguzi wa rangi na mauaji ya watu wengine Tena wasiokuwa na hatia, ninafikiria kufungua kesi mahakama ya kimataifa dhidi ya Serikali ya Afrika Kusini kwa kuwa ama makusudi/ kushindwa kuchukua hatua kudhibiti ubaguzi wa rangi na mauaji ambayo yamekuwa yakifanywa na raia wa nchi hiyo kwa wageni, huku wakisingizia kwamba wageni hao wanachukua fursa zao.
Lengo langu ni kuiomba mahakama itoe adhabu kali dhidi ya Serikali hiyo kwani mauaji haya yamekuwa yakifanyika miaka nena rudu bila hatua stahiki kuchukuliwa kukomsha kabisa janga Hilo la ubaguzi.
Ngwanjima; mwamposwa, Kakube watakuwa mawakili wako?
 
walikuita... nchini kwao...? hii kesi ingekuwa na mashiko kama wange kuwa wanafanya mauaji nje ya nchi yao...

nb

tuacheni vihere here vya kwenda nchi za watu...!​
 
Una hoja usikilizwe.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
walikuita... nchini kwao...? hii kesi ingekuwa na mashiko kama wange kuwa wanafanya mauaji nje ya nchi yao...

nb

tuacheni vihere here vya kwenda nchi za watu...!​
Wewe ndo mjinga toleo la kwanza kabisa. Kwa hiyo kwa sheria za kimataifa ni ruksa kufanya mauaji ya wageni walioingia nchini mwako kwa ajili ya kutafuta Maisha?
 
Back
Top Bottom