Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936

Nov 10, 2023 02:53 UTC

  • Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mashambulizi ya kinyama yanayoandelea kufanywa na utawala huo pandikizi katika Ukanda wa Gaza.
Julius Malema, kinara wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) alitoa mwito huo jana Alkhamisi wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wanamajimui wa Afrika katika Chuo Kikuu cha Lukenya, kaunti ya Makueni mashariki mwa Kenya.
Malema ameeleza bayana kuwa, kuna haja kwa mahakama ya ICC yenye makao yake makuu mjini The Hague nchini Uholanzi kuchukua hatua ya kuiwajibisha Israel kwa jinai inazofanya dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
Kadhalika kiongozi huyo mashuhuri wa upinzani nchini Afrika Kusini sanjari na kukosoa ziara ya majuzi ya Mfalme Charles wa Tatu wa Uingereza mjini Nairobi, amesisitiza kuwa London inapasa kuwafidia Wakenya ambao ama waliuawa, kujeruhiwa au kupoteza mali zao katika enzi za ukoloni.
4c3rca6c2168c72e9kv_800C450.jpg
Ukatili wa Wazayuni katika Ukanda wa Gaza
Jumanne iliyopita, Waziri wa Uhusiano na Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini, Naledi Pandor wakati wa hotuba yake kwenye Bunge la nchi hiyo, aliitaka ICC kuuwajibisha utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na vitendo vyake vya ukiukaji wa sheria za kimataifa wakati utawala huo ukiendelea kufanya jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
Matamshi hayo yalitolewa siku moja baada ya Afrika Kusini kuwaita nyumbani wanadiplomasia wake wote waliokuwa Israel kulalamikia jinai zinazoendelea kufanywa na Wazayuni Gaza.
Afrika Kusini ambayo ni muhanga wa mfumo wa ubaguzi wa rangi wa apartheid, daima imekuwa ikiwatetea na kuwanga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
 
Now days this dude linatalk bulshit pengine limeathirika na Madawa ya kulevya... Kuhusu Mahakama Putin ni Mshitakiwa na alisema Putin hawezi kamatwa na hiyo Mahakama.. leo Israel haipo kwenye hiyo Mahakama anasema Netanyahu akamatwe ndio uchizi huu...

And Israel inapigania watu wake yeye anampigania Allah so kama hajui haki aende tu akapigane ndio suluhisho kwake kama hawezi atulie asijiaibishe.. anaufanya vijana tuonekane wajinga.. alichokifanya Hamas hakina mfano wa kuigwa... atulie ale kichapo kama wenzake
 
Hawakukosea ANC kumtimua pandikizi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Morning rubbish
 
Kiukweli, Julius Malema aliishapoteza mwelekeo.
 
Malema hana tofauti na Braza K wa Futuhi
 
Huyu mpi

Huyu mpuuz amesahau kuna waafrica waislamu wanaouwawa hapa Darfur Sudan na waarabu tena massacre
 
ila alimkumbatia Russia
 
kutoka kutangaza ushindi wa magaidi ya Hamas mpaka kuripoti taarifa za mtu asiyekuwa na madaraka yoyote Afrika ya kusini.

Pole sana Allah kawaonesha kuwa yeye siyo wa Magaidi
 
Wamkamate Putini kwanza
 
Malema chizi tu kama machizi wenzake wa EFF. Wanajali matumbo yao kuliko hata hao wananchi wanaojidai wanawatetea. Sehemu ambazo Malema na EFF yake wanakoungwa mkono na walikoshika madaraka ndiko waliko masikini kuliko sehemu yoyote huko SA. Malema asaidie kwanza masikini anaowaongoza badala ya kuleta kelele za Hamas na Israel

Kuna Waafrika wanauliwa Sudan, Ethiopia, DRC na Somalia mbona hajapiga kelele huko nako wauaji wakamatwe na kupelekwa ICC?
 
Hapa katikati nimegundua watanzania wengi hatuna values/standards tunazoziamini na kuzitetea

Ni watu ambao hatueleweki tuna simamia nini
 
Back
Top Bottom