Mauaji haya yangefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea sababu sio "dikteta"?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani

Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote.

≠============

View: https://youtu.be/AEIYY8IyB9w?si=HYXCGwq5FXvyGN_D

Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha kupelekwa kusikojulikana na baada ya Familia kuwatafuta bila mafanikio hatimaye December 28,2023 asubuhi miili yao ikafikishwa Amana Hospital na Watu waliojitambulisha ni Askari wakidai miili hiyo wameiokota.

Mzee Swalehe Kacheuka ambaye ni Baba Mzazi wa Shomari ameiambia @AyoTV_ kuwa “Babuu alikuwa anafanya kazi Kariakoo kampuni ya kuuza pikipiki, aliporudi kazini wakaja Wat waliojitambulisha ni Askari ila hawajavaa sare wakamsimamisha kwamba upo chini ya ulinzi akawauliza nimefanyaje wakawa wanabishana wakampiga risasi ya mguu, Kaka yake katoka wakamnyooshea bastola, akaja Rafiki yake Ismail wakati wanamkunja akasogea wakampiga risasi ya mguuni na wakawachukua wote wakaondoka nao, Ismail walimpakia kwenye IST, Bakari wakampakia kwenye Defender”

Kwa upande wake Mzazi wa Shemeji wa Bakari Ismail amesema “Tulipopata taarifa asubuhi December 28,2023 tukaamkia Polisi Buguruni tukaambiwa hawajaletwa, tukazunguka vituo vya polisi karibu sita hatukufanikiwa, tukazunguka Hospitali tukaambiwa hawajaletwa, mida ya saa 8 mchana tukaambiwa kuna miili Amana ambayo imepelekwa na Polisi wakisema wameowakota Vingunguti”

Familia hizo mbili zimesema miili ya Vijana hao imekutwa na matundu ya risasi na macho yao yametobelewa, Ayo TV imefanya jitihada za kulitafuta Jeshi la Polis Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo lakini hatujafanikiwa ingawa bado tunaendelea na jitihada za kuwatafuta.
 
utawala huu majambazi unaweza kukutana nayo yakakunyang'anya vitu na kukusindikiza nyumbani huku wanakupigia mziki na maumivu husikii ila polisi ni zaidi ya magaidi hatujui nani anatulonda raia na mali zetu hapo itaundwa tume ya mavi na mkojo vitapelekwa maabara majibu yatakuwa marehemu walikula mihogo buguruni sheli na maembe bila kuoshwa shenzi kabisa!
 
Familia hizo mbili zimesema miili ya Vijana hao imekutwa na matundu ya risasi na macho yao yametobelewa, Ayo TV imefanya jitihada za kulitafuta Jeshi la Polis Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo lakini hatujafanikiwa ingawa bado tunaendelea na jitihada za kuwatafuta
Kuna mswada ulikpelekwa bungeni kuwa wanapofanya mauaji wasiguswe huenda ulipitishwa kimyakimya
 
Baadhi ya vijana ni majambazi sugu yaliyoshindikana hivyo siku wakiingia kwenye 18 matokeo ndiyo hayo.
 
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani

Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote

≠=============================

View: https://youtu.be/AEIYY8IyB9w?si=HYXCGwq5FXvyGN_D

Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha kupelekwa kusikojulikana na baada ya Familia kuwatafuta bila mafanikio hatimaye December 28,2023 asubuhi miili yao ikafikishwa Amana Hospital na Watu waliojitambulisha ni Askari wakidai miili hiyo wameiokota.

Mzee Swalehe Kacheuka ambaye ni Baba Mzazi wa Shomari ameiambia @AyoTV_ kuwa “Babuu alikuwa anafanya kazi Kariakoo kampuni ya kuuza pikipiki, aliporudi kazini wakaja Wat waliojitambulisha ni Askari ila hawajavaa sare wakamsimamisha kwamba upo chini ya ulinzi akawauliza nimefanyaje wakawa wanabishana wakampiga risasi ya mguu, Kaka yake katoka wakamnyooshea bastola, akaja Rafiki yake Ismail wakati wanamkunja akasogea wakampiga risasi ya mguuni na wakawachukua wote wakaondoka nao, Ismail walimpakia kwenye IST, Bakari wakampakia kwenye Defender”

Kwa upande wake Mzazi wa Shemeji wa Bakari Ismail amesema “Tulipopata taarifa asubuhi December 28,2023 tukaamkia Polisi Buguruni tukaambiwa hawajaletwa, tukazunguka vituo vya polisi karibu sita hatukufanikiwa, tukazunguka Hospitali tukaambiwa hawajaletwa, mida ya saa 8 mchana tukaambiwa kuna miili Amana ambayo imepelekwa na Polisi wakisema wameowakota Vingunguti”

Familia hizo mbili zimesema miili ya Vijana hao imekutwa na matundu ya risasi na macho yao yametobelewa, Ayo TV imefanya jitihada za kulitafuta Jeshi la Polis Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo lakini hatujafanikiwa ingawa bado tunaendelea na jitihada za kuwatafuta

Duh..na kweli tukio hili la ujambazi awamu ya 5 bila shaka lingelaumiwa kwamba ni udikteta wa magufuli ila kwa leo samia anapeta tu huku pengine polisi wanadhulumu raia kwa kufanya ujambazi.
 
Kwahiyo unataka kusema hili lingetokea wakati wa magu ndo ingekuwa sahihi ila kwasababu ni mama sio sahihi?? Tusiteteee uovu kwakivuli cha mahaba kila anaefanya baya akosolewe awajibishwe
 
Sijasema hivyo dena
 
Historia za hao Vijana Tafadhali.

Pili hivi Kwa nini Polisi wanasikiaga Raha kutesa na kuua wengine?

Kuna Vijana kadhaa wameuwawa Kwa.kipigo Polisi Kwa makosa madogo tuu ya wizi wa vitu vya kawaida.

Sasa inakuaje wanaopiga wenzao Hadi Kufa Huwa wanajiskiaje?
 
uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji

Hapa vyombo vya dola wana nafasi nzuri ya kuwapata waliofanya mauaji.

Maana walionekana maeneo wakimsubiri marehemu arudi, hivyo hii ni operesheni inayojulikana.

Ili kupata majibu maswali haya yaulizwe :

  1. Nani alifungua faili la msako
  2. Kituo gani cha polisi kilipewa jukumu
  3. Au ni task force / kikosi gani maalum kilipewa jukumu
  4. Nani kama kiongozi, aliongoza operesheni kuelekea eneo alilodhaniwa marehemu watawakuwepo ili wakamatwe
  5. Kiongozi huyo alikuwa na watu wangapi ktk kikosi cha mauaji
  6. Watu waliokuwapo ktk kikosi ni kina nani
  7. Magari yaliyotumika katika operesheni yalikuwa yapi
  8. Madereva wake ni kina nani
  9. Baada ya kuwakamata na kuwapiga risasi raia, kina nani waliwaingiza ktk magari
  10. Magari hayo yalienda wapi
  11. Miili miwili iliokotwa wapi
  12. Polisi kituo gani walifika kuokota miili
  13. Nani aliifikisha miili Amana Hospitali Ilala jijini Dar es Salaam
  14. Mortuary attendant walikuwa kina nani
  15. Miili hiyo ilikuwa na risasi walizopigwa au waliongezewa risasi na miili kuharibiwa zaidi
  16. Nini sababu ya majeraha kuongezeka katika miili
NI utaratibu kuwa hakuna operesheni ambayo haijajadilliwa itafanyika vipi, silaha zitatoka wapi, mkuu wa operesheni ni nani, aliongoza watu wangapi na waliimaliza operesheni ya kipolisi muda gani.

Hayo yakifanyika ni rahisi kujua ni nani alihusika na operesheni hiyo, sababu ya operesheni pia usiri wa kutohusisha viongozi wa mtaa au hata watu waliokuwa ktk nyumba kuwa walifika hapo kikazi na wajitambulishe pia kusema wanakwenda wapi na mtuhumiwa/ watuhumiwa ili haki ya kujua ndugu yao wamepelekwa wapi na wapo ktk hali gani mikokoni mwa Polisi kabla hawajaondoka nao.

View: https://m.youtube.com/watch?v=B5x4UmcaKM8
 
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani

Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote

≠=============================

View: https://youtu.be/AEIYY8IyB9w?si=HYXCGwq5FXvyGN_D

Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha kupelekwa kusikojulikana na baada ya Familia kuwatafuta bila mafanikio hatimaye December 28,2023 asubuhi miili yao ikafikishwa Amana Hospital na Watu waliojitambulisha ni Askari wakidai miili hiyo wameiokota.

Mzee Swalehe Kacheuka ambaye ni Baba Mzazi wa Shomari ameiambia @AyoTV_ kuwa “Babuu alikuwa anafanya kazi Kariakoo kampuni ya kuuza pikipiki, aliporudi kazini wakaja Wat waliojitambulisha ni Askari ila hawajavaa sare wakamsimamisha kwamba upo chini ya ulinzi akawauliza nimefanyaje wakawa wanabishana wakampiga risasi ya mguu, Kaka yake katoka wakamnyooshea bastola, akaja Rafiki yake Ismail wakati wanamkunja akasogea wakampiga risasi ya mguuni na wakawachukua wote wakaondoka nao, Ismail walimpakia kwenye IST, Bakari wakampakia kwenye Defender”

Kwa upande wake Mzazi wa Shemeji wa Bakari Ismail amesema “Tulipopata taarifa asubuhi December 28,2023 tukaamkia Polisi Buguruni tukaambiwa hawajaletwa, tukazunguka vituo vya polisi karibu sita hatukufanikiwa, tukazunguka Hospitali tukaambiwa hawajaletwa, mida ya saa 8 mchana tukaambiwa kuna miili Amana ambayo imepelekwa na Polisi wakisema wameowakota Vingunguti”

Familia hizo mbili zimesema miili ya Vijana hao imekutwa na matundu ya risasi na macho yao yametobelewa, Ayo TV imefanya jitihada za kulitafuta Jeshi la Polis Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo lakini hatujafanikiwa ingawa bado tunaendelea na jitihada za kuwatafuta

Watu washalamba asali tuendelee kuumia.
 
Duh..na kweli tukio hili la ujambazi awamu ya 5 bila shaka lingelaumiwa kwamba ni udikteta wa magufuli ila kwa leo samia anapeta tu huku pengine polisi wanadhulumu raia kwa kufanya ujambazi.
Mafisadi akina ligum , na wuza madawa pamoja na akina zito hakiki wwngeandika kila aina ya makala kuonyesha huu utawala ni wa hovyo na ndo wahusika
 
Back
Top Bottom