WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,014
WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno,

Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii wa lebo ya kings music wakakata tamaa wakaondoka.

kwa sasa huko wcb, mwanadada zuchu ni fire, moto wa kuotea mbali kabisa, kazi zake zina hit ile ile.

kwa sasa hata boss wake naona amekubali tu kwamba ni wakati wake

Diamond kwa hili wazo la lebo kaulamba, kama ni pesa tu ataingiza sana tu hata akiacha muziki wasanii wa lebo yake wataendelea kumuingizia mpunga, heshima, nk

1625391926230.png
 
Hebu tupe ubuyu kidog Kwa nn Harmonize view Mil 4 , Zuchu view Mil 1.6 lakin Zuchu namba moja trending na Harmonize namba 6
 
Zuchu kiukweli ana nyota Kali Sana Yeye ndio msanii ambaye amepata show nyingi sana mwaka Huu but pia ana number kubwa Sana ya mauzo ya mziki wake ukimtoa Diamond.
 
Hebu tupe ubuyu kidog Kwa nn harmonize view Mil 4 , Zuchu view Mil 1.6 lakin Zuchu namba moja trending na harmonize namba 6

Hao ndo views wake wa halali wa hapa tanzania kwa upando wa harmo ndo wamemueka hapoo ila wale Wa ku boostt kwa kununua wnaongezeka tuuu
 
WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno,

Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii wa lebo ya kings music wakakata tamaa wakaondoka.

kwa sasa huko wcb, mwanadada zuchu ni fire, moto wa kuotea mbali kabisa, kazi zake zina hit ile ile.

kwa sasa hata boss wake naona amekubali tu kwamba ni wakati wake

Diamond kwa hili wazo la lebo kaulamba, kama ni pesa tu ataingiza sana tu hata akiacha muziki wasanii wa lebo yake wataendelea kumuingizia mpunga, heshima, nk

View attachment 1840342
Yoo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom