Uchaguzi 2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kutangazwa jijini Dodoma

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,585
142,884
Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.

Source: Habari Leo

Maendeleo hayana vyama!
 
maendeleo yana chama ingawa haisemwi hadharani
 
Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.

Source: Habari Leo

Maendeleo hayana vyama!
Tunakokwenda ndio gizani zaidi,hivi kiukweli kuna tume HURU ya uchaguzi nchini?hivi kuna chaguzi ndani ya nchi yetu,ewe dunia simama kidogo nishuke ili nipotelee hapo Botswana,nchi huru,amani ya kweli,maendeleo ya nguvu(wanategemea almasi zaidi na kidogo utalii)idadi ndogo ya watu(hawazaani kama sisi),na matokeo ya uchaguzi mkuu yanapingwa mahakamani,(mahakama huru) watch the space!!halafu humu tuna mtu ambaye ni senior member wa JF anakuja na uzi wa tume huru ya uchaguzi!!!wakati hii tume yote imeteuliwa na mpangaji mkuu wa pale magogoni!!ambaye naye ni mgombea na mwenyekiti wa chama cha kisiasa!!tutasubiri sana nchini kwetu,karibuni huku Lingusenguse (sasawala).
 
Halafu sioni mkakati wowote wa akina Mbowe kugomea uchaguzi !!
 
Hii nayo ni habari? Uchaguzi wa kumchagua nani? Na hiyo tume unayoiita huru ilipata uhuru lini na kutoka wapi?
 
Siku hizi mnawanyan'ganya wapinzani kira sio kuwaibia tena kama zamani, kwa hiyo matokeo ya unyan'ganyi ndio yatatolewa dodoma kwa mara ya kwanza!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.

Source: Habari Leo

Maendeleo hayana vyama!
Tume ya uchaguzi na Siyo Tume huru ya Uchaguzi usipotoshe watu tangu lini kumekuwa na tume huru ya uchaguzi? Inayotambulika ni Tume ya uchaguzi chief. (NEC). Hiyo ya kwako sijui umeitoa wapi.
 
Halafu sioni mkakati wowote wa akina Mbowe kugomea uchaguzi !!
Kuna siku I nakuja CCM lazima watafanya kosa ambalo litawamaliza wao wenyewe. Empires zote zilizoexist huko nyuma kuanzia Roma hazikuanguka kwa kuwa walipenda. Kwa arrogance waliyonayo CCM inaonyesha kuwa mwisho wao uko karibu kuliko tunavyofikiria. It's just a matter of time.
 
Back
Top Bottom