Umezuia matokeo unataka nishani ya heshima kweli?

Umezuia matokeo unataka nishani ya heshima kweli?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,277
Reaction score
14,324
Kuna mambo yanatafakarisha sana. Hivi kweli katika hali ya kawaida unazuwia data na kufuta kila aina ya uchunguzi.

Alafuanatokea Taasisi auchombo kina liamuru Bunge kutoa nishani kwa kiongozi kwa kukabiliana vyema na hathari za Covid 19.

Mimi nadhani kuna mahali tumepotoka kama taifa.

Kiufupi pamoja na mazuri ameyafanya mkuu ila hatoweza pata medali zakimataifa na hii nikutokana na vile alivyo ongoza vile vigezo vya ubora wakiongozi bora hatovifikia na huwo ndio ukweli mchungu kwetu sote.

Kama tunavyomuita buludoza ndivyo kwa aina ya uwongoz wa buludoza au jiwe hauwezi pata nishani za kimataifa na hata kitaifa Labda kama tuamue kuwa taifa la kifalme ila Democracy ameshakosa zawadi hata ile ya Tajiri wa Africa hawezi kupata.

Zipo kaliba za good leadership kazisome utakuja hapa kuniambia.
 
Hizo nishani anae zitoa nani?!!

Jawabu fupi
Ni Mzungu....!!!

Mzungu anakupa nishani ww mtu mweusi,na kupambwa kwa sifa kedekede...kisha unaona upo sawa...!!!

ajabu sana

Mwanaume au Kiongozi wa kweli
Ni yule anaelifanyia mema taifa lake,hata kama Mbwa watampigia makelele

Fahamu hilo Chief

Kiongozi wa Nchi,ni sawa kabisa na Baba wa Familia,anafahamu meengi usiyoyafahamu ww kinda...
Kwa mantiki hii
Ni bora aongee Baba yako,ww mtt kaa kimya,huna ujualo

Shukran sana
 
Ajabu iliyopo hakuna utofauti wa uongozi wa bulldoza na chama kikuu cha upinzani japo hakijapata madaraka.

Hapo ndipo wananchi wa kawaida hatuelewi nani yupo na sisi kidhati kutuinua katika lindi la maisha duni.
 
Bulludoza ....Hakuna atayempa Award kwasababu nikatili na Muuaji.
 
Kuna mambo yanatafakarisha sana. Hivi kweli ktk hali yakawida unazuwia data na kufuta kila aina ya uchunguzi.

Alafuanatokea Taasisi auchombo kina liamuru Bunge kutoa nishani kwa kiongoz kwa kukabiliana vyema na hathari za Covid 19.

Mimi nadhani kuna mahali tumepotoka kama taifa.

Kiufupi pamoja na mazuri ameyafanya mkuu ila hatoweza pata medali zakimataifa na hii nikutokana na vile alivyo ongoza vile vigezo vya ubora wakiongozi bora hatovifikia na huwo ndio ukweli mchungu kwetu sote.

Kama tunavyomuita buludoza ndivyo kwa aina ya uwongoz wa buludoza au jiwe hauwezi pata nishani za kimataifa na hata kitaifa Labda kama tuamue kuwa taifa la kifalme ila Democracy ameshakosa zawadi hata ile ya Tajiri wa Africa hawezi kupata.
Zipo kaliba za good leadership kazisome utakuja hapa kuniambia.
Is it his aim to get the medals or awards being local or international ones ??
Nyerere mbona alifanya Mengi kimataifa na kitaifa, je alipata hizo nishani kulingana na uhalisia wetu sisi au "uhalisia wa" wa wafaidika ambao sio sisi bali vyombo vya "mabeberu" hivyo ni vizuri ukajitathimi na kujiheshimu unapobeba ujumbe wowote. Usiwe kama bendera hufuata upepo
 
Ndo utajua kuwa katika dunia kuna miungu, inaabudiwa na kuimbiwa Wimbo huu,

Bwana wa mabwanaaa, Rais wa Wabungee,
Alfa na omegaaa, Nani akupingeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom