matokeo

  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Shule za mkoa wa Kilimanjaro zinafeli wapi maana hazimo Top ten ya matokeo kidato cha nne!

    Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro. Tunafeli wapi jamani? Maendeleo hayana vyama!
  3. Mqqqqqm

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu matokeo haya ya Form Four

    Wapendwa! Naomben ushauri wenu Nina mdogo wangu amemaliza form four na amepata four ya 26 Kiswa B, English C, Lit Engl D Bios, Civics, Geog---- D Hist F and Math F Je, anaweza kwenda kusoma advance au njia gani nyingine ya ziada ifanye ili asonge mbele kielimu?
  4. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Makonda kachangia sana kupanda kwa ufaulu wa matokeo kidato cha 4 mkoa wa Dar

    Huyu jamaa alikua akihimiza ujenzi wa staff nzuri za walimu wa Dar.Walimu huvutiwa zaidi na mazingira mazuri ya kazi.Viongozi wengi wanahimiza ujenzi wa madarasa na kuwasahau walimu wao.Naomba wakuu wa mikoa yote Tz waige mfano huu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania WADAU WA KATA BWANJAI: MATOKEO YA MITIHANI YA BWANJAI SEKONDARI MMEYAONA?

    Nasikia kuna umoja wa maendeleo ya kata Bwanjai, hata juzi mlifanya mkutano (BWANJAI DAY) wa kuona namna ya kusaidia maendeleo ya Bwanjai. Nadhani pa kuanzia ni hapa shuleni! Diwani Phocus, tatizo liko wapi? Tuanzie hapo hata kabla ya kuinvest sana kwenye maendeleo ya vitu vingine (navyo ni...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Ufanyike uchunguzi kwanini watoto wa Mtwara wana poor performance. Jibu likipatikana ifanyiwe mkakati wa kuinua elimu Mtwara. Kama ni kuanzisha madarasa ya Jumamosi nje ya syllabus. Serikali itenge fungu maalum la kuinua elimu Mtwara. Hali ikiachwa hivi, hii jamii itakua imetengwa sana...
  7. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2020: Siku hizi hakuna 'penati' za Civics na Basic Mathematics?

    Wakuu, nawasalimu! Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16. S............ F 16 I CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY -...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata matokeo ya mwanafunzi anayesema amesahau namba yake?

    Huyu ni mtoto wa ndugu yangu, anadai haikumbuki namba yake, ila ukweli ni kwamba anajaribu kuficha matokeo yake.
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya simu ya Rais Trump akimshinikiza Katibu Mkuu wa Jimbo la Georgia kubadili matokeo ya uchaguzi ya jimbo la Georgia

    Rais wa Marekani, Donald Trump alimshinikiza Katibu Mkuu wa jimbo la Georgia kwa chama cha Republic, Brad Raffensperger kutafuta idadi ya kura za kutosha kubadilisha matokeo ya jimbo hilo akimtishia kuweza kutenda 'kosa la jinai' katika mazungumzo ya simu yaliyodumu kwa muda wa saa moja, gazeti...
  10. Shobi

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umewahi kumpa mtu ukaleta matokeo ya faida au matatizo makubwa?

    Wakuu mambo vipi Katika harakati za hapa na pale maisha unaweza kuchangia matokeo fulani kwa watu tunaoshirikiana nao. Rafiki yangu mmoja aliniomba ushauri kuhusu kuoa (ingawa mwenyewe sijaoa ila nikatoa kama kocha hachezi ila ni mwalimu) nikampa ushauri huyo mwanamke yupo poa kabisa wewe komaa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Naomba Mrejeshi wa Matokeo ya Uchunguzi unaofanywa na Serikali Dhidi Ya Kampuni ya Qnet

    Moderator tafadhali rekebisha kichwa cha habari isomeke Mrejesho badala ya Mrejeshi. Ni muda umepita sasa tokea taarifa za kuanza kwa uchunguzi dhidi ya Kampuni ya Qnet zitolewe. Aliye na mrejesho atujuze kwani bado tuna machungu makubwa na hela zenu tulizokopa na kuamua kuwekeza tukiamini...
  12. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

    Wakuu salama? Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe. Maswali ya utafiti (Research questions): 1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo...
  13. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Wanaogopa kujitokeza hadharani kuunga mkono mapambano, ila wanajiandaa kushangilia matokeo hadharani!

    Na: =AZUyJE0XsASvCgGjApTGwS3L_hCJUm7gOWzdXrklxTEyYZwd2V8bnDc5yL-bEXA4xJa55xT6o_FzdS26Nal8Gy1GMe5g7GktQi_B2uIrS59dw84mrd2M-CfjGME0Yw-AnGIkMA7oXpsPMtvtKPiuOeLb3XbdESgr4_7NKSdEzAkcO6lmp_ng4vkUGGsupURKdvJ941n-ff98T6cy0fKpp_mc&tn=-UC%2CP-y-R']Emmaus Bandekile Mwamakula Hawa wako wengi sana! Wengine...
  14. Andie

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

    Salaam wakuu, Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao. Area of study...
  15. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Ubepari ulivyoandaa misingi ya utandawazi na matokeo ya nchi zinazoendelea

    UBEBARI NAMNA ULIVYOJIKITA KUJENGA NGUZO YA UTANDAWAZI. Na Elius Ndabila 0768239284 Historia inatufunza kuwa ubepari kama mfumo wa mahusiano ya kijamii hushamiri na kuendeshwa kwa kutegemea "udhaifu" wa upande mmoja katika mahusiano hayo. Ni wazi kuwa mfumo huu unaishi katika kuupalilia...
  16. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Matokeo Darasa la Saba: Baadhi ya majina ni fake, tazama hizi shule hapa

  17. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ndio chanzo cha kuharibika jamii, mwanamke ni matokeo tu hivyo asilaumiwe

    Wanaume wenzangu. Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje. Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye...
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TANGAZA UTALII TANZANIA: ATCL na TANAPA wana nini cha kuwapa wanafunzi 10 (bora) waliofanya vizuri Darasa la Saba 2020?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Wiki moja baada ya kutangazwa matokeo, shirika la ndege la ATCL pamoja na mamlaka ya hifadhi ya TANAPA ina nini cha kuwapa wanafunzi 10 bora (waliofanya vizuri) katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA. Sakata hilo liliibuka baada ya wanachama 19 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee...
Back
Top Bottom