matokeo

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Acha matokeo yaongee inahitaji jasho, machozi na damu na kujitoa mhanga kuleta matokeo na si vinginevyo

    kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ongezeko la mshahara linalofanywa kisiasa kwa kupunguzwa kodi kwa asimilia 01 lina matokeo gani?

    Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi. Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
  3. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  4. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya awali kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza yaonesha matokeo mazuri

    Kutoa ajira 100 za mwanzo Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri. Hayo yameelezwa leo Aprili 17, 2021 na Waziri wa Madini...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya awali kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza yaonesha matokeo mazuri

    Kutoa ajira 100 za mwanzo Asteria Muhozya na Tito Mselem, Dodoma Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupiti a Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri. Hayo yameelezwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa TLS Dkt. Edward Hosea na mwenzake wamwaga fulana kwa wajumbe

    Uchaguzi wa rais chama cha wanasheria Tanzania (TLS) unaofanyika jijini Arusha umeshika kasi kukiwa na wagombea watano ila nimeona watu kadhaa wakiwa wamevaa t-shirt nyeupe zikiwa na picha za wagombea tofauti mmojawapo akiwa ni Dr. Hosea na Shehzad Wall. Sijajua kwa nini wagombea hawa wawili...
  7. OLS

    JamiiForums Tanzania Tuziangalie bei za Vifurushi kiuchumi na matokeo yake kwenye ukuaji wa 'Services'

    Bei za virushi hazijaongezeka, zimepaaa, thus ukipima percentage change ni zaidi ya 200%. Je kutakuwa na matokeo gani kiuchumi 1. Ikumbukwe kuwa 'services' imekuwa ikiongezeka kila uchao na huku 'production' ikiwa katika hali fulani tofauti. Kikubwa ni kuwa kulikuwa na huduma na hata wanaouza...
  8. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania App/Software ya kuonyesha matokeo Bongo (NECTA)

    Habari wanajamvi, Natumaini tunaendelea vizuri. Kila mwaka sisi hutarajia matokeo ya mitihani. Hata kama sio ya kwako, mtoto/ shangazi/ mpwa/ mke/ mme nk wanahusika. Naomba kujua kama kuna apps au systems au SMS shortcodes nk ambazo zimerahisisha hili, kiasi kwamba sina haja ya kwenda kwenye...
  9. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Ulaya: Je, Barcelona itafanikiwa kupindua matokeo?

    Baada ya kupokea kichapo kizito cha goli 4-1 kutoka kwa PSG katika Dimba la Camp Nou, Barcelona leo inatupa tena karata yake ya pili kuvaana na PSG ikiwa nyumbani katika uwanja wa Parc des Princes. Huu ni mchezo wa marudiano wa hatua ya mtoano ambapo katika mchezo wa kwanza Kylian Mbappè...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutunuku matokeo ACSEE 2021

    Ni kweli kuwa mfumo wa kutunuku matokeo (grading system) ya ACSEE kwa mwaka 2021 umebadilika ?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kutokomeza umaskini ni matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa

    Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo. Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, John Tendwa: Katiba Mpya itaondoa migogoro ya Uchaguzi. Kwanini Rais hapingwi Mahakamani?

    Salaam Wakuu, Msajili Mstaafu wa Vyama va Siasa Jaji Mstaafu John Tendwa, amesema Katiba Mpya itaondoa Migogoro wakati Uchaguzi. ameyasema hayo leo 13 Feb 2021 Jijini dar Wakati wa kujadili Utatuzi wa Migogoro ya Uchaguzi Tanzania, katika Kongomano lililoandaliwa na Tanganyika law society (TLS)...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amtembelea Rais Mstaafu Dk. Ali Mohamed Shein

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 na bao la mkono alilopiga Halima Mdee isiwe sababu ya kuponda siasa za Bongo

    Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA ilikuwa imekataliwa na Watanzania toka mwaka 2015 baada ya kufanya utapeli na kumpa ridhaa Edward...
  15. future man

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Jamani wakubwa wanaJF, tafadhali naomba msaada wa ushauri kwa haya matokeo. Physics D, Chemistry C, Geography C, Civics B, History C, Kiswahili B, English C, Mathemetics F, Biology B. Lengo ni kwenda technical in laboratory technology. Je, naweza chaguliwa?
  16. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi Madaktari wetu huwa wanashindwa kutafsiri matokeo ya vipimo?

    Nimekuwa nikisikia habari za mtu kuambiwa na ugonjwa huu akawa anatibiwa ugonjwa kwa muda mrefu halafu baadae inakuja kugundulika hana huo ugonjwa. Kuna mdada aliwahi kuhojiwa, aliambiwa na kansa akawa anachomwa mionzi kwa muda wa miaka 2 hadi wakataka kumkata ziwa, ila familia ikampeleka India...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Geita: Wanafunzi wakosa matokeo yao baada ya Mwalimu Mkuu kula ada za Mitihani

    Serikali mkoani Geita imeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Geita Islamic, ifikapo kesho asubuhi iwasilishe stakabadhi za malipo ya mitihani ya wanafunzi, baada ya Mwalimu Mkuu wa shule hiyo kukiri kula ada za mitihani ya Taifa ya wanafunzi wa kidato cha Pili na cha Nne. Akizungumza...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya rufaa Kidato cha Sita 2020: Hakuna grade iliyobadilika

    Wadau angalieni matokeo ya rufaa kidato cha sita 2020. Hakuna liyeweza kubdili grade ya mwanzo. Swali la haja: Kama kuna mwenye kujua hizi rufaa zinakuwa handled vipi i.e aliyeomba rufaa anashirikishwaje katika rufaa anayokata wakati wanarudia kusahihisha? Anakuwa na mwakilishi/au yeye...
  19. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro yashika nafasi ya pili kitaifa matokeo ya kidato Cha nne 2021

    Arusha yasika nafasi ya kwanza, Kilimanjaro ya pili na iringa nafasi ya tatu matokeo ya kidato Cha nne yaliyotangazwa juzi
  20. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
Back
Top Bottom