CCM ilishachokwa kitambo, Mfumo wa chama kimoja uliathiri vipawa na mawazo mbadala, Mwalimu na wenzake waliunga mkono vyama vingi miaka ya 1992 ili kuruhusu mbadala na kuifungua Tanzania. Miaka 29 baadae tunarudi tena nyuma.
Haya ndio madhara ya kukosa mwelekeo.
Kutoka vyama vingi vya...
Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
Habari wakuu hope mpo njema sana na sawia,
kabla sijaingia katika maada kwanza tupeane pole kwa mtikisiko wa sasa unao ikumba hii Dunia yetu, hatuna Dunia ingine ya kuhamia kwa uharaka,
Hata kama ingekuwapo basi tungehamia lakini tungehamia na magonjwa yetu,dhiki zetu,njaa...
Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi.
Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini...
Mwendazake Rais John P. Magufuli alikuwa na sifa moja nzuri kwa kiongozi yeyote.
Kusimamia utekelezaji wa kile alichoamini na kukiamua bila kujali matokeo yake yaani yawe wazuri au mabaya, hasi au chanya.
Alikuwa ni aina ya viongozi "risk takers". Hakuogopa matokeo ya kushindwa. Nadhani ndiyo...
Nimemaliza mwaka huu 2021 PCM division 2.12 na matokeo yafutayo:
Physics D
Chemistry S
Advance mathematics B
Naombeni ushauri ni course gani itafaa kwa ufaulu huo.
Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo:
Vyuo:
1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE?
Matokeo:
2. Nini maana ya distinction na credits. Na nini hatima ya waliopata distinction na credit?
3. Pass inaanzia pointi...
Swali...
Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi (Future Intellectuals) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi...
Wakubwa wazimaaa?
Mdogo wangu amepata CCC EGM.
Kulingana na ujuzi wenu juu ya nchi yetu na uchumi wake. Naombeni ushauri wa kumpa huyu dogo juu ya kozi nzuri ambayo itmuwezesha kujiajiri.
Yeye alikuwa anapenda agribusiness ile ya UDSM.
Kama kuna ushauri wowote hasa hasa kwaUDSM.
Karibuni.
Hatimae shule ya wasichana machame, baada ya kuingiza ingiza wanafunzi top ten miaka iliyopita hapo nyuma, hatimae Rasmi inefanikiwa kutoa Tanzania one matokeo KIDATO CHA SITA 2021
Pongezi kwa walimu,wanafunzi na wazazi kwa kunyesha jitihada.
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo.
Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar wakati akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania...
Wadau, kwakweli sijaona mwaka ambao majibu ya form VI yamechelewa sana kama mwaka huu kwa hii miaka ya karibuni.. Ni miezi miwili sasa na Siku kadhaa toka madogo wamalize mitihani yao ila hadi leo Hamna cha maana, mbona matokeo ya form IV wiki 4 tu yanakuwa tayari yametoka hali ya kuwa shule...
Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake.
Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata udiwani nao nawaza kuwa Marais wa Tanzania au mafirst lady waTanzania.
Someni wenyewe hichi alicho...
Kulingana na hali ilivyokuwa tangu kutangazwa kwa nominies wa tuzo za bet mwaka huu ilijulikana kabisa kuwa mwana kwetu, mwakilishi wetu hana ubavu kabisa kati ya miamba aliyokutana nayo.
Ni kweli kakosa tuzo ila wadau wa mziki hapa nyumbani tumeumia sana ila safari bado ndefu na nafasi bado...
Kwanza naomba niwape pongezi wachezaji wa Azam kwa ushindi ambao wameupata leo kwa kuiondoa Simba. Simba ni level za Biashara ndo ataenda cheza nao.
Sisi Wakubwa tunakutana FAINAL YA AZAM F.CUP.
Match ilikuwa nzuri lakini Ubora wa Azam umeamua matokeo ya match hii. Simba match ya Tarehe 3/07...
Wakuu heshima kwenu,
Kwa mara ya kwanza nimeweza kujicontroll na kuacha kufanya mapenzi na kunywa pombe kwa muda wa miezi mitatu (kuanzia January hadi Aprill mwanzoni)
Nikiri kwamba nimepata nguvu za ajabu mno na uwezo wa ubongo kuchanganua mambo umeongezeka mara dufu. Nilipokuwa meza moja na...
Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka.
Kwa mujibu wa gazeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.