matokeo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nactevet toeni matokeo ya mitihani vijana wajue fate yao, wazazi wajiandae na ada za mwaka 2022/2023 (vyuo vinafunguliwa 17/10/22)

    Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Haya Wanayanga tutabiri matokeo ya leo

    Leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanacheza mechi kubwa. Kulingana na rekodi zao na wapinzani wao. Je, unadhani nani atachomeka au kuchomoa?
  3. Samba

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya interview Chuo cha Ardhi kwa kada ya Assistant Lecturer - ICT yarekebishwe

    Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800? Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 tu?
  4. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Serikali kuunda Tume za Uchunguzi na kutoweka wazi matokeo ya uchunguzi wake inamaanisha inawalinda wahusika?

    Katika nchi zenye idadi kubwa ya Tume za Uchunguzi huenda Tanzania ikaongoza, karibia kia tukio baya iwe Wizi, Mauaji, Uhaliifu wa Kawaida, Uhalifu Mbaya, Ajali za Moto, Magari, Majengo, Vifo vyenye Utata, kote huko tumeshawasikia mara kadhaa viongozi wa nchi hii hadi wale wa ngazi ya juu kabisa...
  5. Slowly

    JamiiForums Tanzania Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Nimekubali matokeo kuepusha umwagaji Damu na kushitakiwa ICC

    Ni takriban wiki mbili zimepita Tangu Rais William Ruto aidhinishwe na Mahakama ya Juu kuwa Rais Mteule na kuapishwa kuwa Rais wa 5, Raila Odinga ametoka hadharani na kusema hofu ya kifo na machafuko imefanya akubali kushindwa Urais. Odinga aliyegombea Urais mara 5 na kupoteza mara zote amesema...
  7. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bukombe walipeni watumishi madeni yao ili tupate matokeo chanya

    Salaam wana jukwaa, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya njema, pia niwashukuru watumishi wote nchini Tanzania kwa kuendelea kujenga Taifa letu bila kujali kadhia mnazokumbana nazo toka kwa wakuu wenu wa vitengo na wengine wengi waliopewa mamlaka ya kusimamia...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni. Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya nafasi za kazi, Nursing Muhimbili/Moi Mwezi wa Saba/Nane yamenishangaza

    Baada ya dogo mmoja mwenye GPA ya 4.7 (Nursing & Midwifery)na Experience ya mwaka kuomba kazi zilizizotangazwa Muhimbili na nafasi nyingine MOI na kujibiwa kuwa amekosa Muhimbili kwa kuwa barua yake haikuwa na picha huku kwenye tangazo alilo soma hakuona hayo maelekezo ya kuweka picha, Pamoja...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya chaguzi tano za UVCCM yafutwa, Rushwa yatajwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za Jumuiya ya Wanawake, kutokana na ukiukwaji wa maadili, rushwa na upangaji safu za uongozi. Chanzo...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Panya Road: Matokeo ya maamuzi mabovu ya viongozi

    Wakati wa utawala wa Awamu ya Tano tulishuhudia kupungua kwa wimbi la uhalifu nchini lakini pia tuliona ongezeko la vijana kwenye sekta ya ujasiriamali na shughuli halali za kujiingizia kipato. Baada ya kuanza kwa Awamu ya Sita, kipaumbele cha kwanza kilikuwa ni kuwazuia na kuwaondoa...
  12. Chief Ortambo Ikumenye

    JamiiForums Tanzania Mliofanya interview DUCE kuna aliyepata matokeo?

    Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote. Sasa hatujui kama tumefaulu au tumefeli na siku ya oral pia ni leo. Nilichoamua asubuhi hii ni kwenda moja kwa moja Duce nikapate...
  13. Satisfy

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mbegu bora ya hoho yenye matokeo mazuri dhidi ya tatizo la kinyaushi

    Wakuu habari. Naombeni msaada anayeijua mbegu bora ya hoho inayoweza kabiliana na tatizo la kinyaushi. Aise ili tatizo limekuwa changamoto sana kwa baadhi ya mazao ya mbogamboga. Ikiwezekana taja jina la mbegu na bei yake kulingana na gram Nitashukru sana nikipata huo msaada
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nataka kuappeal matokeo yangu ya A-Level ya zaidi ya miaka 10 iliyopita

    Ndugu wana jamii wa Jamii Forums, naombeni ushauri wenu katika hili. Nilipokuwa A-Level nilikuwa nina matatizo fulani shuleni na matokeo ya form 6 yalipotoka sikupata matokeo mazuri na naamini mpaka leo kuwa kuna kamchezo kalifanyika. Hili jambo limekuwa linaniuma sana kwa sababu naona kama...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Angola: Mahakama yatupilia mbali madai ya Upinzani ya kupinga matokeo ya Urais

    Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili Mahakama imesema malalamiko ya UNITA hayakukidhi matakwa ya kuruhusu chombo hicho cha kisheria...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jaji Othman Chande: Hakuna sababu ya Matokeo ya Urais kutopingwa Mahakamani

    Jaji amesema nchi haitapungukiwa chochote ikiwa itaruhusu watu binafsi na wagombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani. Ameongeza kuwa "ukishasema kwenye Katiba kwamba Mahakama ndiyo Mamlaka ya mwisho ya Kisheria, basi mzozo wowote unapaswa kufika kwenye Mamlaka hiyo ya mwisho ya kisheria"...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa Simba hawajaumizwa na matokeo bali wanaumizwa na timu inavyocheza

    Nafikiri kuna point muhimu wanayo mashabiki na wanachama wa simba nayo ni namna timu inavyoperform uwanjani. Wanachezaje, je wanakosa matokeo dhidi ya timu ya aina gani, ni hoja ya msingi sana wanayo, usajili waliofanya kmc na walioufanya simba auendani na uhalisia wakiwa uwanjani. Kufungwa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo. Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
  20. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wetu wa elimu na matokeo kwa Taifa

    Nawasalimu wote kwa jina la taifa hili la thamani kwa kila mmoja wetu na mali yetu ambayo Mungu wetu alitubariki kuwa nayo, tunaamka kila asubuhi kulijenga hili taifa kwa nguvu zetu zote tukivuja jasho lenye chachu kubwa ya kuendeleza taifa letu. Wengi wa wananchi wa taifa hili kwa asilimia...
Back
Top Bottom