EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,495
113,592
Wanabodi,
Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote!, sikujitambulisha kwa yeyote!, na matokeo yake, tulikuwa wagombea 176, anatakiwa mtu mmoja!, mimi nilipata kura 1!. Simjui hata huyo aliyenipigia hiyo kura moja ni nani?, siku nikimjua, nitamshukuru, maana kuna watu maarufu kuliko hata mimi, waliambulia kura 0!.

Nafasi za EALA zilipotangazwa, nilipoangalia sifa na vigezo, nikajiona nina kidhi, tatizo la kwanza ni CCM wakaweka fedha ndefu kuchukua fomu, TZS 1,000,000!. Sio aibu kujisema, japo kuna siku nafanya biashara hadi ya B, lakini amini usiamini kuna siku hata Baresa hata 1.M, hivyo hiyo 1.M ya fomu ya CCM, sikuwa nayo!. Nilishuka humu JF, nikapandisha bandiko!, Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe! within no time!, 1.M nilipata, nikajaza chukua fomu nikajaza nikarudisha!. Siku narudisha fomu, pia nikaripoti humu Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

Nilipojipima kwa vigezo, nikajina nafiti kisawa sawa, hivyo nikatoa ushauri kwa Chama changu, namna ya kupata the best of the best Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

Tulipoitwa Dodoma kuhojiwa, nilikutana na kilichonikuta A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!, hivyo nilikuwa ni tayari nimeisha anza maandalizi ya kisaikolojia kuyapokea matokeo yoyote.

Kama kawaida washauri hawakukosekana, nilipewa kila aina ya ushauri, nikawaone watu, hata ikibidi nikawaone 'wazee' kuwa uongozi CCM huwezi kupata hivi hivi tuu!. Mimi kwa upande wangu niliamua kusimama kwenye uadilifu kuwa nitasimama na CV yangu tuu!, hivyo kama ilivyokuwa kwa Kawe, sikumtafuta mtu yoyote, sikumuona yoyote, wala kumlobby yeyote.

Leo asubuhi nimeona matokeo
IMG-20220910-WA0005.jpeg
IMG-20220910-WA0006.jpeg

Kwa matokeo hayo ndugu zangu naomba kwanza kukiri wazi, nimeyapokea, nimeyakubali, waliopita wamepita kwa haki, tuliochunjwa tumechujwa kwa haki, hao waliopita wamenipita vigezo kwa mbali.

Angalia kwenye hao 10 wanaume bara!, kuna watu wazuri zaidi yangu, tulikuwa nao kwenye mahojiano hawakupita!, ina maana hao ni the best of the best.
Nikuwa Nane Nane Mbeya, niligongana na KM CCM pia nikamuuliza kitu kuhusu hili
Hivyo kiukweli kabisa, kwa upande wa wanaume, CCM imetuteulia watu wazuri, ila kwa upande wa wanawake pia kuna watu wazuri, ila this time CCM pia imeyarudisha pia makokoro fulani!, kama kawaida ya nyavu za kokoro, zinakomba kila kitu, hivyo uwepo wa kokoro utapelekea tuwakose baadhi ya wanawake wazuri kwasababu hata kama ingekuwa ni nafasi moja, ukaweka wagombea 9 wazuri, na kokoro moja!, then lazima kokoro litapita!. Hivyo hilo kundi la wanawake 6 bara wanaogombea nafasi mbili, hesabu ni wanawake 5 wa bara ndio wanagombea nafasi 1, kwasababu mmoja usimhesabu kama mgombea, ni mbunge tayari anayesubiri tuu kuthibitishwa!.

Nawapongeza wote walioteuliwa na CCM, nawaombe wabunge wa Chama changu nao wajitahidi kutuondolea hizo kokoro, ila kiukweli kuna kokoro na kokoro, kokoro nyingine, ni hakuna namna!.

Upande wangu, naendelea kusisitiza mimi ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, nilitamani uwakili wa EALA kwa vile niliamini naweza kusaidia. Kuna wengi wanadhani mimi ningestahili kuteuliwa DC, naendelea kusisitiza kuwa kwa kazi yangu kama mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na sasa ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, nitalitendea haki zaidi taifa langu hivi nilivyo mwandishi na wakili kuliko kuwa mtu kama DC, muhimu ni PPR kurejeshewa tuu zile tenda zake za publicity za taasisi za serikali, ili pia tumsaidie Rais Samia, kuchangia kodi ya kutosha ya kuwalipa mishahara ya mwaka ma DC, ma RC na Wakurugenzi wake kadhaa.

Shukrani sana kwa wana JF walioniunga mkono kwa well wishes, na michango yao ya hali na mali, nami kwa upande wangu kila siku nazidi kujifunza, zile lessons.

Nawaombeni sana wana jf wenzengu, itoshe nilijaribu, sikufanikiwa, wa kunipongeza kwa kujaribu, asanteni, nawaomba usinibeze sana kwa kutoswa, kwasababu mimi pia ni binadamu tuu na sio malaika, nimeumbwa kwa nyama na nina feelings, hivyo nina makosa yangu, madhaifu yangu and probably na karma za matendo yangu zilizopolekea kuzidiwa sifa na walio teuliwa.

Hili tulihesabu limepita, maisha yaendelee na kazi iendelee.
Na mimi kwa upande wangu, naendelea kumuomba sana Mungu, anifundishe kunyamaza!.

Asanteni sana.

Paskali
 
Leo asubuhi nimeona matokeo View attachment 2352588View attachment 2352589

Hivyo kiukweli kabisa, kwa upande wa wanaume, CCM imetuteulia watu wazuri, ila kwa upande wa wanawake pia kuna watu wazuri, ila this time CCM pia imeyarudisha pia makokoro fulani!, kama kawaida ya nyavu za kokoro, zinakomba kila kitu, hivyo uwepo wa kokoro utapelekea tuwakose baadhi ya wanawake wazuri kwasababu hata kama ingekuwa ni nafasi moja, ukaweka wagombea 9 wazuri, na kokoro moja!, then lazima kokoro litapita!.

Upande wangu, naendelea kusisitiza mimi ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, nilitamani uwakili wa EALA kwa vile niliamini naweza kusaidia. Kuna wengi wanadhani mimi ningestahili kuteuliwa DC, naendelea kusisitiza kuwa kwa kazi yangu kama mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na sasa ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, nitalitendea haki taifa langu vuzuri zaidi hapa nilipo kuwa kuwa DC, muhimu ni kurejeshewa tuu zile tenda zangu za publicity taasisi za serikali, ili pia tumsaidie Rais Samia, kuchangia kodi ya kutosha ya kuwalipa mishahara ya mwaka ma DC, ma RC na Wakurugenzi wake kadhaa.

Si kila umaarufu ni umaarufu, umaarufu una zaidi ya kile wengi wakijuacho, usione wengi wanakusifu nawe ukavimba kichwa kuwa sasa ni maarufu.
 
Endelea kutulia na siku ukipotea kwenye majukwaa na kutulia kwenye siasa za chama cha mapinduzi utapewa nafasi siyo hivi unavyofanya, yaani kweli ni mwanachama na una kadi HAI ila unataka kuwin maisha kupitia chama, hapo hawatakupa cheo chochote.

Narudia hii; Ni mwanaccm gani akiwa ni mwandishi anashinda mitandaoni kukiandika chama shaghalabagala zaidi yako.
(Elewa hiyo)
 
Mungu akutangulie na akupe kheri kwenye ndoto zako. Nakupongeza sana umejaribu na umeonyesha nia. Kuna wengi huwa hata ndoto hana na hata uwepo wake duniani hauna mantiki yeyote. Kuna tofauti kubwa sana ya some EXIST some LIVE. You have to be responsible for yourself then others, big up and dont look down. .
 
Next time itabidi ujiandae namna ya kwenda "kuwaona" wajumbe "ujitambulishe" ili "wakujue"

Huko CCM miaka yote huwa hawaangalii CV ya mtu, wao wanatazama upana na urefu wa mfuko wako, kama mfukoni hauna kitu, usijisumbue next time.

Wakimaliza kutazama mfuko waje watazame sura, huyu mtoto wa fulani, au yule rafiki wa fulani, kama haupo kwenye hiyo connection my friend, bora uendelee kuwekeza kwenye maonesho ya sabasaba.
 
Wanabodi,
Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote!, sikujitambulisha kwa yeyote!, na matokeo yake, tulikuwa wagombea 176, anatakiwa mtu mmoja!, mimi nilipata kura 1!. Simjui hata huyo aliyenipigia hiyo kura moja ni nani?, siku nikimjua, nitamshukuru, maana kuna watu maarufu kuliko hata mimi, waliambulia kura 0!.

Nafasi za EALA zilipotangazwa, nilipoangalia sifa na vigezo, nikajiona nina kidhi, tatizo la kwanza ni CCM wakaweka fedha ndefu kuchukua fomu, TZS 1,000,000!. Sio aibu kujisema, japo kuna siku nafanya biashara hadi ya B, lakini amini usiamini kuna siku hata Baresa hata 1.M, hivyo hiyo 1.M ya fomu ya CCM, sikuwa nayo!. Nilishuka humu JF, nikapandisha bandiko!, Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe! within no time!, 1.M nilipata, nikajaza chukua fomu nikajaza nikarudisha!. Siku narudisha fomu, pia nikaripoti humu Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

Nilipojipima kwa vigezo, nikajina nafiti kisawa sawa, hivyo nikatoa ushauri kwa Chama changu, namna ya kupata the best of the best Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

Tulipoitwa Dodoma kuhojiwa, nilikutana na kilichonikuta A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!, hivyo nilikuwa ni tayari nimeisha anza maandalizi ya kisaikolojia kuyapokea matokeo yoyote.

Kama kawaida washauri hawakukosekana, nilipewa kila aina ya ushauri, nikawaone watu, hata ikibidi nikawaone 'wazee' kuwa uongozi CCM huwezi kupata hivi hivi tuu!. Mimi kwa upande wangu niliamua kusimama kwenye uadilifu kuwa nitasimama na CV yangu tuu!, hivyo kama ilivyokuwa kwa Kawe, sikumtafuta mtu yoyote, sikumuona yoyote, wala kumlobby yeyote.

Leo asubuhi nimeona matokeo View attachment 2352588View attachment 2352589
Kwa matokeo hayo ndugu zangu naomba kwanza kukiri wazi, nimeyapokea, nimeyakubali, waliopita wamepita kwa haki, tuliochunjwa tumechujwa kwa haki, hao waliopita wamenipita vigezo kwa mbali.

Angalia kwenye hao 10 wanaume bara!, kuna watu wazuri zaidi yangu, tulikuwa nao kwenye mahojiano hawakupita!, ina maana hao ni the best of the best.
Nikuwa Nane Nane Mbeya, niligongana na KM CCM pia nikamuuliza kitu kuhusu hili
Hivyo kiukweli kabisa, kwa upande wa wanaume, CCM imetuteulia watu wazuri, ila kwa upande wa wanawake pia kuna watu wazuri, ila this time CCM pia imeyarudisha pia makokoro fulani!, kama kawaida ya nyavu za kokoro, zinakomba kila kitu, hivyo uwepo wa kokoro utapelekea tuwakose baadhi ya wanawake wazuri kwasababu hata kama ingekuwa ni nafasi moja, ukaweka wagombea 9 wazuri, na kokoro moja!, then lazima kokoro litapita!.

Nawapongeza wote walioteuliwa na CCM, nawaombe wabunge wa Chama changu nao wajitahidi kutuondolea hizo kokoro, ila kiukweli kuna kokoro na kokoro, kokoro nyingine, ni hakuna namna!.

Upande wangu, naendelea kusisitiza mimi ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, nilitamani uwakili wa EALA kwa vile niliamini naweza kusaidia. Kuna wengi wanadhani mimi ningestahili kuteuliwa DC, naendelea kusisitiza kuwa kwa kazi yangu kama mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na sasa ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, nitalitendea haki taifa langu vuzuri zaidi hapa nilipo kuwa kuwa DC, muhimu ni kurejeshewa tuu zile tenda zangu za publicity taasisi za serikali, ili pia tumsaidie Rais Samia, kuchangia kodi ya kutosha ya kuwalipa mishahara ya mwaka ma DC, ma RC na Wakurugenzi wake kadhaa.

Shukrani sana kwa wana JF walioniunga mkono kwa well wishes, na michango yao ya hali na mali, nami kwa upande wangu kila siku nazidi kujifunza, zile lessons.

Nawaombeni sana wana jf wenzengu, itoshe nilijaribu, sikufanikiwa, wa kunipongeza kwa kujaribu, asanteni, nawaomba usinibeze sana kwa kutoswa, kwasababu mimi pia ni binadamu tuu na sio malaika, nimeumbwa kwa nyama na nina feelings, hivyo nina makosa yangu, madhaifu yangu and probably na karma za matendo yangu zilizopolekea kuzidiwa sifa na walio teuliwa.

Hili tulihesabu limepita, maisha yaendelee na kazi iendelee.

Asanteni sana.

Paskali

Pascal Mayalla nadhani ungejizungumzia wewe binafsi sidhani hao wengine uliowazungumzia ni sahihi

"EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo" ...... matumizi ya Neno Tulioachwa hapo umeteleza kidogo Wakili Msomi.​

. Kuna wengi wanadhani mimi ningestahili kuteuliwa DC, naendelea kusisitiza kuwa kwa kazi yangu kama mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na sasa ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, nitalitendea haki taifa langu vuzuri zaidi hapa nilipo kuwa kuwa DC,
Nimekosa Mimi nimekosa sana.

Nilikusemea jambo kwenye uzi mwingine ulioletwa na mwanaJF mwenye jina la dawa. Jambo hilo kumbe halikuwa la Kweli; niliandika/sema kwamba huwezi kutoa kauli zinazofanana na hizi ulizozitoa hapa na Mimi nimezinukuu kwenye bandiko langu hili.

Kwa Mara nyingine, Kumradhi Ndugu P. Mayalla.
===
Baada ya kuomba radhi nakupongeza kwa kukiri kushindwa vigezo na wenzako kiasi kwamba umekubali matokeo ya kuwa hukustaili kuwemo kwenye orodha ya wateuliwa wa Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kugombea nafasi ya ubunge wa Africa Mashariki. Hata hivyo, matumizi ya maneno kokoro na mengine kama hayo yanaonekana hautarajii kugombea Tena nafasi kupitia chama Cha CCM. Kwa kifupi maneno haya yamebeba lugha ya kuudhi. Sidhani kama CCM inavumilia maudhi kama haya. Waweza kuomba radhi kama unania ya kurudia nia ya kukitumikia Taifa kupitia CCM.
 
Wanabodi,
Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote!, sikujitambulisha kwa yeyote!, na matokeo yake, tulikuwa wagombea 176, anatakiwa mtu mmoja!, mimi nilipata kura 1!. Simjui hata huyo aliyenipigia hiyo kura moja ni nani?, siku nikimjua, nitamshukuru, maana kuna watu maarufu kuliko hata mimi, waliambulia kura 0!.

Nafasi za EALA zilipotangazwa, nilipoangalia sifa na vigezo, nikajiona nina kidhi, tatizo la kwanza ni CCM wakaweka fedha ndefu kuchukua fomu, TZS 1,000,000!. Sio aibu kujisema, japo kuna siku nafanya biashara hadi ya B, lakini amini usiamini kuna siku hata Baresa hata 1.M, hivyo hiyo 1.M ya fomu ya CCM, sikuwa nayo!. Nilishuka humu JF, nikapandisha bandiko!, Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe! within no time!, 1.M nilipata, nikajaza chukua fomu nikajaza nikarudisha!. Siku narudisha fomu, pia nikaripoti humu Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

Nilipojipima kwa vigezo, nikajina nafiti kisawa sawa, hivyo nikatoa ushauri kwa Chama changu, namna ya kupata the best of the best Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

Tulipoitwa Dodoma kuhojiwa, nilikutana na kilichonikuta A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!, hivyo nilikuwa ni tayari nimeisha anza maandalizi ya kisaikolojia kuyapokea matokeo yoyote.

Kama kawaida washauri hawakukosekana, nilipewa kila aina ya ushauri, nikawaone watu, hata ikibidi nikawaone 'wazee' kuwa uongozi CCM huwezi kupata hivi hivi tuu!. Mimi kwa upande wangu niliamua kusimama kwenye uadilifu kuwa nitasimama na CV yangu tuu!, hivyo kama ilivyokuwa kwa Kawe, sikumtafuta mtu yoyote, sikumuona yoyote, wala kumlobby yeyote.

Leo asubuhi nimeona matokeo View attachment 2352588View attachment 2352589
Kwa matokeo hayo ndugu zangu naomba kwanza kukiri wazi, nimeyapokea, nimeyakubali, waliopita wamepita kwa haki, tuliochunjwa tumechujwa kwa haki, hao waliopita wamenipita vigezo kwa mbali.

Angalia kwenye hao 10 wanaume bara!, kuna watu wazuri zaidi yangu, tulikuwa nao kwenye mahojiano hawakupita!, ina maana hao ni the best of the best.
Nikuwa Nane Nane Mbeya, niligongana na KM CCM pia nikamuuliza kitu kuhusu hili
Hivyo kiukweli kabisa, kwa upande wa wanaume, CCM imetuteulia watu wazuri, ila kwa upande wa wanawake pia kuna watu wazuri, ila this time CCM pia imeyarudisha pia makokoro fulani!, kama kawaida ya nyavu za kokoro, zinakomba kila kitu, hivyo uwepo wa kokoro utapelekea tuwakose baadhi ya wanawake wazuri kwasababu hata kama ingekuwa ni nafasi moja, ukaweka wagombea 9 wazuri, na kokoro moja!, then lazima kokoro litapita!. Hivyo hilo kundi la wanawake 6 bara wanaogombea nafasi mbili, hesabu ni wanawake 5 wa bara ndio wanagombea nafasi 1, kwasababu mmoja usimhesabu kama mgombea, ni mbunge tayari anayesubiri tuu kuthibitishwa!.

Nawapongeza wote walioteuliwa na CCM, nawaombe wabunge wa Chama changu nao wajitahidi kutuondolea hizo kokoro, ila kiukweli kuna kokoro na kokoro, kokoro nyingine, ni hakuna namna!.

Upande wangu, naendelea kusisitiza mimi ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, nilitamani uwakili wa EALA kwa vile niliamini naweza kusaidia. Kuna wengi wanadhani mimi ningestahili kuteuliwa DC, naendelea kusisitiza kuwa kwa kazi yangu kama mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na sasa ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, nitalitendea haki zaidi taifa langu hivi nilivyo mwandishi na wakili kuliko kuwa mtu kama DC, muhimu ni PPR kurejeshewa tuu zile tenda zake za publicity za taasisi za serikali, ili pia tumsaidie Rais Samia, kuchangia kodi ya kutosha ya kuwalipa mishahara ya mwaka ma DC, ma RC na Wakurugenzi wake kadhaa.

Shukrani sana kwa wana JF walioniunga mkono kwa well wishes, na michango yao ya hali na mali, nami kwa upande wangu kila siku nazidi kujifunza, zile lessons.

Nawaombeni sana wana jf wenzengu, itoshe nilijaribu, sikufanikiwa, wa kunipongeza kwa kujaribu, asanteni, nawaomba usinibeze sana kwa kutoswa, kwasababu mimi pia ni binadamu tuu na sio malaika, nimeumbwa kwa nyama na nina feelings, hivyo nina makosa yangu, madhaifu yangu and probably na karma za matendo yangu zilizopolekea kuzidiwa sifa na walio teuliwa.

Hili tulihesabu limepita, maisha yaendelee na kazi iendelee.
Na mimi kwa upande wangu, naendelea kumuomba sana Mungu, anifundishe kunyamaza!.

Asanteni sana.

Paskali

Kaka Paskali, kwa upande wa wanawake, Angela Kizigha unasema naye yumo kati ya best of the best? Kweli Paskali? Angela Kizigha hapana kabisa kabisaaa kabisaaa, let me be very clear..!!
 
Back
Top Bottom