Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule.
Mwanasheria Mkuu pia...
Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari
Chama tawala cha MPLA - ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975 - kilitangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi huo kwa...
Nina mdogo wangu yuko UDSM analalamika jinsi kila mwaka wanavyopata usumbufu wa kujisajili katika kozi zao na kusubiria matokeo.
Anasema mpaka leo matokeo ya mwisho wa mwaka hayajatoka mpaka sasa.
Kwa nini kama hilo limewashinda mpaka leo, msiombe msaada kutoka vyuo rafiki vya nje ya nchi...
Chama Tawala cha Marxist People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA) kimepata ushindi wa 51.17% baada ya kura zote kuhesabiwa kikifuatiwa na National Union for the Total Independence of Angola (UNITA) kilichopata 43.95%.
Kiongozi wa UNITA, Adalberto Costa Junior amekataa matokeo hayo...
Raila Odinga amesema ana ushahidi thabiti kwamba alishinda katika kura za Urais na ana imani kwamba Mahakama ya Juu itakubali ombi lake la kutengua matokeo ya uchaguzi wa Agosti 9, ambapo William Ruto alitangazwa Mshindi kwa Kura 50.5% dhidi ya 48.8%
Ameongeza kuwa ataheshimu matokeo ya uamuzi...
Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta...
Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua...
WanaJF,
Wakati tupo siku ya pili ya sensa ambapo baadhi yetu bado tunaendelea kusubiria makarani, tunafurahi viongozi wakuu wametuhakikishia kuwa wote tutafikiwa.
Asante sana viongozi wetu.
Nimesikia mpaka Sasa asilimia 36 ya kaya zimefikiwa ikionyesha kuwa tutafikia lengo hata kabla ya muda...
Tume ya Uchaguzi imesema kuwa Chama cha MPLA kinaongoza baada ya matokeo ya mapema ya uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika Agosti 24
Tume hiyo ilisema kuwa kutokana na theluthi moja ya kura kuhesabiwa, Chama cha Rais João Lourenço kimepata zaidi ya asilimia 60 huku Chama cha Upinzani cha...
Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa.
Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi.
TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi.
Utafiti huo mpya...
Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki electronic, na wapinzani wao, tume ya uchaguzi pamoja na bw. Ruto mwenyewe wana siku 4 za kujibu...
UTANGULIZI.
Ni miaka mingi sasa, kuna ukakasi katika mfanano wa Matokeo ya Kidato cha Nne na Sita, Licha ya kuwepo mfanano huo kuna Utofauti wa Matokeo hayo baina ya Skuli na Skuli, wilaya na wilaya, Mkoa na mkoa hata katika ngazi ya Taifa ambapo kuna baadhi ya Skuli zinaonekana kung'ra huku...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wa kulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama tozo mara nchi yetu...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu...
Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda.
Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi.
Karibu tupeane taarifa.
Raila Odinga amewataka wafuasi wake kuwa na amani wakati chama hicho kikijiandaa kuwasilisha Mahakama Kuu ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 9
Akizungumza kwenye makazi yake huko Karen leo baada ya kutembelewa na viongozi wa kidini, Odinga ameshikilia msimamo wake...
Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7
Haijajulikana kilichosababisha simba waonyeshe mpira mzuri na wenye kasi kama walivyofanya leo na bado haiujulikani kama wata maintain kiwango...
Baada ya Raila Odinga kukataa Matokeo ya Kura ya Urais, Umoja wa Ulaya (EU), umetoa wito wa kusuluhishwa kwa mzozo huo kwa amani na kuwasihi viongozi wote wa kisiasa kuepuka ghasia
Taarifa iliyotolewa na Mwakilishi wa Umoja huo, Joseph Borrel imependekeza mzozo unaoendelea na wasiwasi wowote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.