Angola: Mahakama yatupilia mbali madai ya Upinzani ya kupinga matokeo ya Urais

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,611
Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili

Mahakama imesema malalamiko ya UNITA hayakukidhi matakwa ya kuruhusu chombo hicho cha kisheria kubatilisha matokeo hayo

Katika Uchaguzi huo MPLA ilipata ushindi wa 51.17% ya kura dhidi ya 43.95% za UNITA

....................................

Angola's constitutional court rejected on Monday an opposition party claim seeking to annul general election results which handed the victory to the ruling MPLA.

The National Union for the Total Independence of Angola (UNITA) filed the complaint after the country's electoral commission last week declared the People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA) the winner of the national election.

The court ruled that UNITA's complaint did not meet the requirements to allow the legal body to annul the results.

UNITA used a procedure reserved for situations in which there are no other means intended to safeguard the useful effect of the alleged rights, and therefore the claim was dismissed, the judges said.

The electoral commission's results last week gave the MPLA 51.17% of the votes and UNITA 43.95%.

According to UNITA's parallel count, it got 49.5% of the vote and the MPLA 48.2%, UNITA President Adalberto Costa Junior said at a press conference on Monday.

The data collected by the UNITA (parallel) counting ... reveal huge and unacceptable differences from those published by the CNE (electoral commission), Costa Junior said. The discrepancies indicate wilful manipulation of the results, he added.

Source: Reuters
 
Chama cha MPLA kimenufaika na uamuzi wa majaji ambao chenyewe ndicho kiliwateua, hao majaji ndio sampuli ya akina Tiganga, majaji wa mchongo na mkakati.

MPLA, sawa na ccm, ni vyama ambavyo vimebaki kubebwa na dola tu na haviwezi kushinda kwenye uchaguzi huru na haki.
 
Back
Top Bottom