maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tuachane na maswali ya nyongeza Bungeni

    Katika kila kikao cha Bunge kuna muda wa maswali yanayotakiwa kujibiwa na Mawaziri au Manaibu Mawaziri wa Wizara mbalimbali na baadaye kama Mhe. Mbunge hakuridhika anaruhusiwa kuuliza swali au maswali ya nyongeza. Binafsi majibu ya maswali ya nyongeza hayani tija na wajibu maswali aidha...
  2. share

    JamiiForums Tanzania Royal Tour yaibua maswali mengi kuliko majibu

    Ni kwamba, 1. Hii filamu tunaambiwa imegharamu Tshs 7 bn. Mpaka Leo hatujaambiwa ni kina nani wamechangia gharama hizi. 2. Tunaambiwa Peter at el ndiyo wenye hati miliki yaani copyright. Hivyo filamu ni yao na watalipwa wao. Sasa kwa Tanzania ina tafsiri IPI? 3. Huyu Peter ameshafanya Royal...
  3. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maswali TPA

    Pepa la leo la TPA Ports operation officer: 1. Define the folowing i) feeder ship ii) Dumerrage iii) heavy lift service 2. Meanig of i) Quay transfer ii) storage operation iii) ship operation iv) delivery and receipt operation 3. Documents required in: i) general cargo clearing...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

    Habari! Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda kupewa kuliko kutoa. Inafika wakati wanakera, unashindwa kujua kama wana upendo wa dhati kwako au...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maswali ya nyongeza ya waheshimiwa wabunge naona bora yasiwepo

    Bungeni kuna maswali ya msingi yanayoulizwa na Waheshimiwa Wabunge na majibu ya maswali haya yanajibiwa kwa maandishi yaliyofanyiwa utafiti lakini kwa maswali ya nyongeza mjibu maswali hana majibu sahihi na hii inapelekea kutoa majibu ambayo hayaridhishi. Mimi nina ushauri kuwa majibu ya...
  6. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu unapokuwa mbali na Mwenza wako

    Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo; 1. Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana, bila kujua ni...
  7. Anganjwiri92

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  8. Roy Logan

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

    Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini. Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja...
  9. Shujaa-zamani

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Hamjambo! Nitaenda nchi la Tanzania kukaa katika eneo la mto wa Usa. Mini ni mtu mweusi na mwanaume. Ninataka kuunganisha na jamii ya Usa. Je, kuna vitambaa amavyo ninapaswa kuvaa? Nikitaka vitambaa vilivyotengenezwa, nitanunua wapi? Nitapofika ninaweza kupata wapi vikundi vya kijamii, ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyote mnaosema kuwa Simba SC jana ilionewa sana na Refa ( Mwamuzi ) tafadhali nijibuni upesi haya Maswali yangu yafuatayo

    Je, 1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana? 2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu? 3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania CAG kama umo humu naomba unijibu haya maswali

    Mimi maswali yangu ni haya;~ Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje 1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo? 2. Kujenga madaraja yote haya? 3. Kujenga Fly over hizi? 4. Kujenga meli kubwa mpya zile na kukarabati meli za zamani? 5. Kuhamishia serikali Dodoma...
  12. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Maswali yanayotoka kwenye Tax Management Assistant II ni ya muundo upi?

    Habari za muda huu. Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi? Note:- diploma holder
  13. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Msaada maswali ya programming/ Developer

    Naomba msaada wa maswali ya programming/Developer wanayopenda kutoa utumishi kwenye mitihani yao , naomba kutanguliza shukrani.
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu mechi ya Simba kuchezwa saa 4 usiku asiachiwe Ahamed Ally kuyajibu

    Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi. Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa Mkapa uko pembeni mwa jiji hasa kwa watu wanaotoka Ilala, Kinondoni, Ubungo, Kawe, Bagamoyo, Kibaha...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview Mbeya cement

    Kwema guys? Tusichokane jamani,nimetwa kwenye interview mbeya cement nafasi ya finance. Naomba kuuliza maswali gani huwa wanauliza,na mshahara wao huwa ni kiasi gani?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu wanunuzi wa gesi ya Urusi yamejibiwa hapa na utaratibu wote umefafaniliwa

    Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue kinachoendelea. Kuna watu wanaongea kishabiki tu hata hawajui utaratibu itakayotumika! 1. What paying for...
  18. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Tupromote hii project: Unakaribishwa kwa maswali

    Tunapenda mitaa yetu iendeshwe kidijitali. Hivyo tumejaribu kuleta suluhisho mahususi katika kuboresha huduma za serikali za mitaa nchini, lengo ni kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo popote pale hatakama huko mbali basi ni rahisi kupata taarifa zako au nyaraka muhimu kutokea mtaani kwako...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani wenye kujua maswali ya position ya recovery loan specialist.

    Nimeitwa kwenye interview bank ya access micro finance nikafanye written interview lakini mwenye a,b,c ya maswali naomba anisaidie
  20. F

    JamiiForums Tanzania Maswali 10 juu ya wabunge 19 wa Chadema

    Kufuatia kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe, Freeman Mbowe ya kuwa CHADEMA hakijawahi teu wabunge wa viti maalumu kama inavyotakiwa na katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kuna maswali mengi juu ya wabunge hawa 19. 1.Nani? aliorganize ili kupata majina hayo 19. 2.Nani? alipeleka...
Back
Top Bottom