Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,693
36,070
Habari!

Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda kupewa kuliko kutoa.

Inafika wakati wanakera, unashindwa kujua kama wana upendo wa dhati kwako au wanakuigizia tu wakutie kwenye umaskini zaidi.

Ukimpa elfu 5, kesho atakuomba elfu 10, ukimpa elfu 10 kesho atakuomba elfu 20, dau litaoanda mpaka utakaposhtuka.
Ukimjibu sina pesa mara 3 mfululizo utaona kitakachotokea.

Sasa Mimi kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya;

1. Unanipenda?

Akijibu ndio namuuliza swali namba 2

2.Je, umewahi kunifanyia nini kudhihirisha upendo wako kwangu kwa level yako hiyohiyo ya maisha?

Mwisho namwambia hivi: Kama unaona hujawahi hata kunifanyia kitu au hukuwahi kunipa zawadi hata ya kitu chenye thamani ya elfu 5 kuanzia sasa tupoteane kila mtu akamtafute ampendaye. Biashara inaisha hapo.

Akipiga sipokei, akituma sms sijibu na mwisho wa siku ni kumblock basi.
Kijana mwenzangu usipokuwa makini hapa mjini unaweza kujikuta hata mama yako kule Mtambaswala anakosa dagaa na unga.
 
Mwisho naumalizia hivi: Kama unaona hujawahi hata kunifanyia kitu au hukuwahi kunipa zawadi hata ya kitu chenye thamani ya elfu 5 kuanzia sasa tupoteane kila mtu akamtafute ampendaye. Biashara inaisha hapo.

Akipiga sipokei, akituma sms sijibu na mwisho wa siku ni kumblock basi.
Kijana mwenzangu usipokuwa makini hapa mjini unaweza kujikuta hata mama yako kule Mtambaswala anakosa dagaa na unga.
Ila kweli jana nacheki mpesa yaani ndani ya miezi miwili nimewatumia warembo jumla ya tsh 214,000....vimizinga hivi hivi vya naomba buku ten mra oh hela ya wine....aisee umalaya gharama sema ndio hivyo tena kile kitobo kitamu sana.
 
Habari!

Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda kupewa kuliko kutoa.

Inafika wakati wanakera, unashindwa kujua kama wana upendo wa dhati kwako au wanakuigizia tu wakutie kwenye umaskini zaidi.

Ukimpa elfu 5, kesho atakuomba elfu 10, ukimpa elfu 10 kesho atakuomba elfu 20, dau litaoanda mpaka utakaposhtuka.
Ukimjibu sina pesa mara 3 mfululizo utaona kitakachotokea.

Sasa Mimi kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya;
1. Unanipenda?
Akijibu ndio namuuliza swali namba 2

2.Je, umewahi kunifanyia nini kudhihirisha upendo wako kwangu kwa level yako hiyohiyo ya maisha?

Mwisho namwambia hivi: Kama unaona hujawahi hata kunifanyia kitu au hukuwahi kunipa zawadi hata ya kitu chenye thamani ya elfu 5 kuanzia sasa tupoteane kila mtu akamtafute ampendaye. Biashara inaisha hapo.

Akipiga sipokei, akituma sms sijibu na mwisho wa siku ni kumblock basi.
Kijana mwenzangu usipokuwa makini hapa mjini unaweza kujikuta hata mama yako kule Mtambaswala anakosa dagaa na unga.
Sikuhiz mim ndo nanunuliwa vtu aisee... Kuna hatua ukifikia kwenye mahusiano unafurah sanaa..

Kuna muda najiangalia.. kuanzia kiatu chin.soksi. suruali. Boxer.. vest.. shati vyote nmeletewa na bibie.. halaf ni demu tu.. nabak nasema dahh.. aisee.. mkuu.. hakikisha mwanamke anakupenda.. yaan tumia mbinu zote kwanza aamin unampenda halaf yeye atakupenda.. mwanamke akikupenda anakua kama chiz aisee . Nmeamin..

Ila nasisitiza.. hakikisha unamteka akil yake hata kwa kumdanganya aamin unampenda..

Na sikuzote mwanamke akikuomba kitu hata kama huna.. mwambie utamtaftia utampa.. ilhal unajua kabisa humpi...

Hahah.. sis tunawateka hawa watu kwa vtu vidogo mno..

Ila fanya haya yote ukiwa uko vzur au una mwelekeo mzur wa maisha..

Bila hvyo.. kama huelewek.. utakua unatwanga maj kwenye kinu mkuu

"Mipango ni mingi mno"
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
Una mblock vipi mkuu bila kumkuna hata kidogo, kibaharia hiyo ni hasara ni bora ungemblock toka day one alivyokuomba 40K, sasa 70K imeenda bure.
😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom