Je,
1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana?
2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu?
3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
Mimi maswali yangu ni haya;~
Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje
1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo?
2. Kujenga madaraja yote haya?
3. Kujenga Fly over hizi?
4. Kujenga meli kubwa mpya zile na kukarabati meli za zamani?
5. Kuhamishia serikali Dodoma...
Habari za muda huu.
Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi?
Note:- diploma holder
Habari Wote.
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro.
Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi.
Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa Mkapa uko pembeni mwa jiji hasa kwa watu wanaotoka Ilala, Kinondoni, Ubungo, Kawe, Bagamoyo, Kibaha...
Kwema guys?
Tusichokane jamani,nimetwa kwenye interview mbeya cement nafasi ya finance.
Naomba kuuliza maswali gani huwa wanauliza,na mshahara wao huwa ni kiasi gani?
Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue kinachoendelea. Kuna watu wanaongea kishabiki tu hata hawajui utaratibu itakayotumika!
1. What paying for...
Tunapenda mitaa yetu iendeshwe kidijitali.
Hivyo tumejaribu kuleta suluhisho mahususi katika kuboresha huduma za serikali za mitaa nchini, lengo ni kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo popote pale hatakama huko mbali basi ni rahisi kupata taarifa zako au nyaraka muhimu kutokea mtaani kwako...
Kufuatia kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe, Freeman Mbowe ya kuwa CHADEMA hakijawahi teu wabunge wa viti maalumu kama inavyotakiwa na katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kuna maswali mengi juu ya wabunge hawa 19.
1.Nani? aliorganize ili kupata majina hayo 19.
2.Nani? alipeleka...
Habari
Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake.
Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu...
Fumba macho kwa dakika 10 hapo ulipo, kisha tafakari yafuatayo:-
Ni nani atakuwa na wewe, bega kwa bega ukiwa gerezani?
Ni nani atakuwa na wewe, ukiwa kwenye ugonjwa mahututi?
Ni nani atakuwa na wewe, pale utakapopata ulemavu?
Ni nani atakuwa na wewe, pale familia itakapofariki?
Ni nani atakuwa...
Utapenda jinsi Chid Benz alivyokuwa akiulizwa maswali na mtangazaji pale Mlimani City, Siku ya Wapendanao wakiwa Red Carpet usiku wa mahaba ndi ndi ndi
Mtangazaji: Nakuona umevaa umependeza
CHID BENZ : Nalijua hilo
Mtangazaji: Hatujawahi kukuona na mtoto mzuri kama huyu
CHID BENZ: Huyu sio...
Kuna mtoto wa mdogo wangu amechaguliwa kwenye oral ya pccb, sasa ananiuliza baba mkubwa maswali ni yapi wanatoa nimemuambia ngoja nimuulizie kwa watu.
Kwaiyo naomba mwenye uelewa kwenye maswali ya oral ya TAKUKURU (PCCB) msaada wenu ili uyu mtoto aweze kupata nafasi ya kazi maana amekaa sana...
Wadau humu ndani. Nilikuwa nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE tarehe 05/01/2022 mifumo ya maswali ilikuwaje kwa Kada za Business Analysts, Network Administrator, System Design and Development na User and Support kwa paper za written.
Siyo mbaya kwa waliofanikiwa...
Mnafahamu kuwa kwa Sasa mgogoro baina ya Ukraine na Urusi ,unaonekana kuwa Kati ya Urusi na Marekani? Yaani sasa hivi ni majibizano kati ya Joe Biden na Vladimir Putin?
Kwanini Marekani kashikia bango mgogoro huu?
Kwanini Urusi anashauri NATO isiiunge Ukraine? Lakini kwa Nini Marekani...
Habari Wakuu,
Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.