Tuachane na maswali ya nyongeza Bungeni

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Katika kila kikao cha Bunge kuna muda wa maswali yanayotakiwa kujibiwa na Mawaziri au Manaibu Mawaziri wa Wizara mbalimbali na baadaye kama Mhe. Mbunge hakuridhika anaruhusiwa kuuliza swali au maswali ya nyongeza.

Binafsi majibu ya maswali ya nyongeza hayani tija na wajibu maswali aidha hawaelewi wanachojibu au wanawadanganya wauliza maswali.

Majibu yao yanakuwa tofauti kabisa na swali lililoulizwa.

Nashauri majibu ya maswali ya nyongeza ni kupoteza muda hivyo tujikite na kujibu maswali ya msingi yaliyofanyiwa utafiti.
 
Nipo natazama Bunge hapa Start,mambo hayaeleweki, speaker analalamika wabunge wanahama Hama viti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom