Maswali muhimu unapokuwa mbali na Mwenza wako

Kiokotee

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
1,680
2,149
Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;

1. Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana, bila kujua ni muhimu sana kwa Usalama wao.

2. Unafanya nini

3. Umekula nn leo-Labda ulikula Sumu ukapata madhara ukawa huna fahamu, kama ulimwambia mpezi wako utarahisisha uchunguzi.

4. Umevaaje leo honey?
 
Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
9,643
4,455
Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;
1.Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana,Bila kujua ni muhimu sana kwa Usalama wao.
2.Unafanya nini
3.Umekula nn leo-Labda ulikula Sumu ukapata madhara ukawa huna fahamu,Kama ulimwambia mpezi wako utarahisisha uchunguzi.
4.Umevaaje leo honey?
Bonge la uzi wakwetu, ila watakuja wajuaji wa JF watasema umeandika Utopolo
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
47,947
63,132
Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;

1.Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana,Bila kujua ni muhimu sana kwa Usalama wao.

2.Unafanya nini

3.Umekula nn leo-Labda ulikula Sumu ukapata madhara ukawa huna fahamu,Kama ulimwambia mpezi wako utarahisisha uchunguzi.

4.Umevaaje leo honey?
Ngoja nikutie moyo, ukijiona hujamkuta mwenzanko bikira huna sababu ya kuumiza kichwa, tafuta hela kama wanavyootusia, na wewe siku moja moja kamata shangingi osha rungu.

Maisha yenyewe yako wapi yakukupa stress kisa mtu mliyekutana ukubwani?

Kumbuka condom na vilainishi vinasevu, cheza salama. Achana na mawazo ya kijima hayo.
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
47,947
63,132
Huu Uzi unatuhusu sisi ambao wake zetu wamehamishiwa Dodoma na sisi tumebaki Dar na watoto.
Ndio maana hatupatagi usingizi.
Unahisi hisi tu.
Naibu Spika Musa Zungu mke wake anaishi Uingereza muda mrefu tu.

Hebu badirikeni. Mkitaka kuona hizo nyapu ni useless tu sometime kaa na madaktari au wakunga.

Nioneshe daktari haswa unayemjuwa wewe uniambie kama anasumbuliwa na hayo madude.
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
9,461
16,761
Naibu Spika Musa Zungu mke wake anaishi Uingereza muda mrefu tu.

Hebu badirikeni. Mkitaka kuona hizo nyapu ni useless tu sometime kaa na madaktari au wakunga.

Nioneshe daktari haswa unayemjuwa wewe uniambie kama anasumbuliwa na hayo madude.
Mimi nikilala iko pembeni yangu nimeiwekea mkono napata amani Sana.
Siwezi kukaa mwezi mzima bila kuikagua. Ndio nilivyoumbwa.
Eti my wife wangu anakaa Uganda Mimi nasikiliza mziki wa mbu walio nje ya neti huku Kimara. No way.
 
Kapeace

JF-Expert Member
May 26, 2017
16,740
39,136
Naibu Spika Musa Zungu mke wake anaishi Uingereza muda mrefu tu.

Hebu badirikeni. Mkitaka kuona hizo nyapu ni useless tu sometime kaa na madaktari au wakunga.

Nioneshe daktari haswa unayemjuwa wewe uniambie kama anasumbuliwa na hayo madude.
Njoo nikuonyeshe,, Tena sio daktari wa mchezo mchezo
 
Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
3,686
4,274
Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;

1.Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana,Bila kujua ni muhimu sana kwa Usalama wao.

2.Unafanya nini

3.Umekula nn leo-Labda ulikula Sumu ukapata madhara ukawa huna fahamu,Kama ulimwambia mpezi wako utarahisisha uchunguzi.

4.Umevaaje leo honey?
Sisi wazee hutunaga hizo.
 
Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
4,143
4,100
Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;

1.Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana,Bila kujua ni muhimu sana kwa Usalama wao.

2.Unafanya nini

3.Umekula nn leo-Labda ulikula Sumu ukapata madhara ukawa huna fahamu,Kama ulimwambia mpezi wako utarahisisha uchunguzi.

4.Umevaaje leo honey?
Ukiwa una umiza kichwa jinsi ya kupata ada shule za watoto na mahitaji mengine ya familia, huo muda wa kuuliza hayo maswali unaupata wapi?
 
6 Reactions
Reply
Top Bottom