marekani

  1. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC Iran; yajibu mashambulizi yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. 🔹 Tukio hilo lisilo la kawaida na uwepo wa umma katika msafara wa mazishi na sherehe ya kumuaga kiongozi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

    Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaingia Mkataba wa Shilingi Bilioni 8 na Kampuni ya Ushawishi ya Marekani katika 'kulinda taswira ya nchi'

    Wakuu, Katika ulimwengu wa siasa na diplomasia za kimataifa, taswira ni kila kitu. Lakini taswira hiyo inagharimu kiasi gani, na ni nani anayelipa ankara hiyo? Uchunguzi wa kina umebaini mkataba wa kushtusha wa Dola za Marekani milioni 3 (takriban Shilingi bilioni 7.8 za Kitanzania)...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Kombe la Dunia 2026 likabaki Marekani

    Wana timu nzuri mno, haizungumzwi wala kufuatiliwa sana, lakini ina uwezo na uwezekano mkubwa sana wa kutwaa kombe hilo la dunia katika mpira wa miguu duniani. Ni wazi Rais Donald J. Trump atapendelea zaidi kukabidhi kombe hilo la dunia kwa timu ya mpira wa miguu ya taifa lake na si vinginevyo...
  6. simplemind

    JamiiForums Tanzania Tamko la Uhuru wa Marekani

    IN CONGRESS, July 4, 1776. The unanimous Declaration of the thirteen united States of America, When in the Course of human events, it becomes necessary for one people to dissolve the political bands which have connected them with another, and to assume among the powers of the earth, the...
  7. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

    Mwaka ule ule napata connection ya kisanga cha Mnyarwanda kabla ya hapo nawaleta kati Katika Uzi uliopita niliiongelea Vietbam nikasema itakuwa story ya siku ngingine Kifupi Vietnam nimeenda Mara mbili Moja ni awali kabla sijampata mnyarwanda Na ya pili nilimpeleka mnyarwanda aka pate kutoa...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Dar: Marekani Kutoa $3.14 billion kusaidia sekta ya Afya

    Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili. Makubaliano...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

    My Take Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇 https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
  10. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyogundua kuwa Imeingia cha kike kweny MoU na Iran na jinsi ilivyoanza kuivunja MoU yenyewe

    Kwa kweli vita hii ya Iran na Marekani imetuonyesha kuwa Marekani siyo nchi ya kuiamni hata kidogo hata mkiingia nayo Makubaliano. Hazikupita hata wiki mbili tangu Marekani na Iran wawekeane wafanye makubaliano lakini Marekani tayari keshaanza kutoheshimu makubaliano. Hebu kwanza tuone...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunahoji: Yule ‘Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu’ alifikishwa mahakamani?

    Wakuu, Nani mwenye update ya hili igizo? Kesi ya yule mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Kenya aliyekamatwa na mabomu 4 ilifika mahakamani? Mtuhumuwa aliachiwa au bado yuko ndani? Kama walivyotoa taarifa za kukamatwa kwake, ndivyo wanatakiwa kutuarifu juu ya mwenendo wa kesi hii ya mtu...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tafrani kombe la dunia Marekani, mashabiki wageni walazimishwa kulipa tip 20% mighahawani na bar.

    Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
  14. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Marekani Muda Huu Wanashambulia Iran Kwa Makombora Mazito Mazito. Viongozi wa Iran kama Kawaida Yao Watatoa Mkwara Mzito Kuwaridhisha Wafuasi wao

    Muda huu Marekani wanaofanya mashambulizi ya anga ya mabomu mazito makubwa huko kusini mwa Iran. Uzuri wa marekani walisema kuwa watakua wanashambulia Iran Kila watavyoamua🤣🤣 Kesho wale viongozi wa Iran watalazimishwa Tena kufanya negotiation la sivyo watashambuliwa Tena Viongozi wa Iran kama...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Tamko la Katambi ni dharau kwa Mabunge ya Ulaya na bunge la Seneti la Marekani

    Serikali inajua na Katambi anajua kuwa, moja ya sababu iliyopelekea kujadiliwa na mabunge haya ni pamoja na kuwanyima wananchi na vyama vya siasa uhuru na haki ya kukusanyika na kutoa mawazo yao. Unapozuia vyama vya siasa kufanya siasa huku majadiliano ya kuwekewa vikwazo yakiendelea...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi timu zetu za mpira zinajifunza kupitia michuano ya world cup 2026 inayo endelea huko marekani, Canada na Mexico?

    Mimi sio mchelzaji wa mpira bali ni shabiki wa mpira, natamani sana wachezaji wetu katika kipindi hiki wajifunze mbinu na maarifa ya mchezo wa mpira unao onyeshwa na timu mbalimbali. Huu ni muda wa kujifunza. Mimi tu nimejifunza mambo mengi. Kazi kwenu wachezaji. Kama mtatumbua macho tu shauri...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa Marekani, mpira wa miguu(soka) ni mchezo wa wanawake?

    Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh. Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne. Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo Kazi zinazowafanya watu wasiwe na furaha zaidi nchini Marekani

    Kuridhika na kazi si swala la mshahara pekee. Tafiti mbalimbali zimeendelea kuonesha kuwa mambo kama vile viwango vya msongo wa mawazo, usawa kati ya kazi na maisha binafsi, ubora wa uongozi, na mazingira ya kila siku ya kufanyia kazi mara nyingi huchangia kwa kiasi kikubwa zaidi katika kuamua...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania World Cup 2026 tayari Marekani wamenichania nusu Mkeka. Kibwege sana

    Nlimwambia kuwa haya mashindano yatadorora sana. Watu watakosekana viwanja vitakuwa tupu sababu wamarekani si wapenzi wa mpira. Ila mpaka leo hii tayari. Nimeshamtumia Mil 1,000,000 yake Tulisema kwa matches 10 za mwanzo zitupe mwelekeo na ambaye anaelekea kiwa sawa atanguliziwe Mil 1,000,000...
Back
Top Bottom