marekani

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Ebola Facility Ni Salama, Mbona Marekani Haitaki Kuijenga Nyumbani?

    Mjadala kuhusu mpango wa kujenga Ebola quarantine facility nchini Kenya unaendelea kushika kasi huku Wakenya wengi wakijiuliza swali moja kuu: Kama facility hii ni salama, kwa nini Marekani isiijenge kwao? Maafisa wa Marekani wanasema kuwa kuweka kituo hicho Kenya kutasaidia Americans...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Kila Rais wa Marekani: Lazima aondoke na kichwa kimoja

    KILA RAIS WA MAREKANI LAZIMA AONDOKE NA KICHWA KIMOJA Unapokuwa rais wa nchi yoyote ile ni kwamba unafuata kile ambacho watu fulani wanataka ukifuate, unaweza kuja na mipango yako na isifanye kazi. Unawekewa mkakati kwamba tunakuweka wewe ila tunataka ufanye hili na lile, unatakiwa kufuata...
  3. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Marekani yapunguza Vituo vya kuomba Viza Afrika kutoka 50 mpaka 20, Tanzania tumepona

    Kuna mabadiliko makubwa kwenye sera za Marekani kuhusu utoaji wa visa barani Afrika. Marekani imepunguza idadi ya balozi na ofisi za ubalozi zinazoshughulikia maombi ya visa kutoka 50 hadi 20 pekee. Hatua hii inatajwa kuathiri safari na mahusiano ya kidiplomasia kwa nchi nyingi. Kwa mujibu wa...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameenda Urusi kuitisha Marekani?

    Dunia imegawanyika katika pande kuu mbili, mataifa ya Magharibi (US, EU, UK) na Mashariki (Urusi, China, North Korea, nchi za Kiarabu. Kila upande una mitazamo yake kiuchumi, kiulinzi na kidemokrasia. Wakati wa vita vya kiuchumi au vita halisi, Wamarekani huwa wana msemo wao. "Either you are...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani kupunguza balozi zake Afrika zinazotoa visa

    Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya balozi zake barani Afrika zinazoshughulikia maombi ya visa, hatua inayotarajiwa kuongeza udhibiti kwa wanaotafuta vibali vya kuingia nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Associated Press (AP), mpango huo utaifanya...
  6. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kenya haipaswi kuwa “eneo la kuzuia virusi vya Ebola” kwa Marekani

    Mwezi Juni kwa kawaida huwa ni msimu wa baridi na wa kupendeza katika maeneo ya uwanda wa juu wa Afrika Mashariki. Lakini wakazi wa Nanyuki katikati mwa Kenya siku hizi wana hasira kubwa. Wamekusanyika katika malango ya Kituo cha Anga cha Laikipia, wakifanya maandamano ili kupinga kuanzishwa kwa...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Atetea Kituo cha Maandalizi ya Ebola Kinachofadhiliwa na Marekani Laikipia

    Rais William Ruto ametetea mpango wa ujenzi wa kituo cha maandalizi na kukabiliana na ugonjwa wa Ebola katika Kaunti ya Laikipia, akisema kuwa Kenya lazima iwe tayari kukabiliana na milipuko ya magonjwa hatari yanayoweza kutokea wakati wowote. Akizungumza baada ya sherehe za Madaraka Day...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Vita vya Marekani Mashariki ya Kati vinaweza kuchochea ugaidi dhidi ya raia wa Marekani Ulimwenguni

    Ni suala la muda tu ulimwengu utaanza kushuhudia matukio ya kigaidi duniani, hususani dhidi ya Marekani, raia wake na washirika wake. Matukio hayo hayatakua ya kushangaza sana duniani katika siku zijazo, kwakua ni Marekani mwenyewe amechochea hali hiyo. Itakua ni kama halali ya magaidi kutoka...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Oman Kushambuliwa na Marekani

    https://youtu.be/9yP5oYnlva4?si=MbMw5u4P2bino_W7
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mkwara wa Marekani: Eti Samia Suluhu anataka kumwaga Manyanga

    Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama Samia akimbilia huko, akifa azikwe huko huko.. Kama akikimbia, Msiba wake utakuwa kama wa Rungu Rais...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Iran ilishambulia vikali na kuharibu mali na kambi za Marekani picha za satellite zaonyesha

    Mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za jeshi la marekani mashariki ya kati yameharibu vifaa na miundo mbinu 228 kwa mujibu wa picha za satellite zilizoachiwa.Idadi ya uharibifu ni mkubwa mno tofauti na ripoti zilizotolewa na makao makuu ya jeshi Centcom. Wiki ya kwanza ya vita inaonyesha kambi...
  13. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wakenya wakipokea wagonjwa wa ebola kutokea Marekani katika uwanja wa ndege wa Jomo kenyata

    Kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mtandao wa Instagram likidai kuwaonyesha baadhi ya raia wa Kenya wakiwapokea wageni wanaodhaniwa kuwa na ugonjwa wa Ebola. Katika chapisho hilo imeomekana kuwa na jumbe ufuatao” Marekani itaipatia Kenya USD milioni 13.5 [TZS bilioni 35.5] kwa...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Imekuwaje Israel Imefunikwa?

    https://youtu.be/IdS3eoAdqhU?si=drTe0Dyah_0mscBF
  15. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Kombo waalike hao Maseneta wa Marekani na pia wapewe fursa ya kuonana na vyama vya upinzani!

    Ni jambo jema kuwaalika Maseneta wa Marekani ili waje wafanye uchunguzi wao kuhusu yaliyotokea October 29 na mengine mengi yanayolalamikiwa na wanasiasa wa upinzani, wanasheria na wanaharakati. Muhimu Maseneta watakaokuja wapewe fursa ya kuonana na makundi yote ya kijamii na isije kutokea...
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wasomali wamewezaje kuipiga system na kuiba mabilioni na mabilioni ya pesa kwa muda mrefu hapo Minnesota, Marekani?

  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini baada ya Marekani kuingilia mzozo wa Mashariki mwa Congo DRC, M23 waliingia uoga na kuachilia maeneo waliyokuwa wakiyashikilia?

    Wakuu ni kivipi hili suala, hali ilibadilika ghafla baada ya serikali ya Marekani kusaini makubaliano ya amani ambayo hapo awali yalikuwa hayaheshimiwi na wahusika? M23 wamekuwa wakishikilia kwa muda mrefu maeneo ya mashariki ya Congo DRC lakini hivi karibuni walitangaza kuondoka kwenye ngome...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

    Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Magufuli Walikataa, Rais Samia Usikubali Nchi Yoyote Kuingilia Sovereignty Yetu, Iwe ni US, UK or EU!, Kwani Marekani Ndio Nani, Nini?

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Lucas Mshamba,Lucy Mikael,Yona wa Chalinze,Mwalimu na BAKWATA kuongoza utetezi wa CCM kwenye bunge la seneti huko Marekani

    Habari za ndani zina sema mwezi wa sita mwishoni ujumbe wa CCM ukiongizwa na watajwa hapo juu utaelekea Marekani ili kuitetea serikali ya CCM kwa mauaji yaliyotokea October 29 30 na 31 pamoja, uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, utekaji, kuuwawa na kupotezwa kwa watu kwa kipindi...
Back
Top Bottom