marekani

  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Waswahili wa Marekani

    https://youtu.be/8DNwD9U2mks WASWAHILI WA MAREKANI Huyu mwandishi Nathaniel Mathews tunafahamiana na kwa kiasi fulani alikuwa kama mwenyeji wangu nilipokwenda Northwestern University, Chicago. Anazungumza Kiswahili vizuri na anakipenda muda wote tulipokuwa pamoja tukisema Kiswahili. Jambo...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Inashangaza Marekani Haikubaini Kuipiga Iran Ni Kujiangamiza Yenyewe

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anachambua mzozo kati ya Iran na Marekani akizingatia athari zake kwa mataifa ya Ghuba na mabadiliko ya nguvu za kijeshi duniani. Hizi hapa ni nukuu na hoja muhimu: Kibri na Maangamizi Mohamed Said anabainisha kuwa mzozo huu unachochewa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afrika waipendelea zaidi China, huku ushawishi wa Marekani ukipata pigo kubwa

    Kura ya maoni ya hivi karibuni ya Kituo cha Utafiti cha Pew inaonyesha kwamba taswira ya Marekani imeharibika vibaya barani Afrika wakati wa miaka miwili ya kwanza ya muhula wa pili wa rais Donald Trump. Watu waliohojiwa katika nchi za Ghana, Kenya, Nigeria, na Afrika Kusini, tatu kati ya hizi...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani. Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu: Kasi kubwa (High Speed) Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana...
  6. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu Saudi Arabia kurutubisha Uranium bila uangalizi Wakimataifa

    Kulingana na vyanzo na nyaraka walizoziona CNN, utawala wa Trump umekubali kimsingi kuruhusu Saudi Arabia kusafisha uranium ndani ya nchi yake. Tatizo kubwa: Hii itafanyika bila kutekeleza ulinzi wa kimataifa* unaokusudiwa kuzuia utengenezaji wa silaha za nyuklia. "Ulinzi wa kimataifa" kwa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mlango Bahari wa Hormuz ukiwa chini ya Majeshi ya Marekani. Iran mabaki kubwabwaja tu.!!

    Wakati Magaidi wa Iran wakibwabwaja Mlango wa Bahari wa Hormuz uko mikononi mwa majeshi ya Marekani
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maelezo kwa undani jinsi mifumo ya Marekani ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu inavyofanya kazi

    Marekani hutumia mfumo wa ulinzi wa tabaka nyingi (layered missile defense system). Mfumo huu haufanyi kazi kwa kutegemea kifaa kimoja tu, bali ni mtandao wa satelaiti, rada, kompyuta, na makombora ya kujihami unaofanya kazi kwa pamoja. Hatua zake kuu ni hizi: Ugunduzi wa mapema (Early Warning)...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran sasa hivi anapigwa Kama Ngoma na Majeshi ya Marekani!!

    Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!! Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho visivyo na tija!!! Sambamba na kauli za Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii, Jeshi la Anga...
  10. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

    Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha. Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Marekani wametusaidia Bil 2.6 baada ya Serikali yetu kuilipa kampuni ya Kimarekani ya lobbying Bil 8. Hii ni sawa?

    ..kichwa cha habari kinahusika. ..hivi ni akili kweli kulipa bil 8 kwa ajili ya vimisaada vya bil 2.6? ..au huu ni ulaji na upigaji wa watu fulani? ..halafu tunalalamika kwamba kuna Watanzania wanalipwa kuchoma nchi yao. ..badala ya kulipa bilioni 8 huko nje kwanini serikali isipande dau na...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Marekani Yamnyanyasa Mwandishi wa Habari Raia wa USA Aliyekuwa anaripoti Habari za Matukio ya Vita Iran

    My Take Tulikubaliana kwamba Nchi Zenye Demokrasia na Katiba Mpya Huwa hazinyanyasi watu wakiwemo waandishi wa habari na kwamba huko mambo ni saaaafi kabisa ,hii vipi tena wajameni? 😂😂😂😂 Chadomo mpo? Mkileta ukibaraka mshughulikiwe bila huruma...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    My Take Chadomo wakiona hii watalia sana 😂😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/DaxHrfqjpeU/?igsh=NWJ5N2JkY256ajlq
  14. O

    JamiiForums Tanzania Wanapingana na Marekani Super Power: Wanataka Usawa au Nao Wanataka Kuwa Juu Kama Marekani?

    Kwa muda mrefu Marekani imekuwa ikiongoza dunia kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, nchi kama China na Urusi zimekuwa zikiongeza ushawishi wao na kupinga baadhi ya sera za Marekani. Swali, Je, wanachotafuta ni dunia yenye usawa...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mtake msitake Kuanzia sasa Marekani ni Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz!!

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kwamba Marekani inarejesha kizuizi chake cha majini dhidi ya Iran, akitangaza kwamba Marekani sasa itajulikana kama "Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz." Pia alitangaza ukusanyaji wa ada ya 20% kwa mizigo yote inayopita kwenye mlango bahari.
  16. B

    JamiiForums Tanzania DHS Idara ya uhamiaji Marekani yaweka hadharani majina ya watu wanaotarajiwa kuondolewa nchini Marekani

    Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (DHS) imetaja pia raia kadhaa wa Kenya, Tanzania na Uganda ambao wanakabiliwa na hatua ya kuondolewa nchini Marekani. Orodha kamili pamoja na picha za waliokamatwa zinapatikana kwenye tovuti ya DHS. Kwa nini Marekani huwafukuza raia wa kigeni? Marekani...
  17. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Iran wanaonea Bahrain na Kuwait, mbona hawagusi Kambi ya Marekani iliyopo Israel? Wanawaogopa Israel?

    Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel?? Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran...
  18. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu moja iliyonifanya nisitake kuishi Marekani

    Habari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe. Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo sana. Nilimaliza, na nilikuwa na wenzangu. Wenzangu walipenda sana kuendelea kuishi huko na walikuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi Kombe la Dunia la 2026 ni dola milioni 871 za Marekani, ambayo ni kubwa zaidi katika historia ya soka

Back
Top Bottom