Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,538
- 96,686
Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!
Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea.
Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion.
Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple wanathamani mara 200 zaidi ya budget yetu?
Na hapo sio kwamba Apple ndio kampuni lenye thamani kubwa Marekani, wapo wababe juu yake.
Au mi nirudi shule?