marekani

  1. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Madikteta wa Afrika wamefukuzwa Ulaya na Marekani, sasa wanapishana angani kuelekea Urusi

    Moja ya eneo duniani ambako siasa ya upinzani inadhibitiwa kwa mkono wa chuma ni Urusi na Uchina ambako leo ndiko madikteta wa Kiafrika waliofukuzwa Ulaya na Amerika wanapishana angani kunywa chai na kupumzisha akili zao huko. Kwabahati nzuri mimi ni shahidi mkuu, nimekaa Urusi, na Uchina, moja...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Vita ya Marekani imetua Florida Muda huu baada ya kukaa angani kwa muda mrefu ikirekodi hali ya usalama wa Taifa

    Ndege maalumu ya siri ilokaa angani kwa miaka 2 imetua Leo mjini Florida baada ya kukamilisha operation zake kukagua usalama wa USA dhidi ya Wabaya wake Inasemekana ni ndege pekee ambayo Ina uwezo wa kufanya orbital recording in long range, Target ni IS na Russia Britannica
  3. battawi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani inawasaka Waislamu waliowaita ISIS na kuwaua?

    Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu. Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa. Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yafuta safari za ndege kwenda Cuba

    Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ametoa taarifa kuwa wameiagiza wizara ya usafirishaji ya nchi hiyo kusimamisha safari zote za kuelekea Cuba isipokuwa zile za kuelekea uwanja wa ndege wa Jose Marti uliopo Havana. Pompeo amesema uamuzi huo umechukuliwa kama muendelezo wa vikwazo...
  5. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA MSIKURUPUKE KUJA HUMU KAMA MKO...
  6. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) nchini Saudi Arabia

    Ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) zawasili nchini Saudi Arabia Jeshi la anga la nchini Marekani limetuma idadi isiyojulikana ya ndege maalumu za mashambulizi mazito na zenye kasi kubwa (Supersonic Bombers) aina ya Rockwell B-1 Lancer ama B-1B maarufu na ikijulikana kwa...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wazimbabwe waandamana kupinga vikwazo vya Marekani na EU kwa nchi hiyo

    Maelfu ya wananchi wa Zimbabwe jana waliandamana kumuunga mkono Rais Emmerson Mnangagwa kupinga vikwazo vilivyowekwa na Marekani pamoja na Umoja wa Ulaya dhidi ya nchi hiyo. Marekani na Ulaya imewawekea vikwazo maafisa wengi waandamizi wa Zimbabwe pamoja na Rais Mnangagwa kwa madai ya kukiuka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi

    Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi
  9. Kanjwinjwi

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Marekani

    MICHEZO YA KIPUMBAVU INAYOENDELEA KTK DUNIA HII 1.Trump alisema bora ya ISIS kuliko waasi wa Kikurdi maana Wakurdi ni wabaya na wao si malaika. 2.Trump akasema temewamaliza hawa ISIS asilimia mia hatuna haja ya kupigana vita Syria isiyo na faida na mumuache Bwana Assad atawalinda Wakurdi dhidi...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

    Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba. UPDATE Itakumbukwa kwamba Mkutano wa 10 wa Vyama vya Ukombozi vya Kusini mwa Afrika uliofanyika Zimbabwe tarehe9-12 Septemba 2019 uliazimia Vyama kupaza sauti...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Diamond, Rayvanny, Nandy, Lil Ommy washinda tuzo Marekani

    Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and...
  12. middo lulyheart

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Kabudi Umoja wa Mataifa - UN, kwa niaba ya rais Magufuli - 27 Septemba 2019

    Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani. Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
  13. Ack

    JamiiForums Tanzania Mambo yameiva: Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza

    Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza, mambo yameiva https://youtu.be/mbuRGf5cfNM
  14. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
  15. Christopher Cyrilo

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na Marekani (2)

    Hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa makala inayohusu uhusiano baina ya taifa tajiri na lenye nguvu duniani, Marekani na moja kati ya mataifa masikini duniani, Tanzania. Katika makala iliyopita niligusia kwa juujuu, maeneo ambayo uhusiano ulikuwa mzuri, hasa kwenye huduma za kijamii...
  16. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Mbivu na Mbichi Uvumi wa Viza ya Kuingia Marekani

    Katika Pitapita zangu Nimekutana na Hii.... (Bofya Kusikiliza)'Uvumi kuhusu Viza ya Kuingia Nchini Marekani' Hawa Maafisa wa Marekani ' wamegegedua' Baadhi ya Uvumi juu ya Upatikanaji wa Viza ya kuingia kwa Trump ...na kufafanua njia sahihi ya kupata Viza hizo kwa wanaohitaji
  17. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

    Marekani;Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee Jabin Ahmed Ruhii anasema malalamiko yake mtandaoni yalifanya jamii ijadiliijadili Jamii ndogo ya waislamu mjini New York imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nafasi ya wanawake, baada ya mwanamke mmoja kwenye...
  18. nngu007

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa mabilioni kama Richmond - Umeme wa dharura - Mipango ya utapeli yakwama Marekani

    Umeme wa dharura Waandishi Wetu Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja Mipango ya utapeli yakwama Marekani Ngeleja mikononi mwa Bunge UTAPELI mithili ya ule wa kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Richmond,ambao nusura uchote Sh bilioni 85 kupitia mpango wa Serikali wa umeme wa dharura...
  19. Ukwaju

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka Marehemu Mwivano Kupaza aliyeuwawa na kaka yake Peter Kupaza

    Jamani samahanini sana wale wa miaka ya nyuma kuna jamaa km sikosei anatokea Mkoa wa Tanga alikuwa USA Wiscosin akamuagiza dada yake aende huko, akatembea naye (akambaka) walipoitoa mimba, Binti Mwivano akafariki (sijui aliuawa) Kaka mtu akamtenganisha na kwenda kumtupa mtoni, wapelelezi wa huko...
Back
Top Bottom