marekani

  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mwanajeshi wa Marekani aliishia wapi?

    Mara kwa mara nimekuwa nikisema kwamba taasisi inayoongoza kwa kuwa na vilaza wengi sana nchini, ni JWTZ ikifuatiwa kwa karibu na polisi. Kipindi cha mauaji ya Watanzania hapo mwaka jana, katika jitihada za kupoteza watu malengo, polisi wa Tanzania walikuja na kituko cha mwaka. Baada ya Samia...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Marekani na China ni mkutano wa wanaume tu!

    Tulipotea njia kulazimisha usawa wa jinsia katika uongozi, viti maalumu vya ubunge vifutwe.
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Feminists wana vituko. Au mpaka iwe China au Marekani ?

    Feminist na malalmiko katika mkutano kati ya Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Marekani Donald Trump. Kwa nini hawana wawakilishi ? Je, anayo hoja azingatiwe au apuuzwe ? https://x.com/i/status/2054907301652287954 Huyu feminist ni nani ? Hii hapa biography yake pitia.
  4. X

    JamiiForums Tanzania China yaiburuza Marekani kwenye vita vya madini muhimu kwenye ulimwengu wa teknolojia

    Kila mara Marekani inaposhindana na China kwenye vita vya kiuchumi na kiteknolojia China inakuwa na karata za ushindi dhidi ya Marekani. Hasa kupitia uwezo wake wa kusafisha na kuchakata (processing/refining) madini muhimu yanayotumika kwenye teknolojia, silaha, magari ya umeme, na vifaa vya...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Donald Trump anatua Beijing, na pamoja na Wakurugenzi Wakuu kuomba "mikataba" na Rais wa China Xi Jinping: hali ya uchumi Marekani ngumu

    Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump anatua Beijing, na pamoja naye analeta Wakurugenzi Wakuu wafuatao kuomba "makubaliano" na Rais wa China Xi Jinping: – Elon Musk, Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX – Jensen Huang, Mkurugenzi Mtendaji wa Nvidia – Tim Cook, Mkurugenzi Mtendaji wa...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Safari ya Trump yaonyesha Marekani inaihitaji sana China

    Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping. Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane. Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO Jensen Huang...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran yasema hakuna mbadala wa kukubali masharti yake ya kusitisha vita na Marekani

    Wanaukumbi. Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14 lililowasilishwa na Tehran. Kauli hiyo ilichapishwa Jumatatu jioni kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa X...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC yaionya Marekani dhidi ya mashambulizi dhidi ya meli zake uvumilivu umefika mwisho. Italipiza kisasi kwa nguvu kubwa.

    Wanaukumbi. TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
  9. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania TANZANIA KATIKATI YA DHORUBA YA KIJIOPOLITIKI: KAULI YA BALOZI MTEULE WA MAREKANI NI ONYO AU DIPLOMASIA YA MASLAHI?

    TANZANIA KATIKATI YA DHORUBA YA KIJIOPOLITIKI: KAULI YA BALOZI MTEULE WA MAREKANI NI ONYO AU DIPLOMASIA YA MASLAHI? “Karne hii mpya haitapiganiwa kwa mafuta pekee — itapiganiwa kwa madini, taarifa, na ushawishi wa kimkakati.” Kuna nyakati katika historia ambapo kauli moja ya kidiplomasia...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tehran yakataa tarehe ya mwisho iliyowekwa na Rubio, yasema majibu na pendekezo la Marekani yatajibiwa kwa 'wakati unaofaa'

    Wanaukumbi. Tehran yakataa tarehe ya mwisho ya Rubio, yasema jibu la pendekezo la Marekani linakuja kwa 'wakati unaofaa' —— Iran imekataa amri ya mwisho ya saa 24 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, huku msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Esmail Baghaei akisema kwamba...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Balozi Mteule wa USA Tanzania: Tanzania bado ni mshirika muhimu wa Marekani

    Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda. Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Balozi mtarajiwa wa Marekani Tanzania aongelea uchaguzi

    https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=1zvg40qWNAEird-_
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

    Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump. Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉. Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Marekani Imepwelewa Pakubwa Chombo Kimekwama Mchangani

    https://youtu.be/rXVVWfMv5wo?si=90SAmzHTuVpYN8ek
  16. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

    The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
  17. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Marekani yashambuliwa na Jeshi la Wanamaji la Iran ambalo inadaiwa liliangamizwa

    Salaaam! Itachukua muda mrefu mno kuwaelewesha MADUNYA na MABAZAZI huu msemo wa kiingereza usemao kwamba "The First Victim of War is the Truth". Mhanga wa kwanza wa vita siyo mtu, bali ukweli. Vita hutawaliwa na hisia, propaganda, vitisho na woga wa kila namna. Usipokuwa makini unaweza ukabebwa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani yazamisha boti sita za Iran

    US Central Command imethibitisha Jumatatu kuwa majeshi ya Marekani yamezamisha boti za Iran na kukamata makombora pamoja na ndege zisizo na rubani wakati wa operesheni za “Project Freedom” katika Strait of Hormuz. Hii inaashiria tukio la kwanza lililothibitishwa la mapambano ya moja kwa moja...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kombola jipya la Marekani Hypersonic Dark Eagle kupelekwa Mashariki ya kati!

    Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba yapokea Kitabu cha Vassanji kutoka Marekani

    MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA VASSANJI KUTOKA MAREKANI Kwa wale waliokulia Kariakoo ya miaka ile akisoma kitabu chochote cha Vassanji ataiona ile Kariakoo ya enzi zetu na yote yaliyokuwapo miaka ile. Niliijua kalamu ya Vassanji kwa mara ya kwanza Amsterdam nyumbani kwa dada yangu marehemu Haki...
Back
Top Bottom