Baadhi ya vipengele muhimu vya makubaliano hayo ni;
Kusitishwa kwa mapigano kwa siku 60 katika nyanja zote, ikiwemo nchini Lebanon.
Mlango bahari wa Hormuz kufunguliwa mara moja, bila Iran kutoza ada zaidi kwa meli, na usafirishaji kupitia mlango huo kurudi viwango vya awali kabla ya vita, baada ya siku 30 ya kusainiwa kwa mkataba huo.
Vizuizi vya Marekani dhidi ya bandari za Iran kuondolewa.
Kuachiliwa kwa dola billioni 24 za fedha za Iran zilizozuiwa ambapo nusu ya fedha hizo zinafaa kuachiliwa mara moja pindi tu mkataba huo unatiwa saini.
Iran pia inataka kupewa fidia ya uharibifu uliofanyika kipindi cha vita ambapo ilirekodi hasara ya takriban dola billioni 300.