AOMBE! ziara ya hata siku moja itatosha, Lazima Marekani wampokee.😂😂😂Baada ya kutoka Russia samia aende Marekani.
Watamwalika kwakuwa Russia na Marekani ni mahasimu.
Marekani naye atataka kupata vile ambavyo Tanzania na Russia walikubaliana.
Aombe ziara ya hata siku moja itatosha, Lazima Marekani wampokee.
Atakamatwa kibwege sanaHiyo umeikubali.
Hiyo ni lugha ya pichaUnamuita kiongozi wako Mbuzi??
Kuwa na adabu kijana.