marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani itaporomoka vipandevipande ikiwa tu itawakataa Waisrael,itaikataa Ulaya na ikiwa itaanza kujitenga ndani ya majimbo yake....

    Marekani ndilo taifa linaloongoza kiuchumi na kijeshi duniani,lakini kuongoza kwake kunategemea washirika Israel na Ulaya, Israel wanategemewa ktk teknolojia ya uundwaji wa silaha Kali Kali na maombi kwa Marekani,pia Waisrael wapo Urusi,wanachokifanya wakitoa silaha Toleo jipya Urusi Waisrael...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza idadi ya makampuni ya China kwenye orodha ya Fortune ya makampuni 500 yenye nguvu duniani yaizidi ya Marekani

    Jarida la Fortune ambalo limekuwa likitoa orodha ya kampuni yenye nguvu zaidi duniani, limetoa orodha ya mwaka huu ya makampuni 500 yanayoongoza duniani. Kwa mara ya kwanza kwenye orodha hiyo idadi ya makampuni ya China, ikiwa ni yale ya China Bara na Hong Kong imefikia 124, ikiwa imezidi idadi...
  3. JamiiForums Tanzania China yajibu mapigo yaipiga Sanction Marekani

    China said it will sanction 11 Americans in retaliation for similar measures imposed by the U.S. on Friday, but the list doesn’t include any members of the Trump administration. Those sanctioned include Senators Marco Rubio, Ted Cruz, Tom Cotton and Pat Toomey; Congressman Chris Smith; Human...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

    Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series. Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya...
  5. JamiiForums Tanzania Puerto Rico | Estado Libre Asociado de Puerto Rico

    | Jumuiya ya Madola ya Puerto Rico, Estado Libre Asociado de Puerto Rico, Commonwealth of Puerto Rico au Free Associated State of Puerto Rico Puerto Rico ni kisiwa na mkusanyiko wa visiwa kadhaa katika bahari ya Karibi, Atlantiki na uwanda wa Antilles, ikiwa na mipaka baina ya Jamhuri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani yawaomboleza watanzania waliokufa wakati wa shambulio la kigaidi 1998

    Ni miaka 22 tangu shambulio la kigaidi katika balozi za Marekani, Nairobi na Dar es Salaam Ni miaka 22 tangu shambulio la kigaidi lilipotokea katika ofisi za ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Nairobi. Agosti 7,1998, watu 213 waliuawa katika ubalozi wa Marekani Nairobi na 11 Dar es...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Trump ameipa siku 45 TikTok iwe imeuzwa ama ifungiwe kufanya kazi Marekani

    Bwana Donald Trump, Rais wa Marekani ametia saini sheria ama Executive Order ya kuipa kampuni ya ByteDance inayomiliki kampuni ya Tik Tok nchini Marekani kuuza hisa zake zote kwa kampuni ya Marekani ama ufungiwe kufanya kazi Marekani. Trump anasema hiyo kampuni kuwa chini ya kampuni ya kichina...
  8. T

    JamiiForums Tanzania China: Tunapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha Makampuni ya Kichina

    Serikali ya China imesema inapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha ama kuyaua makampuni ya kimtandao ya kichina. China imeitaka Marekani kuendelea kuweka mizania sawa ya kibiashara badala ya kutaka kuyawekea vikwazo vya kibiashara makampuni ya kichina. Juzi jumapili Waziri wa...
  9. JamiiForums Tanzania US election 2020: Nani kuwa mgombea mwenza wa Joe Biden kati ya hawa?

    Habari! Mnamo mwezi Machi, Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden aliahidi kumteua mwanamke kuwa mgombea mwenza iwapo atateuliwa na Chama cha Democratic kuwania kiti cha Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwezi Novemba hapo baadaye mwaka huu. Kwa yule asiyefahamu, Joe Biden hivi sasa ndiye...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi bongo mambo kama ya wall street Marekani?

    Wakuu za muda huu Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache Wall street ni nini?? Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa...
  11. JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli anapokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi wapya wa Marekani na Vietnam 🇻🇳

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Trump kuipiga marufuku application ya Tik Tok ndani ya saa 24 nchini Marekani

    Mwezi uliopita Trump alitangaza kua ataipiga marufuku TikTok na mitandao mingine ya kichina nchini Marekani kwa tuhuma kua inatumika na serikali ya China kuiba data. Leo Trump ametangaza kua anaipiga marufuku ndani ya masaa 24 kwa kutumia sheria ama Executive order. Juzi bunge la Marekani...
  13. JamiiForums Tanzania App ya TikTok yaingizwa kwenye mtego wa majaribu ya Marekani dhidi ya China

    Hivi karibuni serikali ya Marekani imetishia kuipiga marufuku app ya TikTok ya China, hatua ambayo imezua wasiwasi mkubwa hasa kwa wadau na watumiaji wa app hii duniani. Inaonekana kuwa Marekani hivi sasa inafanya kila njia ili kuitia majaribuni China na kuipima itahimili vipi vishindo vyake...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Marekani: Brazil itakabiliana na hatari iwapo itaruhusu Huawei kujenga 5G

    Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kutumia mkono wake mrefu na wenye nguvu kuiwekea vikwazo kampuni ya Huawei kutoka China, sasa mbinyo huo umeifikia Brazil. Balozi wa Marekani nchini Brazil ameionya nchi hiyo kua itakabiliwa na hatari iwapo itairuhusu kampuni ya Huawei kujenga mitambo...
  15. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Iran yashambulia meli za Marekani kwa makombora makali

    Iran imeshambulia kwa makombora makali meli bandia ya kivita ya Marekani katika mlango bahari wa kimkakati wa Hormuz. Zoezi hilo lilishirikisha mashambulio makali hatua iliofanya kambi mbili za Marekani kujiweka katika hali ya tahadhari. Jeshi la Marekani lilishutumu tabia hiyo mbaya...
  16. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni makubwa ya Apple, Facebook, Amazon na Google kuhojiwa na Bunge la Marekani leo

    Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday. The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imeamua kufunga Konseli Kuu ya China mjini Houston, Marekani?

    Wiki hii Serikali ya Rais Donald Trump imeishangaza ulimwengu kwa kuendelea na sera yake ya kuiandama China kwa kutoa muda wa saa 72 kufungua konseli kuu ya China mjini Houston, kwa kisingizio cha “kulinda taarifa binafsi za wamarekani na kulinda haki za ubinufu za wamarekani”. Wanaofuatilia kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa China uliopo Houston kufungwa kufikia Ijumaa

    Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa uamuzi huo unalenga "kulinda akilimiliki ya Wamarekani ". Lakini msemaji wa wizara ya mambo ya nchi za nje ya Uchina Wang Wenbin amesema kuwa uamuzi huo "ni wa kushitua na usio na sababu ". Taarifa hii imekuja baada ya watu wasiojulikana...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump awataka wamarekani watumie barakoa

    Rais Donald Trump amewataka wamarekani watumie barakoa. Awali, Rais Trump alikuwa havai barakoa kwa madai kuwa hazina msaada wowote, ila sasa amesema ataanza kuvaa Nchi hiyo imerekodi vifo 1,000 vya COVID19 kwa siku ya Jumanne na kufanya kuwa na jumla ya vifo 144,953, nchi hiyo ina maambukizi...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani haijaandaa kupatana kwa usawa na nchi nyingine yoyote

    Hivi karibuni, Marekani imefanya kila iwezalo kwa kisingizio cha “usalama wa taifa” kuidhoofisha kampuni ya teknolojia ya Huawei, hata kuikashifu kuwa “mkiukaji wa haki za binadamu” na kutangaza kuweka vikwazo vya visa dhidi ya wafanyakazi wa Huawei. Lakini je, nani anayetishia zaidi usalama wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…