marekani

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waliowategemea ndugu walio Ulaya na Marekani wana hali mbaya kiuchumi

    Watu walio nje ya nchi, hasa waafrika walioko Marekani na Ulaya wamekuwa watu wanaotoa msaada kwa familia zao zilizobaki Afrika kwa kuwatumia pesa na vitu mbalimbali kila wakati. Kutokana na changamoto ya COVID19 na hatua mbali mbali zilizochukuliwa ili kuepuka maambukizi zaidi ya janga hilo...
  2. Almendezz

    JamiiForums Tanzania China na Urusi kupunguza matumizi ya dola

    Urusi na Uchina zinashirikiana kupunguza utegemezi wao kwa dola - maendeleo ambayo wataalam wengine wanasema inaweza kusababisha "muungano wa kifedha" kati yao. Katika robo ya kwanza ya 2020, sehemu ya biashara ya dola kati ya Urusi na Uchina ilianguka chini ya asilimia 50 kwa mara ya kwanza...
  3. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Yale matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu COVID-19 nchini yameishia wapi?

    Kwa mtu anayechanganua masuala kwa undani utagundua kuwa matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu kile walichokuwa wanakiita ''Hali mbaya ya maambukizo nchini'' kimepotea baada ya tamko lao la mwisho la mwezi Mei 2020. Nadhani Ubalozi wa Marekani umegundua kuwa matamko hayo yalikuwa hayaisaidii...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Tunaionya Marekani, iache kutupangia nishati ya kutumia

    Ujerumani imesema inaionya Marekani iache kuwapangia nishati ya kutumia kwani kila nchi ina uhuru wa kuamua itumie nishati gani. Ujerumani inashirikiana na Urusi kujenga bomba la gesi, Nord 2 kutoka Urusi hadi Ujerumani lakini Marekani ametishia kuliwekea vikwazo hilo bomba lisikamilie au...
  5. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Marekani itaporomoka vipandevipande ikiwa tu itawakataa Waisrael,itaikataa Ulaya na ikiwa itaanza kujitenga ndani ya majimbo yake....

    Marekani ndilo taifa linaloongoza kiuchumi na kijeshi duniani,lakini kuongoza kwake kunategemea washirika Israel na Ulaya, Israel wanategemewa ktk teknolojia ya uundwaji wa silaha Kali Kali na maombi kwa Marekani,pia Waisrael wapo Urusi,wanachokifanya wakitoa silaha Toleo jipya Urusi Waisrael...
  6. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza idadi ya makampuni ya China kwenye orodha ya Fortune ya makampuni 500 yenye nguvu duniani yaizidi ya Marekani

    Jarida la Fortune ambalo limekuwa likitoa orodha ya kampuni yenye nguvu zaidi duniani, limetoa orodha ya mwaka huu ya makampuni 500 yanayoongoza duniani. Kwa mara ya kwanza kwenye orodha hiyo idadi ya makampuni ya China, ikiwa ni yale ya China Bara na Hong Kong imefikia 124, ikiwa imezidi idadi...
  7. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania China yajibu mapigo yaipiga Sanction Marekani

    China said it will sanction 11 Americans in retaliation for similar measures imposed by the U.S. on Friday, but the list doesn’t include any members of the Trump administration. Those sanctioned include Senators Marco Rubio, Ted Cruz, Tom Cotton and Pat Toomey; Congressman Chris Smith; Human...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

    Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series. Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya...
  9. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Puerto Rico | Estado Libre Asociado de Puerto Rico

    | Jumuiya ya Madola ya Puerto Rico, Estado Libre Asociado de Puerto Rico, Commonwealth of Puerto Rico au Free Associated State of Puerto Rico Puerto Rico ni kisiwa na mkusanyiko wa visiwa kadhaa katika bahari ya Karibi, Atlantiki na uwanda wa Antilles, ikiwa na mipaka baina ya Jamhuri ya...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yawaomboleza watanzania waliokufa wakati wa shambulio la kigaidi 1998

    Ni miaka 22 tangu shambulio la kigaidi katika balozi za Marekani, Nairobi na Dar es Salaam Ni miaka 22 tangu shambulio la kigaidi lilipotokea katika ofisi za ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Nairobi. Agosti 7,1998, watu 213 waliuawa katika ubalozi wa Marekani Nairobi na 11 Dar es...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Trump ameipa siku 45 TikTok iwe imeuzwa ama ifungiwe kufanya kazi Marekani

    Bwana Donald Trump, Rais wa Marekani ametia saini sheria ama Executive Order ya kuipa kampuni ya ByteDance inayomiliki kampuni ya Tik Tok nchini Marekani kuuza hisa zake zote kwa kampuni ya Marekani ama ufungiwe kufanya kazi Marekani. Trump anasema hiyo kampuni kuwa chini ya kampuni ya kichina...
  12. T

    JamiiForums Tanzania China: Tunapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha Makampuni ya Kichina

    Serikali ya China imesema inapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha ama kuyaua makampuni ya kimtandao ya kichina. China imeitaka Marekani kuendelea kuweka mizania sawa ya kibiashara badala ya kutaka kuyawekea vikwazo vya kibiashara makampuni ya kichina. Juzi jumapili Waziri wa...
  13. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania US election 2020: Nani kuwa mgombea mwenza wa Joe Biden kati ya hawa?

    Habari! Mnamo mwezi Machi, Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden aliahidi kumteua mwanamke kuwa mgombea mwenza iwapo atateuliwa na Chama cha Democratic kuwania kiti cha Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwezi Novemba hapo baadaye mwaka huu. Kwa yule asiyefahamu, Joe Biden hivi sasa ndiye...
  14. DOCTOR UZI

    JamiiForums Tanzania Hivi bongo mambo kama ya wall street Marekani?

    Wakuu za muda huu Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache Wall street ni nini?? Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa...
  15. Troll JF

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli anapokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi wapya wa Marekani na Vietnam 🇻🇳

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Trump kuipiga marufuku application ya Tik Tok ndani ya saa 24 nchini Marekani

    Mwezi uliopita Trump alitangaza kua ataipiga marufuku TikTok na mitandao mingine ya kichina nchini Marekani kwa tuhuma kua inatumika na serikali ya China kuiba data. Leo Trump ametangaza kua anaipiga marufuku ndani ya masaa 24 kwa kutumia sheria ama Executive order. Juzi bunge la Marekani...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania App ya TikTok yaingizwa kwenye mtego wa majaribu ya Marekani dhidi ya China

    Hivi karibuni serikali ya Marekani imetishia kuipiga marufuku app ya TikTok ya China, hatua ambayo imezua wasiwasi mkubwa hasa kwa wadau na watumiaji wa app hii duniani. Inaonekana kuwa Marekani hivi sasa inafanya kila njia ili kuitia majaribuni China na kuipima itahimili vipi vishindo vyake...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Marekani: Brazil itakabiliana na hatari iwapo itaruhusu Huawei kujenga 5G

    Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kutumia mkono wake mrefu na wenye nguvu kuiwekea vikwazo kampuni ya Huawei kutoka China, sasa mbinyo huo umeifikia Brazil. Balozi wa Marekani nchini Brazil ameionya nchi hiyo kua itakabiliwa na hatari iwapo itairuhusu kampuni ya Huawei kujenga mitambo...
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Iran yashambulia meli za Marekani kwa makombora makali

    Iran imeshambulia kwa makombora makali meli bandia ya kivita ya Marekani katika mlango bahari wa kimkakati wa Hormuz. Zoezi hilo lilishirikisha mashambulio makali hatua iliofanya kambi mbili za Marekani kujiweka katika hali ya tahadhari. Jeshi la Marekani lilishutumu tabia hiyo mbaya...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni makubwa ya Apple, Facebook, Amazon na Google kuhojiwa na Bunge la Marekani leo

    Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday. The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
Back
Top Bottom