marekani

  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Maduro: Tumemkamata Jasusi wa Marekani

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuwa wamemkamata jasusi wa Marekani aliyekuwa akipeleleza kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi nchini humo. Maduro aliutangazia umma wa Wavenezuela kupitia televisheni ya taifa katika matangazo ya moja kwa moja akimweleza jasusi huyo kuwa ni mwanajeshi wa...
  2. Faith Luvanga

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mstaafu wa Marekani aliyeishi na VVU kwa miaka 20 bila kufahamu

    Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu baada ya kumfanyia vipimo mnamo katikati ya mwaka 1995 ambapo wanajeshi wote wa jeshi la majini...
  3. Faith Luvanga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump: Tiktok haitaongezewa muda Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa tarehe ya mwisho iliyopagwa kwajili ya kampuni ByateDace ya China kuuza programu nukushi ya Tiktok nchini humo haitaongezwa. Trump ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kabla hajaondoka kwenda Michigan kuendelea na kampeni yake na...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Joe Biden (Democrat) ana nafasi ya kushinda katika Uchaguzi wa Marekani kwa 71.1%

    Joe Biden stands a 71.1% chance of winning the Electoral College, according to the Sept. 7 run of poll aggregator FiveThirtyEight’s election forecasting model. He is predicted to win 334 of 538 electoral votes. The model estimated Donald Trump’s chances at 28.4% According to the Sept. 7 run of...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Marekani inatarajia kuiingiza SMIC ya China kwenye vikwazo, yenyewe yakataa kuhusika na jeshi la China

    Rais Donald John Trump anatarajia kuiingiza kampuni kubwa ya kutengeneza vifaa vya elektroniki ya China, Semiconductor Manufacturing International Corporation au SMIC ya China kwenye blacklist ya vikwazo kama Huawei wakiituhumu kushirikiana na jeshi la China. Kampuni ya SMIC imekataa vikali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa kijamii Marekani watupia jicho kampeni za Uchaguzi Tanzania

    5 September 2020 Tundu Lissu na Magufuli, Viongozi wa Jamii Marekani wajadili Amani, Haki, Upendo Na Ushirikiano Kutoka Washington DC pamoja na Studio zetu za South Carolina, leo hii tumepata nafasi ya kuongea na Pastor: Absalom Nesuwa na Anna Ngoti, kutoka Kanisa la Umoja International Out...
  7. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Pentagon 2020 kwenye Bunge la Marekani: Uchina ina jeshi kubwa la maji kuliko Marekani, Tanzania yatajwa

    Pentagon wamepeleka ripoti yao ya mwaka 2020 kwenye bunge la Marekani kuhusu nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina. Uchambuzi huo umezungumzia ukuaji wa kasi wa nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina tokea mwaka 2000 hadi 2020: Kuna mambo ambayo yameshangaza wataalamu wengi wa Marekani kwasababu...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani: Trump awaambia wapiga kura wa North Carolina wapige kura mara mbili

    Rais wa Marekani Donald Trump amewaambia watu katika jimbo la North Carolina wapige kura mara mbili katika uchaguzi wa mwezi Novemba, licha ya kwamba kufanya hivyo ni kinyume cha sheria. Bwana Trump alisema wapigakura watume kura kwa njia ya posta, halafu wapige kura binafsi ili kuujaribu mfumo...
  9. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea vikwazo waendesha mashitaka (ICC)

    Marekani imewawekea vikwazo waendesha mashitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku kadhaa baada ya mahakama hiyo kuidhinisha uchunguzi kuhusu tuhuma za uhalifu wa kivita unaodaiwa kutekelezwa na Marekani nchini Afghanistan. WALE MASHABIKI WA USA NA WASHIRIKA WAKE, NA KUAMINI KUWA...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza kuwa haitahusika katika Mpango wa Ulimwengu unaolenga kutengeneza, kutoa na kusambaza chanjo dhidi ya COVID-19

    Kulingana na habari katika gazeti la "Washington Post", Msemaji wa White House Judd Deere amesema kuwa Marekani haitashiriki katika Mpango wa Chanjo dhidi ya Covid-19 (Covax), ambao unaratibiwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO). Akisisitiza kuwa Marekani itafanya suala la chanjo peke yake...
  11. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Ota Benga: Kijana aliyewahi kuwekwa kwaajili ya maonesho nchini Marekani

    Ota Benga alitekwa nyara kule ambako sasa hivi kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani lengo likiwa nikumfanya kuwa onyesho. Mwanahabari Pamela Newkirk, ambaye ameandika mengi kuhusu suala hilo, anaangalia matukio kadhaa ya kuficha ukweli wa kile...
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Marekani watu wameathiriwa na Corona au ni hype tu?

    Ukisikia mara Marekani watu wengi wamekufa kwa Corona. Lakini video na picha za hivi karibuni tunaona watu hawavai barakoa na wala hakuna cha social distance. Kwenye mikutano yao ya vyama wanakusanyika kama kawaida na wala hakuna cha measures. Huyu Corona haeleweki kama kweli sifa wanazompa...
  13. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  14. Kipapatiro

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  15. MSATULAMBALI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

    Polisi mjini Dallas wameomba msaada wa kumpata mtuhumiwa wa mauaji ya mhamiaji kutoka Tanzania, Johnson Mdoe Mchaina ambaye alikuwa anafanya kazi usiku kusaidia familia yake iliyopo Tanzania anapotoka. Hivi ya CCTV inamuonyesha mtuhumiwa akimpiga risasi Johnson na kuchukua maisha yake. Tukio...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Drug Enforcement Agency Tanzania?

    Ni kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Jeshi lake la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Drug Enforcement Agency. Je jeshi la Polisi Tanzania hawana uwezo wa kudhibiti madawa ya kulevya? Kinachonishangaza zaidi, bangi inaruhusiwa kutumiwa nchini Marekani ila hapa kwetu Marekani...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Democrat wamteua rasmi Joe Biden kuwa Mgombea Urais wa Marekani

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa kitaifa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamemteua rasmi Joe Biden kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika baadae mwaka huu. Marais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton na Jimmy Carter, walimpigia debe Biden kuwa mtu mwenye...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vipya vya USA kwa Huawei vinazuia hata kampuni choka mbaya kama Mediatek kufanya biashara na Huawei

    Marekani imetangaza vikwazo vipya kwa kampuni ya Huawei zaidi ya vile ilivyotangaza mwezi MAy mwaka huu ambavyo vilizuia makampuni makubwa ya kutengeneza chipsets kama Samsung na TSMC kuiuzia Huawei. Jana Jumatatu Marekani imetangaza vikwazo vipya kwa Huawei ambavyo vinazuia kampuni hata za...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya chama cha Republican, Orange County yalichomwa moto. Je, Tanzania tuliwaingilia?

    Ndugu watanzania wenzangu, Natumaini mko salama. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mimi ni mojawapo ya watu ambao hufuatilia sana siasa ya Marekani. Kwa hiyo ni ngumu sana kunidanya chochote kile kuhusu kinachoendelea huko Marekani. Katika generation hii ya dot com, ni vingumu...
  20. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

    MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
Back
Top Bottom