Baada ya Marekani kuituhumu Huawei kuwa ni tawi la jeshi la China na kuiongezea vikwazo, mambo yamezidi kuwa magumu kwa Huawei.
Kuanzia mwakani Huawei hataweza kuzalisha chip zake za Krin zinazotumika sasa kwenye simu zake za P series.
Huawei alikua na mpango wa kutumia chipset ya 5mn+ zake...
Habari!
Vikosi vya usalama vya Iraq vimevamia kambi ya kundi lenye nguvu linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah kusini mwa Baghdad na kuwakamata wanamgambo 14 sambamba na zana za kivita zikiwemo roketi, duru zimearifu.
Operesheni hiyo maalumu iliyofanyika mwishoni mwa siku ya Alhamisi...
George Floyd
Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
Zamani wakati wa ujinga wengi tulikuwa hatujui kuhusu hiyo Marekani tulimezeshwa kila kitu cha upande 1 wa shilingi. lakini inatia aibu kijana ambaye wazazi wake wamempeleka shule lakini leo bado yupo katika zama za ujinga bado anaona kama Marekani ndiyo kimbilio wakati ni nchi hatari hasa kwa...
Huawei ilikua inakuja vizuri sana kwa miaka 3 iliyopita. Ghafla bin vuu mwaka jana ikawekwa kwenye black list ya serikali ya Marekani ikaanza kupambana na vikwazo.
Sasa Huawei imeanza kupoteza hata ile miradi na mikataba iliyokua imepata ya kufunga mitambo ya 5G. Uingereza iliipa Huawei ila...
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo...
Wakati huo huo, Rais wa Marekani, Donald Trump amewataka maafisa wa afya kupunguza kasi ya kuwapima watu virusi vya corona. Akizungumza katika wa kuzinduliwa kwa kampeni yake kuwania kuchaguliwa tena kwenye uchaguzi wa Novemba, Trump amesema maafisa wa afya waachane na mpango huo kwani...
Historia ya watu Afrika ni chungu sana toka miaka ya zamani sana kwa mfano kupitia kipindi cha utumwa, ukoloni na sasa ukoloni maomboleo, lakini historia ya watu mbalimbali katika sehemu ya dunia ni chungu pia sio tu ya watu wenye asili ya Africa tu.
Yafuatayo ni suluhisho ya ubaguzi wa...
FORMIDABLE JAWS OF THE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7).
DRAGON'S JAW ni jina la utani la watu wa Vietname kwa daraja la Thanh Hóa. Wakati wa Vita vya Vietnam, wachambuzi wa masuala ya ujasusi wa CIA...
GRISELDA BLANCO - La Dama de la Mafia (Mwanamke wa Mafia)
.
Katikati ya PORI NENE la Biashara HARAMU iliyotawaliwa na WANAUME visiki. Muite "The Godmother of Drug-trafficking", Bilionea. Kwa miaka takribani 30 alisafirisha maelfu ya tani za UNGA kuingiza Marekani.
Alizaliwa mwaka 1943...
Huyu ni Professor Steve Loche, mhadhiri wa chuo kimoja katika jimbo la Massachusetts na ufuatao ni mkasa uliowahi kumkuta kwa sababu tu mi mtu mweusi...anaeleza:
“This is what I wore to work today. On my way to get a burrito before work, I was detained by the police.
I noticed the police car...
Habari!
Serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump imemshitaki mshauri mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, John Bolton, ili kuzuia kuchapishwa kwa kitabu chake kipya kinachohusu wakati wake alipokuwa katika ikulu ya White House.
John Bolton.
Kitabu hicho kilichopewa jina "The Room Where...
Rais wa Jamuhuri ya Urusi Bwana Vladimir Putin amekosoa vikali maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kupinga ubaguzi na kusema yale sio maandamano bali ni fujo.
Putin anasema zile ni fujo zilizojificha kwenye mgongo wa maandamano ya kudai haki za usawa na ubaguzi wa rangi.
Binafsi...
Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.
Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi.
Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani...
Duru zinaarifu kuwa Rais Donald Trump anapanga kurejesha kampeni zake za uchaguzi kwa kufanya mkutano wake wa kwanza panapo Juni 19 mjini Tulsa, Oklahoma.
Juni 19 ni siku inayofahamika kitaifa kama Juneteenth ambayo ni kumbukizi ya siku ya kukomeshwa kwa utumwa nchini Marekani.
Trump alitoa...
Wakati wa ziara iliyoleta utata.
Mkuu wa Majeshi akiomba radhi...
====
Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump
Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
Chanjo ya #CoronaVirus iliyogunduliwa na kampuni ya teknolojia ya kibailojia ya nchini Marekani, Mederna, itafanyiwa majaribio ya tatu na ya mwisho mwezi Julai
Majaribio hayo yanatarajiwa kuwa na washiriki 30,000. Kampuni hiyo itakuwa na uwezo wa kuzaliwa dosi milioni 500 kwa mwaka
Watu wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.