Jeshi la Iraq lavamia kambi ya kundi linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah, 14 wakamatwa

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Habari!

Vikosi vya usalama vya Iraq vimevamia kambi ya kundi lenye nguvu linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah kusini mwa Baghdad na kuwakamata wanamgambo 14 sambamba na zana za kivita zikiwemo roketi, duru zimearifu.

Operesheni hiyo maalumu iliyofanyika mwishoni mwa siku ya Alhamisi imetajwa kama hatua kali sana ya vikosi vya Iraq dhidi ya kundi kubwa linaloungwa mkono na Iran kwa miaka kadhaa, kundi ambalo maafisa wa Marekani hivi karibuni wamekuwa wakilishutumu kwa kurusha makombora katika kambi zenye makazi ya vikosi vya Marekani na vituo vingine nchini Iraq.

1593258937891.png


Al Jazeera inaripoti,
Iraqi forces raid Iran-backed Kataib Hezbollah base, 14 arrested

Iraqi security forces have raided a base belonging to a powerful Iran-backed armed group in southern Baghdad and detained at least 14 militia members, sources have told Al Jazeera.

The raid late on Thursday was the most brazen action by Iraqi forces against a major Iran-backed group in years and targeted the Kataib Hezbollah faction, which United States officials have accused of firing rockets at bases hosting US troops and other facilities in Iraq.

Al Jazeera's Simona Foltyn, reporting from Baghdad, said Iraq's elite Counter Terrorism Service seized at least 10 rockets during the operation, which was "carried out an in effort to pre-empt an impending rocket attack on the Green Zone and Baghdad International Airport, both of which house US troops".

"Subsequently, dozens of armed Kataib Hezbollah fighters arrived in the Green Zone and laid siege to one of the buildings belonging to the Counter Terrorism Service, demanding the release of the detainees, claiming they were arrested illegally without an arrest warrant," she said.

Kataib Hezbollah itself is part of Iraq's security apparatus, she noted, as the group is part of the state-funded Popular Mobilisation Forces (PMF), a Shia paramilitary dominated by Iran-backed armed groups.

The raid was the first sign that the government of Iraq's new prime minister, Mustafa al-Kadhimi, intends to make good on promises to take tough action against groups that have targeted US installations. It took place after a number of rocket attacks near the US embassy in Baghdad and other US military sites in the country in recent weeks.

[Al Jazeera]
 
14 wanatosha..hawa ndo wale die-hard fans..wengine wanakua wapo kwao. Kwa kua ni part ya population..so si rahis kupata wote..
 
Hao walikamatwa coz juzi Kati walimtihumu na kuntisha pm wa Iraq kwamba watamuua coz ni yeye aliyemsaliti general soleiman na abuu mahd almuhandis kwa kutoa info zao kwa us kwa siku ya vifo vyao
 
Ni vizuri serikali halali ya Iraq iyasambaratishe hayo magenge ya kihuni yanayofadhiliwa na Iran ili kuivuruga Iraq.
Unless huyo w\ziri mkuu amechoka kutawala.
Hao Mgambo wakiondoka, ISS watarudi kw aspeed kubwa sana na Huyo waziri mkuu wala wamarekani hawana jeshi la kupigana na ISS.
 
14 wanatosha..hawa ndo wale die-hard fans..wengine wanakua wapo kwao. Kwa kua ni part ya population..so si rahis kupata wote..

NIlivyoelea mim hao walikuwa wapo azini walikuw awanajinda akufanya shambulizi na sio kuwa walikamatwa wakiwa kambini.
Kingine msichokizungumzia ni kuwa jamaa walipeleka kikosi makao makuu ya hao Counter terrorist wakitaka watu wao waachiwe.
je wameachiwa?
 
Back
Top Bottom