Yes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya.
Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi.
Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais...
On the last day of the Trump Administration and the eve of the Biden's, the US has sent clear and unmistakeable warning to dictators who stole elections in Tanzania and Uganda: No impunity for your violent and fraudulent actions! And there's more to come!
Chanzo: Ukurasa wake wa twitter.
PIA...
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali
Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington.
Maandamano yanafanyika katika...
With six days left in office, the Trump administration has decided to put one more Chinese electronics giant in its sights: Xiaomi, the world’s number three phone manufacturer. The US Department of Defense is now designating Xiaomi as a “Chinese Communist military company,” meaning it’s now...
Soko la Hisa la Marekani na baadhi ya nchi zilizoendelea yako very flexible kiasi ambacho kampuni kushuka au kuongezeka net worth ndani ya masaa ni jambo la kawaida sana.
Chukulia mfano Corona ilivyoweza kufanya makampuni kama zoom kuinuka kwa kasi na hisa zake kupanda chati kwa kasi, au hivi...
Balozi wa Marekani nchini Uganda ameeleza kukatishwa tamaa na hatua ya serikali ya kukataa kuwapatia wasimamizi wao idhini ya kusimamia uchaguzi.
Balozi Natalie Brown amesema kuwa zaidi ya asilimia 75 ya maombi ya idhini za ujumbe wa wakaguzi wa Marekani yalikataliwa.
Ni watu 15 pekee ndio...
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden anayetajai kuapishwa Januari 20, ameandika kuwa miaka minne ijayo ni miaka ya kuirejesha demokrasia.
Ametaja kutakuwa na upya wa siasa ambayo itakuwa inatatua matatizo ya watu na sio kuibua hisia za chuki na ghasia.
Aidha ameweka suala la utawala wa sheria...
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un ameliita taifa la Marekani kuwa ni adui yao mkubwa na amezungumza kuwa mipango yao ya nyambizi zenye kutumia nyuklia imeshakamilika
Korea Kaskazini inazidi kujiendeleza katika teknolojia ya nyuklia na kuzidisha uwezo wa kushambulia, ambapo wanaona...
Mzuka wanajamvi!
Donald Trump ataanzisha chama chake. Kitakuwa na nguvu sana na wafuasi wengi sana na wengi watakihama republican na kujiunga nacho.
Kwa mara ya kwanza utakuwa mwisho wa vyama viwili Marekani Republicans na Democrats kiwa na nguvu pekee yao.
Uchaguzi wa 2024 Marekani utakuwa...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amepiga marufuku uingizaji wa chanjo ya Covid-19 kutoka kampuni ya Pfizer ya Marekani na mshirika wake BionTech, sambamba na chanjo ya Uingereza ya Astrazeneca kwa kile alichokitaja kama kukosa imani na mataifa ya Magharibi.
Katika hotuba kupitia...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya vurugu zilizofanywa na waandamanaji waliovamia Bunge la Marekani kwa Lengo la kulilazimisha Bunge la Marekani kubadilisha Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Novemba 3, 2020 yaliyompa Ushindi Joe Biden...
Polisi nchini Marekani wanasema wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki likiwa limeegeshwa karibu na jengo la bunge siku ya Jumatano wakati wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia jengo la bunge, mtandao wa CNN umeripoti.
Mtu mwingine aliingia ndani ya jengo la bunge akiwa na bunduki...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezungumzia vurugu zilizotokea Marekani baada ya wafuasi wa Rais Donald Trump kuvamia jengo la bunge Capitol Hill.
Bwana Trump alichochea wafuasi wake kuandamana hadi bungeni ili kuvuruga kikao cha kumuidhinisha Rais mteule kilichokuwa kinaendelea.
Rais...
Habari!
Shinikizo jipya sambamba na mashitaka ya kumuondoa madarakani Rais wa Marekani Donald Trump vimeibuka upya na kushika kasi baada ya vurugu zilizozuka hivi karibuni bungeni, Washington DC, ambazo Trump analaumiwa na kushutumiwa kwazo.
Huku hayo yakiendelea, kumekuwa pia na mjadala...
Rais Donald Trump wa Marekani amenajisi misingi imara ya demokrasia nchini humu kwa dhana potofu kwamba labda yuko juu ya sheria. Kwa kitendo cha wafuasi wake kuvamia bunge la nchi hiyo kwa nia ya kusimamisha shughuli halali za bunge hilo kama alivyowaamuru, amevuka mstari usiovukwa. Dunia ina...
Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.