marekani

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani umemalizika, tumeona umuhimu wa kujenga taasisi imara sio watu imara

    Uchaguzi wa Marekani umemalizika rasmi leo usiku kwa Rais mteule Joe Biden kuthibitishwa na mabunge yote mawili kuwa rais wa nchi hiyo baada ya rais Trump kwa kipindi cha miezi miwili kuhangaika kupinga matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika Novemba mwaka jana. Tulichojifunza zaidi ni jinsi...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lamthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani

    Baada ya kikao kilichochukua muda mrefu, hatimaye Bunge la Congress limemthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani na Kamala Harris kuwa Makamu wa Rais kwa muhula unaotarajiwa kuanza rasmi Januari 20, 2021 kwa kura 306 dhidi ya Donald Trump aliyepata kura 232. Hatua hii inaashiria kukamilika...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam unayaona yanayotekea Marekani?

    Ndugu zangu kheri ya Mwaka mpya? Walimwengu wanafuatilia kwa ukaribu sana uchaguzi wa Marekani na their transfer of power, sasa najiuliza vipi hali hii iliyofanywa na wafuasi wa Trump Jana, ambayo imepelekea watu wa 4 kufariki; ingetokea katika nchi zingine, kama za kiafrika au Latin America...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kampuni 8 za China zapigwa marufuku nchini Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya Rais ya kupiga marufuku kampuni nane za China zenye program ya kutoa huduma ya ulipiaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao. Programu hizo ni pamoja na ile maarufu ya mtandao wa Alipay inayomilikuwa na mfanyabiashara tajiri China Jack Ma, QQ Wallet na...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dunia itakuwaje ikiwa Trump akiingia msituni kwa kutokubaliana na mambo yanayotokea Marekani?

    Polisi imethibitisha kuwa mwanamke mmoja aliyepigwa risasi wakati wa vurugu zilizotokea baada ya wafuasi wa Trump kuvamia bunge, amefariki dunia kwasababu ya majeraha aliyopata. Bado maafisa hawajataja jina la mwanamke huyo lakini polisi wanasema alikuwa raia wa kawaida. Aidha, mtu mwingine...
  6. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Congress in turmoil as protesters storm US Capitol Building

    Wafuasi wa Rais Donald Trump wameandamana Washington Dc wakizingira Bunge lililopo Capitol Hill Hatua hiyo imekuja mara baada ya bunge kumuidhinisha Joe Biden kama Rais ajaye wa #Marekani Trump ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwataka waandamanaji wasifanye vurugu === As Congress...
  7. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Kundi la Alshabaab limethiri ya kwamba raia wa Tanzania alihusika katika shambulizi la Manda airfield huko Lamu Kenya. Jamaa huyu alislimu na kuwa muislamu mwaka wa 2015, kisha akapelekwa Somalia kupigana. Nimewaambia mara ngapi nyie bongo kwamba mna shida ya ugaidi nchini mwenu. Tanzania ndio...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja baada ya kuuawa kwa Jenerali Qasem Soleimani: Iran yaapa kulipiza kisasi, Marekani yajihami

    Umetimia mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Kiongozi wa ngazi ya juu wa Jeshi la Iran, Brigedia Jenerali Qasem Soleimani, aliyeuawa kwa shambulio la ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani alfajiri ya Januari 3, 2020 mjini Baghdad nchini Iraq, akiwa na Abu Mahdi al-Muhandis, kiongozi wa kundi la Kata'ib...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania "Tanzania yatoa msaada kwa Mataifa ya Ulaya na Marekani" hapa sasa ndiyo ngoja niseme

    Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za Ulaya na Marekani katika kudhibiti tatizo hili. Kuna haja ya kuwafundisha namna ya ku deal na mambo kama haya lakini pia kwa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais Mteule wa Marekani Kamala Harris apewa chanjo dhidi Coronavirus

    Vice President-elect Kamala Harris and her husband, Doug Emhoff, received their first doses of Moderna's coronavirus vaccine on Tuesday, with the incoming vice president getting her shot on camera as part of efforts to build public trust in the inoculations. Harris and Emhoff were administered...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mbobezi na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa

    Alizaliwa Disemba 30, 1963 Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike Pompeo anasifika kwa umakini mkubwa kwenye maamuzi yake ambayo huzingatia uchunguzi wa kina! Kwa...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

    Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo. Mojawapo ya choo kilivyoonekana kabla ya Maboresho. Hapa chini ni muonekano mpya baada ya Maboresho. Mungu wabariki...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania ijiandae kupokea wakimbizi toka Ulaya na Marekani wanaokimbia CORONA kuja kuishi kwetu kusiko na Corona

    Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo. Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao. Serikali ijipange...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani kufunga balozi zake 2 zilizopo Urusi kwa sababu za kiusalama

    Marekani inapanga kuzifunga ofisi mbili za ubalozi mdogo nchini Urusi kwa sababu ya masuala ya usalama na ulinzi. Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema ubalozi mdogo kwenye mji wa Vladivostok na mwingine kwenye mji wa Yekaterinburg ndiyo zitafungwa baada ya mashauriano na balozi wa...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaijibu barua ya bunge la Marekani dhidi ya kesi ya Rusesabagina

    Rais Kagame alisema kwamba mpinzani wake mkuu Paul Rusesabagina alidanganywa akajileta mwenyewe nchini Rwanda. Waziri wa Sheria nchini Rwanda amemjibu mjumbe wa bunge la Marekani ambaye alikuwa amemwandikia Rais Paul Kagame akimtaka Paul Rusesabagina aachiliwe huru , mkosoaji mkuu wa serikali...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Marekani ajiuzulu

    Mwanasheria Mkuu wa Marekani William Barr, mmoja wa washirika wakubwa wa Rais Donald Trump, anajiuzulu wakati kukiwa na mvutano wa muda mrefu na rais juu ya madai yasio na msingi ya rais ya wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliomalizika na uchunguzi juu ya mtoto wa rais mteule Joe Biden. Barr...
  17. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Habari! Marekani imetangaza rasmi [Jumatatu] kuiwekea vikwazo Uturuki baada ya Ankara kutekeleza mpango wake wa ununuzi wa mfumo wa kijeshi wa ulinzi wa anga ujulikanao kama S-400 kutoka nchini Urusi. Takribani mwaka mmoja na nusu baada ya Uturuki kununua mfumo huo, Rais wa Marekani Donald...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rapa Lil Wayne huenda akafungwa miaka 10 jela kwa kumiliki bunduki ya dhahabu

    Mwanamuziki wa Rap kutoka Marekani Lil Wayne huenda akapewa hukumu ya miaka 10 jela baada ya kukiri kumiliki bunduki ya dhahabu pamoja na risasi kinyume cha sheria. Lil Wayne mwenye umri wa miaka 38 amekiri kuwa na bunduki hiyo wakati alipokuwa akisafiri kuelekea Florida kwa ndege binafsi...
  19. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Uturuki kuwekewa vikwazo

    Habari! Mpango uliofikiriwa muda mrefu wa kuiwekea vikwazo nchi ya Uturuki juu ya hatua ya nchi hiyo kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka nchini Urusi umeripotiwa kukamilika. Kulingana na vyanzo mbalimbali wakiwemo maafisa kutoka nchini Marekani wameweka bayana kukamilika kwa mpango...
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu? Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
Back
Top Bottom