Imekuwa kawaida mtu anapokuwa anatarajia kuoa/kuolewa kutoa kadi za michango kwa ndugu, jamaa na marafiki ili wakamilishe jambo lao.
Kimbebe kinakuja pale umepewa kadi halafu kutokana na changamoto mbalimbali ukashindwa kutoa mchango huo. Jamaa huwa hawaelewi na ndio inaweza kuwa chanzo cha...
Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume...
Na mimi nililelewa kwa staili hii lakini nilipokuja kuona tunaishi tofauti na jamii nilimkaidi mzee na ndio ponea yangu, (nilishaweka uzi huu).
Ipo hivi yani, Mzee ni mtu ambae alikuwa anatulea katika mtindo ambao ulitufanya tuwaone watu nje ya familia kama vile hawahitajiki.
Kufungiwa ndani...
Shalom shalom
Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog...
Ndio tunakutana na marafiki wengi kwenye michakato ya utafutaji riziki wengine tunasaidiana saana ila unamkuta mshkaji katoboa sikio anavaa hereni huyu kumpeleka kwenu kwa maadili ya kwenu nakua mtihani
Au mwana kachora tatoo kwetu huu ni uhuni kiwango cha lami nawezaje kwenda na wew kwa mama...
Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee
Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
Mimi sio mwandishi mzuri hivyo tutavumiliana kidogo.
Mimi ni kati ya wale vijana wachache ambao tumepata bahati ya kuwa na pesa tukiwa na umri mdogo, nikisema umri mdogo sijui mnanielewa? By 22 nilikuwa na nyumba 5 na gari za kutembelea mbili ukitoa vitu vingine ambavyo sio muhimu kusema...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
=====...
Napenda sana kujiconnect na watu wapya, hivyo natafuta marafiki wawe wa kike au kiume its okay, tubadilishane mawazo na kushare life experience, then as u know anything can happen anytime [emoji3].
Naitwa Bree niko na miaka 23, natokea Dodoma.
Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk uongozi wake?
Kama unafikiri unapenda mashost na marafiki acha kuwaza kuwa kiongozi wakitaifa maana...
Hello bosses and roses,
Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
mtu wako wakaribu awe mpenzi ,rafiki ama nduguu vyovyote vile basi anavo ondoka na kwenda mbali
unagundua vitu viwili 1️⃣nikiasi gani unamhitaji na kuliona pengo lake2️⃣nivile alikuwa kikwanzo kukukwamisha kwenye mambo yako so unafurahia kuondoka kwake penda unachofanya ,amini unacho kifanya...
Pictuspublishers tumefasiri kitabu How to win friends and influence people. Kila wiki siku ya ijumaa tutasoma sehemu moja. Unaweza kusoma sehemu iliyofasiriwa ndani ya maktabaapp. kuungwa tucheki whatsapp 0715278384.
Muandishi: Dale Carnegie, 1936.
Mtafsiri: Pictus Publishers ltd
Email...
Nawakumbusha tu vijana.
Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.
Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki...
Kuwa na marafiki wengi siyo sifa bali unatengeneza ugumu wa kujua adui wako, kikulacho, mfitini na n.k, sababu una marafiki wengi.
Wengine wanaweza kuwa marifiki sababu mbalimbali kwa idadi uliyonayo, ni bora rafiki wasizidi wawili wengine kuwa mnasalimiana tu.
Ukizungukwa na marafiki ni mzigo.
Kazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!
Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki...
Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar.
Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume..
Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu...
Habari,
Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana.
Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania.
Sasa siku mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.