Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
422
675
Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar.

Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume..

Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu sana,huwakuta jamaa zao wanamaisha bora, makazi bora na hata familia bora.

Ila kwa kuwa wengi wao si wazungumzaji wa maisha yao wanayoishi huko mikoani basi huwa ni SURPRISE kubwa sana kwa hawa jamaa zao wa Dar.

Sasa kimbembe kinakujaga pale hawa jamaa wa mikoani wanapokuja Dar labda kuna inshu fulani zimewaleta na kuwapigia simu washkaji zao wenyeji ambao hujitapa wazee wa mishe nyingi za hela kuja kuwapokea...!!!!

Hapo wasela lazma walale mbele na visingizio kibao ili mradi jamaa yao asijue wanapoishi tokana na zile tambo zao za kila siku kwenye kupiga mastori nao kwenye simu

Jamaa huwaza huwaza watamlaza mgeni wapi ikiwa wanajua mgeni anavyoishi alipotoka

Jamaa huwaza watarudisha vipi lile bata mwenyeji wao alilowapa walipokuja mkoani kwa gharama zake peke yake siku zote walizokuwepo huko na wao wakijitapa hayo ndio maisha yao ya kila siku huku Dar

Na mambo kibao.

HIVYO HUONA KULIKO KUAIBIKA NA KUJULIKANA MAISHA HALISI BORA KULALA MBELE NA KUSINGIZIA AMEPATA SAFARI YA GHAFLA KIKAZI MTWARA HIVYO KACHOMOKA ASUBUHI SANA😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar.

Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume..

Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu sana,huwakuta jamaa zao wanamaisha bora,makazi bora na hata familia bora.

Ila kwa kuwa wengi wao si wazungumzaji wa maisha yao wanayoishi huko mikoani basi huwa ni SURPRISE kubwa sana kwa hawa jamaa zao wa Dar..
Sasa kimbembe kinakujaga pale hawa jamaa wa mikoani wanapokuja Dar labda kuna inshu fulani zimewaleta na kuwapigia simu washkaji zao wenyeji ambao hujitapa wazee wa mishe nyingi za hela kuja kuwapokea ...!!!!

Hapo wasela lazma walale mbele na visingizio kibao ili mradi jamaa yao asijue wanapoishi tokana na zile tambo zao za kila siku kwenye kupiga mastori nao kwenye simu

Jamaa huwaza huwaza watamlaza mgeni wapi ikiwa wanajua mgeni anavyoishi alipotoka

Jamaa huwaza watarudisha vipi lile bata mwenyeji wao alilowapa walipokuja mkoani kwa gharama zake peke yake siku zote walizokuwepo huko..na wao wakijitapa hayo ndio maisha yao ya kila siku huku Dar

Na mambo kibao..HIVYO HUONA KULIKO KUAIBIKA NA KUJULIKANA MAISHA HALISI BORA KULALA MBELE NA KUSINGIZIA AMEPATA SAFARI YA GHAFLA KIKAZI MTWARA HIVYO KACHOMOKA ASUBUHI SANA😅😅😅😅😅😅😅😅

DSM chumba Tsh 100,000
Mkoani nyumba kukodi 100,000
Unategemea nini hapo
 
Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar.

Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume..

Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu sana,huwakuta jamaa zao wanamaisha bora,makazi bora na hata familia bora.

Ila kwa kuwa wengi wao si wazungumzaji wa maisha yao wanayoishi huko mikoani basi huwa ni SURPRISE kubwa sana kwa hawa jamaa zao wa Dar..
Sasa kimbembe kinakujaga pale hawa jamaa wa mikoani wanapokuja Dar labda kuna inshu fulani zimewaleta na kuwapigia simu washkaji zao wenyeji ambao hujitapa wazee wa mishe nyingi za hela kuja kuwapokea ...!!!!

Hapo wasela lazma walale mbele na visingizio kibao ili mradi jamaa yao asijue wanapoishi tokana na zile tambo zao za kila siku kwenye kupiga mastori nao kwenye simu

Jamaa huwaza huwaza watamlaza mgeni wapi ikiwa wanajua mgeni anavyoishi alipotoka

Jamaa huwaza watarudisha vipi lile bata mwenyeji wao alilowapa walipokuja mkoani kwa gharama zake peke yake siku zote walizokuwepo huko..na wao wakijitapa hayo ndio maisha yao ya kila siku huku Dar

Na mambo kibao..HIVYO HUONA KULIKO KUAIBIKA NA KUJULIKANA MAISHA HALISI BORA KULALA MBELE NA KUSINGIZIA AMEPATA SAFARI YA GHAFLA KIKAZI MTWARA HIVYO KACHOMOKA ASUBUHI SANA
Uko sahihi kabisa. Watu anakuja kwako mkoani unamkrimu vizuri tu, siku ukimwambia niko Dar anakukwepa ! Yaani watu hovyo sana. Ila wapo wachache wenye roho nzuri.
 
Back
Top Bottom