marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ibrahim hamadi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  2. meghan markle

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu. Any age, and gender karibuni. Sina udini wala siasa! I’m open minded .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa na marafiki wengi ili nipate michongo mingi ya pesa?

    Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi. Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya marafiki wasio rafiki

    Maisha yamejaa marafiki wasio na urafiki. Watu wengine hawakufa wakati mshale ukiwa kifuani mwao, walikufa walipoona ni nani aliyerusha mshale huo. Hapa kuna Dalili 12 za marafiki wasio na urafiki; 1. Marafiki wasio na urafiki wanapanga njama dhidi yako usiku na kucheka nawe asubuhi...
  5. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Afrika haihitaji kufundishwa jinsi ya kuchagua marafiki zake

    “Tunawaambia moja kwa moja kwamba hamwezi kutulazimisha kuchagua marafiki zetu. Tunafikiri China ni rafiki yetu mkubwa, na hakuna mtu anayeweza kutufanya tuachane. Ni ujinga kuona kuwa sisi Waafrika hatuwezi kufikiria.” Maneno haya yamesemwa na balozi wa Rwanda nchini China James Kimonyo...
  6. mkalamo

    JamiiForums Tanzania Hundreds of members of the Indian diaspora and volunteers of the Overseas Friends of the BJP (OFBJP)-USA orchestrated a vibrant “Modi Ka Pariv"

    FBJP volunteers, led by Adapa Prasad, President of OFBJP-USA gathered at the iconic Times Square in New York City on Sunday. On this bright sunny day, hundreds of supporters of Prime Minister Narendra Modi gathered here to demonstrate their solidarity, affirming their relationship with the...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

    Wanaume kiasili ni wasiri na wasiopenda kuwa na urafiki au vikundi kama ilivyo wanawake. Pia wanaume wengi huweka vitu moyoni na sio rahisi kufunguka yanayowasibu, wengi hawaonyeshi hisia aidha za furaha au huzuni yaani ni stoic. Lakini kwa upande mwingine mwanadamu ni kiumbe social anahitaji...
  8. babuzer

    JamiiForums Tanzania Wako wapi marafiki wa Sean Combs A. K. A Puff Daddy?

    P diddy alikuwa ana marafiki wengi sana ambao alikuwa nao au alionekana nao kwenye party ambazo alikuwa akiziandaa kwenye nyumba zake za kifahari. Wengine alikuwa nao karibu sana mfano Jay Z. Ambae yeye mwenyewe p diddy alisema duniani watu pekee ambao wana ruhusiwa kumuita Sean ni Jay z na mama...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Marafiki zangu 90% wamenizidi umri

    Habari za humu, Mimi tokea nikiwa Mdogo nimejikuta tu nikiwa na marafiki walionizidi umri, ninaposema rafiki namaanisha marafiki wa kweli na ni wajinsia zote. Nakumbuka Kuna kipindi mm nikiwa Bado sijaoa nililetewa kesi ya ndoa mume akiniambia matatizo na mke akiniambia matatizo ya mume...
  10. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Tafuta marafiki wapya na wa ukweli kutoka nje ya eneo ulilopo

    Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi. Habari JamiiForums Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro. Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
  11. 101 East

    JamiiForums Tanzania Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki ambao umedumu nao hadi leo, kati ya 1. Primary 2. Secondary 3. A level 4. Chuo 5. Kitaa
  12. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wanaofanya biashara ya viatu vya mtumba

    Habari wakuu? Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua. Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya...
  13. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wamebakia watiifu wakweli wa hayati JPM wako pamoja nae hata baada ya kifo

    Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    Habari wadau. Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia. Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission. Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul...
  15. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

    Maana kuna jamaa ni mfanyakazi mwenzangu nimekuwa na urafiki naye wakikazi kwa muda wa miezi mitano ila sijawahi kukaa naye sehemu hata moja kula naye bata, ila juzi tukiwa kwenye kikao cha kazini tukaenda kupanga lodge moja kila mtu room yake sema zinaangaliana milango. Sasa mimi nilimwamini...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

    Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje. Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa makampuni makubwa n.k Lakini haya yote hayaonekani, tatizo ni nini? Au nyie mnanufaikaje kwa hao jamaa...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kupata marafiki wapya wanaojielewa kutoka huko duniani.

    Nilianza kimzaa mzaa, nikaanza kujiunga kwenye magrupu ya wafanya biashara, wajasiriamali, wanaofanya fedha za kimtandao n.k kutoka huko duniani. Nimekuwa namwaga nondo nzito, za kibiashara za kimataifa na namna ya kufanya uwekezaji wa hapa na pale popote duniani n.k Nimejikuta napata marafiki...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hatuna marafiki, bali tuna watu wakubadilishana nao mawazo tu

    Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo. Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu kuukubali huu ukweli; kwa sababu ni kundi lililopo kwenye ujana na mitindo ya kisasa; ambalo ni...
  19. Daydream

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani. Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Enyi marafiki wa mitandaoni, huwa hatuwakwepi wala haturingi, hizi ni sababu zinazopelekea kukataa kuonana na kuwa marafiki wa kujuana zaidi

    1. Background za maisha tofauti - mtu unakuta ni tajiri ama anajiweza kiuchumi, ni maarufu, katokea familia ya wazito, nk. anakwepa machawa na wapambe wasio na urafiki naye bali unafki, mtu huyo anaona heri mjuane mitandaoni kuepuka kero hii, lakini pia kuna wivu na chuki ya maendeleo inaweza...
Back
Top Bottom