Wapenzi, mashabiki na marafiki wa klabu ya USM Alger tukutane hapa tujiandae kuupokea ubingwa wa kombe la Shirikisho 2022/2023

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
1,826
3,864
Shalom shalom
Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog (mbwa waliochini) kutoka nchini Tanzania, klabu ya Yanga Afirika katika fainali yq mkondo wa kwanza itakayopigwa jijini Dar-es-salaam kabla ya kwenda kumaliza mauaji yatakayofanyika jijini Algers ndani ya dimba la Stade du 5 juillet katika fainali ya mkondo wa pili na kisha kutawazwa kama mabingwa wapya wa kombe la shirikisho barani Afrika.

Kama kawaida hatoki mtu katika dimba letu hili la olimpic linalobeba watazamaji 95000.Ikumbukwe mara ya mwisho tuliwakanda Yanga Afirika mabao 4-0 hapa jijini Algers tulipokutana katika kundi D kwenye kombe la shirikisho mwaka 2018 ambalo klabu ya yanga ilikamata mkia na tunaimani tutawakanda tenda bao hizo nne zilizotukuka watakapokuja huku jijini Algers.

Ombi langu kwa mashabiki wa USMA tujitokeze kuipa hamasa timu yetu katika mchezo wa kwanza wa fainali utakaopigwa katika uwanja wa mkapa jijini Dar-es-salaam.

Asanteni
 
222654F2-58AE-4DB6-A5C5-2FF558BD571D.jpeg
 
Madunduka mtahama timu sana, mmetoka Gallants sasa USM Alger. Mlishawahi kuwa TP Mazembe mkakandwa..!!
 
Hakukuwa na haja ya matusi makubwa humu wakati kinachoongelewa ni ushabiki tu ambao ni furaha pekee na uzuni,
Kitu kisicho na guarantee ya kukupa pesa au kukujengea heshima zaidi ya ushabiki tu na furaha matusi ya ushoga yanatokea wapi
Kama mnajuana fataneni huko huko mmalizane,
Wengine hata neno shoga ni mikosi ktk pilika pilika zetu za mitaan
Tuheshimianeni humu mjengoni matusi ya rejareja pelekeni fb na tweeter
 
Shalom shalom
Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog (mbwa waliochini) kutoka nchini Tanzania, klabu ya Yanga Afirika katika fainali yq mkondo wa kwanza itakayopigwa jijini Dar-es-salaam kabla ya kwenda kumaliza mauaji yatakayofanyika jijini Algers ndani ya dimba la Stade du 5 juillet katika fainali ya mkondo wa pili na kisha kutawazwa kama mabingwa wapya wa kombe la shirikisho barani Afrika.

Kama kawaida hatoki mtu katika dimba letu hili la olimpic linalobeba watazamaji 95000.Ikumbukwe mara ya mwisho tuliwakanda Yanga Afirika mabao 4-0 hapa jijini Algers tulipokutana katika kundi D kwenye kombe la shirikisho mwaka 2018 ambalo klabu ya yanga ilikamata mkia na tunaimani tutawakanda tenda bao hizo nne zilizotukuka watakapokuja huku jijini Algers.

Ombi langu kwa mashabiki wa USMA tujitokeze kuipa hamasa timu yetu katika mchezo wa kwanza wa fainali utakaopigwa katika uwanja wa mkapa jijini Dar-es-salaam.

Asanteni
haya wale wapenzi wa jinsia moja uzi wenu ndo huu mkutane mjadili mambo yenu...
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom