marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

    Good morning jf.... Tusio na marafiki tukutane hapa😔 Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaosajiliwa Simba ni wale ambao marafiki wa Matola, kwa hiyo Kuna vijipasenti anapata

    Mjini watu wanaishi kwa mbinu, bila kumfukiza Matola, Simba msitarajie jipya. Matola anajua uwepo wake simba haukubaliki, hivyo anakusanya vyake
  3. Mafeking

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35

    Wasalaam wakuu poleni kwa majukumu ya wiki nzima. Awali ya yote mimi ni kijana wakiume natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35, dini yoyote na kabila lolote ambao tunaweza kushare ideas mbali mbali na michongo. Sifa za marafiki ninao hitaji awe kwenye kada moja wapo kati ya...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Lay JayDee na Nyota Ndogo wametuonesha UNAFIKI wa marafiki unavyoweza kuua biashara yako kisa urafiki

    Wiki hii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee aliamua kutoa yake ya moyoni kuhusu marafiki zake kutomuunga mkono katika biashara zake. JayDee alisema kuwa kuna baadhi ya watu ambao hawaungi mkoni biashara yake ya chakula, lakini wakishapiga ‘vyombo’ usiku wanaanza kumpigia simu mbele...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Marafiki wasanii ni wanafiki sana na ni wa binafsi

    Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii...
  6. kataip

    JamiiForums Tanzania Wazazi wapendeni na kuwajali watoto wenu ni ndugu zenu, marafiki na jamaa zenu wakati ambao wote uliokuwa nao watakuwa na wanao

    Natumai kazi zinaendelea! Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu...
  7. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Fahamu hasara za marafiki wabaya

    Siku ya Leo nitazungumzia juu ya madhara ya marafiki wabaya na kuwa nao katika maisha yako. Kwa kawaida katika maisha Kuna rafiki mzuri na rafiki mbaya ,sifa za rafiki mzuri ni kama kutunza Siri, uaminifu, uwazi, upendo na kutokuwa mnafiki. Yafuatayo ni madhara ya marafiki wabaya ktk maisha...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nawapiga chini marafiki wote wasiokuwa na tija kwangu

    Yeyote anayekunyima furaha, piga chini. Maisha haya ni mafupi, haijalishi utaishi miaka 100 au 200; bado tutasema maisha ni mafupi tu, ikiwa na maana hapa duniani tunapita. Hakuna haja ya kuwa na ndugu, marafiki, wachumba n.k wasiojielewa, ambao wanakupa msongo wa mawazo muda wote, na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya marafiki wakifanikiwa kipesa tu kidogo, wanaanza maneno ya kejeli

    Kuna siku moja nilikuwa kwenye kijiwe cha draft hapa Dar, mzee mmoja alisema msaki (mmiliki wa kibo complex) anatuona Sie wote hapa hatuna akili, nilidhani wanaongea hivyo sababu wanamwonea wivu Ila baadaye nilikuja gundua maneno yao yana ukweli kwa kiasi flani, wala si wivu. Yani utakuta...
  10. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Marafiki wa January Makamba na Wadau Neutral kimitizamo karibuni

    Hello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kabisa, nchi hii ina umpumbavu mwingi, makosa ya wazi kabisa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri. Mfano, hii ishu ya tozo January...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni watu, Marafiki wala Maadui hawawezi kuwa wa Kudumu

    Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa. Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga mchakato wake. Tunaotaka mustakabala mpya tupo chini ya meza. Wasiotaka mustakabala mpya wako juu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Uzi mahsusi wenye picha za Inspector Mwala akiwa na marafiki zake mbalimbali

    Hamjamboni nyote! Nimeambatanisha picha mbalimbali Niwatakie Sabato Njema Karibuni
  13. maroon7

    JamiiForums Tanzania Unawajua marafiki au unawasikia?

  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
  15. nyboma

    JamiiForums Tanzania Epuka sana kuwa na marafiki ambao wakiona hela wanapagawa

    Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja. Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake...
  16. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Marafiki 'pingapinga' hawaungi juhudi wala hoja yoyote ya maendeleo

    Wasalaam kwenu nyote! Hii dunia ni hatari, kuna marafiki vibwengo hatari jambo lolote la kimaendeleo ukimwambia anapinga na atakosoa vikali na atakwambia mimi nimefanya sana hio, mfano wazo lolote la kilimo cha mazao anapinga, uchuuzi wa mazao anapinga, ufugaji anapinga, biashara anapinga na...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ijue "TANAKA", dawa ya kumfarakanisha mume na nduguze na marafiki pia

    Tanaka ni dawa inayotokana na uchafu wa hedhi,kucha za miguuni,kitambaa kilichofutiwa manii baada ya kujamiana, nywele za kwapani na uvunguni, kunde maiti, maji ya maiti na kitovu cha mtoto mchanga ambapo huchanganywa pamoja na dawa nyingine za mitishamba, na maji, huchanganywa humo na kuwekwa...
  18. icca

    JamiiForums Tanzania Mnachukuliana vipi na marafiki wa aina hii?

    Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo. Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri. Miezi miwili iliopita mambo yake...
  19. safuher

    JamiiForums Tanzania Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo. Kuna watu wana...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kufunga ndoa kwangu kumeniondolea marafiki wengi

    Nilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana hawapokei wala kujibu text. Nikakausha nikakomaa likapita saivi wengine wanaishia kuview status...
Back
Top Bottom