marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

    Mambo ni vipi? Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call. Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

    Hulka moja wapo ya watu wakimya (introverts) ni ugumu wa kujichanganya na kuzoeana na watu wapya. Hii inapelekea wengi wanajikuta hawana marafiki ukitoa watu wachache wale waliofahamiana wakati wa chuo/sekondari, biashara/kazini. Siku zinavyosonga na wanavyozidi kukukua kimaisha "cycle" ya...
  3. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

    Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k Sasa wakati nikiwa pale...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukija mjini kutafuta usipende kuendekeza kujuana na marafiki mliotoka Kijiji kimoja. Itakuwia vigumu kufanikiwa

    Nimegundua jambo hili dogo sana ila lina effects nyingi katika utafutaji mjini hasa Dar es salaam. Kwa mara ya kwanza nachongesha kitanda Dar nilimpa tender classmate wangu wa primary, akanifanyia madudu. Kitanda nilikipata baada ya miezi kama 5 hivi huku ameniwekea chaga feki. Mara ya pili...
  5. Gepard

    JamiiForums Tanzania Nimekaa kwenye mahusiano miezi 7 na mtu ambaye sikudhania

    Mwaka 2018 nlienda kumsalimia dogo wangu wa kiume shuleni kwao boarding. Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili. Tulipiga story sanaa na kuzunguka mazingira ya shule, akanitambulisha kwa marafiki zake wengi wakiume na wakike pia. Kwa kweli ni mtu wa watu. Kwa hili: , Dogo popote ulipo kaka yako...
  6. GuDume

    JamiiForums Tanzania Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

    Mara ya kwanza nasikia kuhusu Forever Living ilikuwa mwaka 2005 kipindi hicho imepamba moto sana. Kulikuwa na mtoto mmoja mkali sana chuo nlikuwa namfukuzia. Naye akaona atumie nafasi hiyo kuniunganisha Forever Living nikamkubalia ili kwanza nimle halafu tutajuana mbele kwa mbele, kweli...
  7. Deva

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kuishi na marafiki chumba kimoja hebu nipeni uzoefu wenu

    Ni hivi, wewe una chumba chako umepanga ungependa uishi na rafiki au mwenyewe. Kwa mliowahi kuishi na marafiki chumba kimoja hebu nipeni uzoefu wenu. Kipi bora, maisha ya kuishi mwenyewe au na rafiki?
  8. Ladslaus Modest

    JamiiForums Tanzania Simple Friends and Real Friends

    Simple Friends and Real Friends Anyone can stand by you when you are right, but a Friend will stand by you even when you are wrong. A simple friend identifies himself when he calls. A real friend doesn't have to. A simple friend opens a conversation with a full news bulletin on his life...
Back
Top Bottom