marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Niko hapa kutafuta marafiki kwa lengo la kujengana

    Habari, hopefully mko salama katika kila jambo jema, mimi pia. Niko hapa kutafuta marafiki kwa lengo la kujengana, uzoefu na kadha wa kadha. Mmi ni Mwanaume, muajiriwa na msomi level ya Shahada ya 1. Ninapenda Muziki, Kuogelea, Safari, upepo ktk fukwe, Mpira wa Miguu, Pete, Kusafari na vitu...
  2. 6321

    JamiiForums Tanzania Marafiki zetu mnakwama wapi?

    Habari za asubuhi wana JF. Rafiki ni mtu wa muhimu sana kwa kila mtu mwenye akili timamu. Rafiki anaweza akawa connection yako ya kwanza, itategemea urafiki wenu umeunganishwa na kitu gani. Mfano kama urafiki wenu ni wa ulevi basi viwanja vipya vyote mtaunganisha kuvifikia. Kama ni biashara...
  3. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

    Mimi humu sitafuti mpenzi. Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa. Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Sijutii kutokuwa na marafiki

    Katika circle yangu, nina atu wengi, ila wa kumpa cheo cha rafiki kiukweli bado, cheo cha urafiki ni kizito mno, Niliowahi kusoma nao ni wengi sana, kuna kipindi hadi simu ilikuwa kero sasa, ilibidi ni badili laini, shuleni na chuoni nilikuwa mchangamfu, mcheshi, nk hii ilifanya niwe kama...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Nawatakia mkesha mwema ndugu, jamaa na marafiki katika kuadhimisha Mawlid ya Mtume Mohammad SAW

    Kwa ndugu zetu waislam nawatakia kila la heri katika kusherekea kuzaliwa kwa kiongozi mkuu wa kiroho Mtume Mohammad SAW Mungu ibariki Tanzania
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said: Hamza Kassongo on Sunday JK Nyerere na marafiki zake saa tatu usiku leo TVE

  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mnapata wapi Marafiki Physically?

    Hivi nyie wenye marafiki ambao mnatembeleana na kukutana physically weekend mnawapata wapi? Mbona mi niko mwenyewe sana Yaani weekend nazichukia bora weekdays nikiwa kazini muda unaenda ila weekend niko mwenyewe kama zombie. Nijichanganye wapi na mimi nijuane ata na washkaji wawili watatu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Mzee Jakaya Kikwete na Edward Lowassa

    I declare interest Mimi ni muumini wa Kikwete na Lowassa, Historia inaeleza kua hawa jamaa walikua marafiki wakubwa sana mpaka lilivokuja suala la Richmond inasemekana ndio lililowavuruga Lakini pamoja na kugombana mmoja akiwa ni mwenyekiti wa CCM taifa mwingine akiwa mgombea urais wa chama...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na marafiki tunaowaamini na kuwaona ndio kila kitu.

    Si vyema kuishi bila rafiki lakini je, unamuamini rafiki yako kiasi gani na mangapi kukuhusu wewe anayafahamu. Kuna baadhi ya marafiki zetu, tunaowaona kuwa watu wa karibu wamekuwa na tabia za panya, yaan wanang'ata huku wanapuliza. Unaweza kupata shida fulani katika maisha mfano ya kifedha na...
  11. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage. Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo: 1. Itakujengea komfidens...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali Yangu ijitathmini, tunapopoteza Marafiki Kama Denmark tukijidanganya ma Wachina tunashida

    Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa. Ingawa sisemi kuwa wanakosekana kabisa wabaguzi katikati yao. Ni binadamu. Sisi wenyewe waafrika tunabaguana. Nasikitika sana...
  13. fungi06

    JamiiForums Tanzania Marafiki zangu nawapenda ila mke wangu nampenda na kumsikiliza

    Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu. Sasa basi mambo yameanza badilika tokea nimeoa.. marafiki wakilalamika nimekua naji exclude atumeet kama ilivyokua desturi mpaka...
  14. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

    MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa pete fake. Kuna rafiki wa mchumba wangu nimeongea nae ameniambia pete yangu ni ya elfu 23...
  15. Prisonerx

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupoteza kazi iliyokuwa inanipa heshima mjini pia nimepoteza na marafiki zangu wote

    Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia. Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi. Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo...
  16. Dejane

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

    Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda. Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
  17. Yohana Isack

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Nawasalimu kwa Jina la Muumba mbingu na Nchi na atupae uzima ulimwenguni. Kwa Majina naitwa YOHANA MATIKO ISACK, Niko Chuo kikuu Ardhi, Dar Es Salaam, nafuraha sana kujumuika nanyi ndani ya JF,, MUNGU AWABARIKI NYOTEE 🙏🙏
  18. Ashraph Mushi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wa vyuo tofauti,kama upo tayari welcome🙏

    Nipo Chuo kikuu cha Dar es Salaam karibu sana🙏
  19. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

    Huo ndiyo ukweli. Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki. Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi. Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM. RiP JPM.
  20. Chriss_ Chriss

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/= mpaka 45,000/= gunia la debe sita shambani, gharama za kusafirisha gunia moja mpaka godown gunia...
Back
Top Bottom