marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Enyi marafiki wa mitandaoni, huwa hatuwakwepi wala haturingi, hizi ni sababu zinazopelekea kukataa kuonana na kuwa marafiki wa kujuana zaidi

    1. Background za maisha tofauti - mtu unakuta ni tajiri ama anajiweza kiuchumi, ni maarufu, katokea familia ya wazito, nk. anakwepa machawa na wapambe wasio na urafiki naye bali unafki, mtu huyo anaona heri mjuane mitandaoni kuepuka kero hii, lakini pia kuna wivu na chuki ya maendeleo inaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Hello dears natafuta marafiki jinsia yoyote kwa ajili ya kubadilishana mawazo,, things about me I'm introvert and extrovert too thank you 😊
  3. JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

    Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali. Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama. Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

    Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI). Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

    UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari. 2.Wakikaribia mazingira ya...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja. Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nchimbi na Makonda, natambua mngependa marafiki zenu wawe ma DC na Wakurugenzi. Lindeni sana kumwelekeza Mkuu wa TAMISEMI (Mhe. Rais) adharani

    Kutumbuana kunarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu. Makonda kaenda pangani kakutana na mkurugenzi aliyewahi kukorofishana naye kisha amemwelekeza waziri atumbue uteuzi wake huku akijua kabisa wakurugenzi wanateuliwa na Mhe. Rais. Sitashangaa Makonda kuwa na kiburi chukumwelekeza Mhe. Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Kisa cha Marafiki Wawili, Madikteta Wakubwa wa Afrika

    Tarehe 8 Januari 1989 serikali ya Uganda ilitoa wito kwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kumpeleka Idd Amin nchini Uganda ili kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo uvunjifu wa haki za binadamu. Lakini serikali ya nchi ya DRC wakati ule ikiitwa Zaire ilikataa kutii wito huo. Pichani anaonekana...
  9. JamiiForums Tanzania Mabest hawa nawafananisha kama Bonnie & Clyde

    Hawa mabest wameshibana sana kama ilivyokuwa kwa Bonnie & Clyde.
  10. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwaamini marafiki wa kiume wa mwanamke. Aliejifanya ni rafiki wa ex wangu alikuwa ananichukia nami nilifanya maksudi kufumua mshono

    KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE? Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
  11. JamiiForums Tanzania Wawili niliowabakisha kama marafiki nao nimewafuta!

    Ukiachana na wale wa mbali kidogo kama washikaji ambao huibuka mara kadhaa pale tu wanapokuwa na shida, nilibakisha watu wawili ambao niliamini ni wa kweli ila sasa nimefikia hatua ya kuwafuta pia. 1. Huyu wa kwanza yeye huwa karibu sana pale anapokuwa na matatizo ya kifedha, atakuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Sitaki Marafiki sitaki wanafiki

    https://youtu.be/JG0FZOO9OdE?si=Xt3nJH9GWXxKPUmM https://youtu.be/rJWdfDPZ9Ck?si=HhcCRZ6t-0udTwrU Marafiki ni watu wanafiki wengi wao wanakuja muda wa raha tu.
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu na marafiki hawataki ufanikiwe ila wakipata shida wanataka uwasaidie au kuwachangia

    Katika jambo ambalo mimi binafsi linanishangaza ni namna ambavyo unaweza kuta mtu kama ndugu yako, rafiki yako, jirani yako, classmate wako, na mtu yeyote ambaye kidogo mnaukaribu anachukia wewe ukifanikiwa, au anakubania connection, au anakuchongea ufukuzwe kazi, au hataki upige hatua...
  14. JamiiForums Tanzania Usiwasahau ndugu kisa una marafiki, tujifunze kuwapa nafasi wote

    Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1. Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Makonda bado ana kidonda cha kutengwa, kutwezwa na kususwa na system pamoja na marafiki zake. Kazi ya uenezi itamshinda

    Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake. Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi...
  16. JamiiForums Tanzania Nitashangaa kumuona mwana Simba SC akipoteza muda wake Kuiangalia Mechi ya Marafiki Wapuuzi na Wanafiki Jumapili wakati imeshakwisha Kitambo tu

    Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC mnajipa Moyo kuwa itafungwa ili tofauti ya Alama iendelee kuwa Kubwa? Nawashauri msipoteze kabisa muda...
  17. JamiiForums Tanzania Rafiki anahitajika

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji rafiki mtu mzima, kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 , ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart, straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri. Mimi...
  18. JamiiForums Tanzania Marafiki wa mpenzi wangu, NI wanafiki Sana!

    "Hakuna watu wanafiki huku Duniani kama Marafiki WA mpenzi wangu (mashemeji WA KIUME) Wanajua ubaya, siri, dhambi nyingi anazofanya mpenzi wangu lakini watakunafiki mwanzo mwisho😱 Wakikuona Tu wanakusalimia, shemeeejiiii, au shemeji wewe Woi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶 Mashemeji popote mlipo Mungu atawachoma na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ya akina Slaa yakitulia: "tutaukumbuka ukimya wa marafiki zetu."

    Enyi vyama vya upinzani, nyote kabisa pasipokuwa na exception, huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Tafsiri halisi kuwa: Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi Hii ni pasipo na kujali kuwa yeye Slaa aliwahi kuyasema yaliyo fyongo haya: Ikumbukwe hatujawahi kuwa na rafiki wala adui wa...
  20. JamiiForums Tanzania Marafiki ndio maadui zako wakubwa

    Adui sio mtu ambaye yupo mbali, ni rafiki yako wa ndani wa toka nitoke, yaani mmeshibana sana ndio anakuharibia maisha. Leo unamuona bonge la dili ila baadae unakuta yeye ndio amekuharibia vitu, ukija sikia unakufa kabisa. Wala huponi kwa dawa, sindano wala drip. Kwa hiyo mlio na marafiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…