Sijawahi kuwaamini marafiki wa kiume wa mwanamke. Aliejifanya ni rafiki wa ex wangu alikuwa ananichukia nami nilifanya maksudi kufumua mshono

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE?

Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona jamaa ni wale wanaume ambao wanaabudu wanawake wapo tayari kutoa muda wao zaidi kwa kisingizio cha friend zone, wapo very submissive kwa wanawake.

Jamaa nilikuwa najua kabisa anamtaka mtoto ila anajificha kwenye kimvuli cha friendzone, kuna siku nilikuwa napiga stori na ex kuhusu huyo jamaa akaniambia hana dem ila alishawai kumbamba anaangalia x, hii kwa lugha nyepesi kwa wazoefu ni kwamba jamaa alijikamatisha maksudi anaangalia x ili iwe gia ya kutuma ujumbe anataka mzigo sababu hana confidence ya kusimama kama mwanaume na kuomba mzigo.

Nilichokuwa nakifanya namwambia wazi wazi, siku flani asije nakamua mzigo kwasababu nina haki zangu za kusex na huyo rafiki yake (coochie rights), jamaa alikuwa anafosi kuchukulia poa ila he coulnt fool me, machoni nilikuwa namuona kajaa wivu na hasira, mara kadhaa nishawahi kumkiss wazi wazi huyo anaemwita rafiki huku nikimminya wowowo na tits kwa jicho la kuibia namcheki jamaa anatabasamu ila hakuweza kunidanganya kwamba ana wivu mkubwa sana, Kuna siku bila aibu jamaa kamsindika ex eti wamekuja nisalimia nikaona huyu hanijui, mchana tulikula vizuri na stori za kutosha lakini jioni nilimkwida ex tukaingia room huku tumemuacha jamaa sebuleni, siweki maelezo mwengi ila nilichofanya hio siku hadi sebuleni alikuwa anakisikia, ex alitaka awashe subwoofer ila nilinyofoa waya na game iliendelea kama kawaida.

Story iwe fupi, tulipoachana na huyo ex naskia jamaa alinikandia kwamba sikuwa chaguoa bora kwake, nilimuonea sana hutuma maana nilijua kwamba jamaa kwa uzito alionao ndio ilikuwa gia yake ya kutaka kuanzia, ila muda si muda kuna mwengine akamuwahi akapita na ex, nilisikitika zaidi maana jamaa nilimuachia uwanja awahi fasya, hapo baadar jamaa uvumilivu ulimshindwa kuna siku alimfungukia ex kwamba anampenda sana hawezi kuendelea kujifanya ni rafiki, kwa bahati aliyonayo alikubaliwa lakini huwezi amini walipoachana jamaa alikuwa ni kicheche wa kubadili madem acha kabisa.
 
Back
Top Bottom