Marafiki wa mpenzi wangu, NI wanafiki Sana!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
"Hakuna watu wanafiki huku Duniani kama Marafiki WA mpenzi wangu (mashemeji WA KIUME)

Wanajua ubaya, siri, dhambi nyingi anazofanya mpenzi wangu lakini watakunafiki mwanzo mwisho😱

Wakikuona Tu wanakusalimia, shemeeejiiii, au shemeji wewe

Woi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶

Mashemeji popote mlipo Mungu atawachoma na gesi" ... Alisema shosti Angu hapa grocery akiwa amevurugwa anashushia na castle lite

Kuna vitu vingne hata kwa akili ya kawaida unaweza ukajua nini kinaendelea kwa huyo unaemwita mpenzi wako :D Mfano ana marafiki zake wa karibu kama wa3 unaofahamiana nao ila hao marafik ni waongo waongo na wazee wa mademu kama vijana wasemavyo sasa kama hao wa3 wako hvyo hapo bado hujajua kuwa hata mwenzao yuko hvyo? uhalisia wa maisha mtu huwa na marafk wanaofanana tabia sio rahis umkute mtu ana marafk wasiofanana

Mwisho wa yote KATAA MAHUSIANO KATAA NDOA

NAWASILISHA MKUU
 
View attachment 2730799
Tatizo tukikuambia ukweli kuhusu tabia za jamaa yako, halafu wewe na yeye mkayamaliza, unaanza kumuambia ni wale marafiki zako fulani na fulani ndio waliniambia..! Sisi tena tunaanza kuonekana ma snichi, ma heta, mwisho urafiki unakufa.
 
Rudia kusoma uzi bruh
 
Back
Top Bottom