SHERIA 2: Usiwaamini sana marafiki. Jifunze jinsi ya kuwatumia maadui.
MHADHARA WA 29:
Hii ni sheria ya 2 kati ya zile sheria 48 zilizoandikwa na Robert Greene katika kitabu chake cha "THE 48 LAWS OF. POWER".
Mapitio:
Weka jicho la umakini kwa marafiki zako, ni watu ambao wanakuwa na wivu na...
Mhadhara wa 27:
Ukaribu uliopitiliza kati ya Mwenza wako na marafiki zako ni hatari sana. Ukaribu wa marafiki zako kwa Mwenza wako ukipitiliza mambo huwa hivi.
1. Leo wanaitana "shemeji"
2. Kesho wataitana "shemu"
3. Keshokutwa wataitana "meji"
4. Mtondogoo wataitana "shemu darling"
5...
Kama utani vile, waigizaji nyota wawili wa Bongo Movie, Kajala Masanja na Jacklyne Wolper wamejikuta wakimaliza bifu walilokuwa nalo kutokana na kila mmoja kuwahi kutoka na staa wa Bongo Flava, Harmonize baada ya kukutana katika pati la siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Leah Richard ‘Lamata’.
Wawili...
Marafiki sio watu unaojuana nao na kupiga stori,no no no,hao ni watu unaojuana nao,sio marafiki.
Rafiki ni mtu ambae unauwezo wa kumuambia jambo lako la siri na ukawa na AMANI kabisa kwamba hawez kulisema jambo hilo.
Wanaume tunapitia mengi sana kiasi kwamba kuna wakati unahitaji mtu wa kukaa...
Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine
atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !!
Hajakutafuta miaka na miaka...
Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili.
Pia soma:
DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
China inasifika...
Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa kimkakati kwa lolote karibu na iran na israel.
Huu ndio urafiki, huu ndio udugu. Kwa mujibu wa...
Habari wana JF
Hivi kwenye maisha Yako ushawahi kujaribu kuingilia au kutetea ugomvi wa watu na nini kilikutokea?
Kwa experience yangu ya kutetea ugomvi nishawahi kukutana na changamoto tatu (3)zilizonifunza kutokuwa na kiherere kwenye mambo ya watu
1) Hii ilinitokea kipindi nipo...
Inakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja
Kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada ya muda maisha yakatutenganisha na wao mfano mimi nipo zanzibar yeye yupo mbeya lakini unakuta...
Habari wakuu?
Natumaini nyote mko poa kabisa na mmejipanga vizuri katika kusherehekea weekend inayotegemea kuanza leo jioni, baada ya kupambana wiki nzima katika utafutaji wa mkate wa kila siku.
Kupumzika pia ni muhimu, ili kuupongeza mwili kwa kazi kubwa ya kuutumikisha bila kuchoka kwa siku...
Kwa miaka 33, tangu mwaka 1991 taifa la Bangladesh limetawaliwa na wanawake wawili mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti kwa kila mmoja wakipokezana miaka mitano mitano. Aliyeanza kutawala alikuwa Khaleda Zia kisha akaja Sheikh Hasina halafu akarudia Zia tena ndipo akarudi Hasina tena kuanzia mwaka...
Moja ya vitu ninajivunia hapa duniani ni watu. Nina marafiki kadhaa ambao kwakweli tunarahisishiana maisha kwa kiasi kikubwa. Ni marafiki tuliojuana kwa miaka kadhaa na tunapigana tafu. Si urafiki wa kubembeleza au kutafuta. Ni urafiki uliopaliliwa na haiba zetu pamoja na mitazamo yetu...
Wakuu salama,
Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka.
Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu mtanisaidia, mimi ni mtu ambaye sina marafiki wale wa kusema tunapigiana simu weekend hii wapi etc! Sina...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.
Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.
ASANTENI
Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema.
Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.