Nitashangaa kumuona mwana Simba SC akipoteza muda wake Kuiangalia Mechi ya Marafiki Wapuuzi na Wanafiki Jumapili wakati imeshakwisha Kitambo tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,128
Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC mnajipa Moyo kuwa itafungwa ili tofauti ya Alama iendelee kuwa Kubwa?

Nawashauri msipoteze kabisa muda Wenu Kuitizama na ni kheri huo muda wa hiyo Mechi muitumie kwa kuwa hapa JamiiForums au kuwa Gesti / Loji Kubandua tu Totooz au Kubeti Mikeka mbalimbali ya Mechi Kubwa Kubwa za Kimataifa.

Baby Mbande Mbagala FC kwa Siku za karibuni huwa hana Uchoyo wa kumpa Mumewe Avic Town Kigamboni FC hivyo ataamua tu akandamize Goli / Bao ngapi mpaka aridhike.
 
weka kwenye katuni uraruaji huu
 
Anayewauza Azam ni CEO wao Popat.Huyu ni Utopolo wa kutupwa.Huwa hata anashiriki kumpangia kocha wa Azam timu inapocheza na Utopolo.
Kwenye Ngao ya Jamii golikipa wa tatu ndio alipangwa.Na unajua kilichotokea.Mechi ya mshindi wa tatu kikosi kikapangwa na Kocha Singida akalala 2.Bila kuwadhibiti hao mamluki Azam watalia sana kwa Utopolo.
 
Pamoja na watu kumuona mtu wa hovyo Mimi namuona mtu "perfect sana". Gentamycine hajawahi kuahidi kitu na asitekeleze kama watu wengine qa hovyo. Uzi alishauleta na nimeusoma vizuri tu.
Ubarikiwe Mkuu. Achana na huyo Fool.
 
Anayewauza Azam ni CEO wao Popat.Huyu ni Utopolo wa kutupwa.Huwa hata anashiriki kumpangia kocha wa Azam timu inapocheza na Utopolo.
Kwenye Ngao ya Jamii golikipa wa tatu ndio alipangwa.Na unajua kilichotokea.Mechi ya mshindi wa tatu kikosi kikapangwa na Kocha Singida akalala 2.Bila kuwadhibiti hao mamluki Azam watalia sana kwa Utopolo.
Nashukuru kwa Kunielewa vyema Mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom