Mtihani huu wa kimapenzi umenishinda kuujibu nawaomba wabobezi wa Mapenzi mnisaidie kuujibu ili 'niufaulu' vyema sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Una Rafiki yako wa karibu tu na anajua kuwa una Mke na pia Mkeo naye anajua kabisa kuwa huyo Jamaa ni Rafiki yako mkubwa tu, ila ikatokea Rafiki yako wa Karibu 'akakutongozea' Mkeo na Mkeo naye pia 'akamkubalia' na 'wakafanyana' kwa raha zao. Je, ikitokea ukaja 'Kugundua' tukio hilo la 'Kuumiza' na 'Kusikitisha' kabisa Wewe hapo ni nani 'utamlaumu' mno kuliko Mwingine?

Nilikuwa ni 'Muumini' mkubwa sana tu wa 'Kulaumu' wale 'Wanaowadhuru' vibaya (Kikatili) Wake zao pale 'wakiwafumania' ila sasa nimewaelewa.
 
Kikubwa ni KUMUACHIA MUNGU na KUWASAMEHE na kuwaambia WASIRUDIE TENA... Hakika utakuwa umefanya vyema...

MASWALI FIKISHI

1st.Kwanini mkeo/mchumba wako amefanya hivyo...
2nd.Mwanzo tabia hiyo alishawai kuwa nayo (wewe ukampata ukamrekebisha)....
3rd.Kwanini rafiki yako kafanya hivyo....
4th.Mazingira yapi ulihisi au uligundua wamefanya icho kitendo (Isije ikawa una hisi tu)...
 
Hapo hakuna cha kudhuru wala kulaumu.ukibahatika kujizuia kwa haya matukio pendwa mawili...😃utakuwa umefaulu pakubwa sana.

Jion yake waalike dinner sehemu nzuri sana mkabadilishane mawili matatu.😅😅wakiendelea kuwepo kwenye maisha yako😃😃my friend utakuwa unaishi na viumbe kutoka sayari ya Jupiter
 
Jilaumu mwenyewe wapi umekosea, pia mshukuru rafiki yako kwa kukutunzia ndoa, mwanamke ana kiu je angeipeleka mbali si bora kwa mtu wako wa karibu,

Piga moyo konde, tulia.

Natamani sana Mkuu 'Kauli' yako hii ungekuwa unaitoa mbele yangu huku tukiwa tunaonana ile nikupe haraka 'Tiketi' yako ya kwenda ICU Amana.
 
Hapo hakuna cha kudhuru wala kulaumu.ukibahatika kujizuia kwa haya matukio pendwa mawili...😃utakuwa umefaulu pakubwa sana.

Jion yake waalike dinner sehemu nzuri sana mkabadilishane mawili matatu.😅😅wakiendelea kuwepo kwenye maisha yako😃😃my friend utakuwa unaishi na viumbe kutoka sayari ya Jupiter
Shemegi/shemeji
 
kabla sijawachinja....kwanza ningempumulia jamaa hata kamoko........then tunaingia butcher......kimya kimya.....
 
Kwanza pole mkuu kama umekumbwa na mkasa huo

Hapo unatakiwa kufanya maamuzi magumu na kwa kutuliza akili maana si mchezo inahitaji malaika mwenye roho ngumu kwenye situation kama hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom